me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Mkuu ktk pitapita zangu insta nikaona hii nakuja huku tena nakuta copy and paste ikabidi niulizeHahahahaha! Ufukunyuku huu hatarii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ktk pitapita zangu insta nikaona hii nakuja huku tena nakuta copy and paste ikabidi niulizeHahahahaha! Ufukunyuku huu hatarii
"Mungu wa paulo,ndio Mungu wa daudi na ndio Mungu wa john mnamyemuita yohana wa yahudi"[emoji2]...changanua hapo utaelewa majina ya watekaji...paulo,daudi na john..majina ya baba zao ongezea mwenyewKachapwa mijeledi,kapigwa bila huruma na kafumbwa macho siku3.... ni kina nani hao walio mfanya hivyo? Kwann asiwataje sasa.....na mbona yupo nao.
Kachapwa mijeledi,kapigwa bila huruma na kafumbwa macho siku3.... ni kina nani hao walio mfanya hivyo? Kwann asiwataje sasa.....na mbona yupo nao.
MAKINI PIA MAKINIKIA
NAYATUNGIA MAPINI PIA
Nasubiri kwa hamu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]ama walijua kumpendezesha!
zile rangi kama banda la sadolin likiwa sabasaba!
Kaka kaka.....ukikata kuruka shurti...? Wazee wa action....."Mungu wa paulo,ndio Mungu wa daudi na ndio Mungu wa john mnamyemuita yohana wa yahudi"[emoji2]...changanua hapo utaelewa majina ya watekaji...paulo,daudi na john..majina ya baba zao ongezea mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtibwa kwa Zito Kabwe? bora uende Azam kwa Lipumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaMkuu ktk pitapita zangu insta nikaona hii nakuja huku tena nakuta copy and paste ikabidi niulize
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia kichwa Mkuu kufikiliaanachoimba ni burudani au ni kitu gani maana anachoimba na vionjo mkienda klub mtachezaje au ujumbe unamhusu nani?
Wewe hujui bhaaaana!! Kaa kimya mbona unapotosha??we unadhani huko jkt hawatumii fasihi?? Unajua kwa nn wanatumia Zimbabwe na si Uganda ama kokpte kule ,kama hujui nyamaza ,ROMA anamaana kubwa saana hapoUmeenda mbali sana mkuu! Hiko ni kionjo tu,ungekuwa umebahatika kucheza mgambo au kupitia jkt ungeelewa hilo neno Zimbabwe,hutumiwa tu kuongeza hamasa pindi munspokimbia mchakamchska
Sawa!Hujui lolote, huta huko jkt kutajwa Zimbabwe kuna maana yake kama hakina maana wewe ndo hujui
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu, Zimbabwe imebeba ujumbe mkuu kwenye huu wimboHujui lolote, huta huko jkt kutajwa Zimbabwe kuna maana yake kama hakina maana wewe ndo hujui
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi saaana mkuu kwa kumweleza,maana amekomaaa kweli kweli wakati yeye ndo haelewi tena kashadadia ,Wewe ndiyo hujaelewa tafsida iliyofichwa humo.
Na yeye alitaka uelewe hivyo sababu imewekwa kwa wanaona mbali.
Tazama picha na matendo huku ukisikiliza maneno utapata jibu
Acha undezi wewe huyo anaimba maisha yake ambayo you have nothing to do with it... kama makosa alifanya yeye na kibano akakipata vizuri na akiendelea anajua kifuatacho ITV... Huo sio wimbo ni maongezi tu ya kijinga kijinga ndio fact yenyewe... usitegemee ati ataalikwa Zimbabwe akawatumbuize au Kenya... only mjinga atamsupport huyo ChiziToka lini mjinga ukaelewa ..endelea kusikiliza kuku kapanda baiskeli..