Kwa nilivyo uelewa...
Anajaribu kumuonya mwanamke ambae amejipanga kumchuna,ama anaempa vishawishi vya mapenzi.
Ndio anamwambia
Kiitikio
Do not do like that, Am too smart dada, halafu anamruhusu afanye aanachotaka (seduce me like a hell).inapita sauti inamuonya tena (aah hold on).
verse ya 1.
Nakuona unakata, be careful sista
na kama unataka they call me heartbreaker
nna majina mapya, kila mmoja amenipa
wananiita kipusa oooh pasua kichwa
anaendelea kumuonya kuhusu mtu anaetaka kuingia kwake,sababu binti anaendelea kumshawishi kimapenzi.
kiitikio.
Verse ya 2.
Najua kupenda,nagawa mavumba
na kama unataka,they call me Kiba Rockstar
nina madinga mapya, kila mmoja nampa
wananiita misifa ooh pasua kichwa
anaendelea kumuelezea na sifa alinazopewa na vitu anavyofanya,ili anaemshawishi atambue anafanya kwa mtu wa aina gani.
kiitikio.
Yo, you know me girl, i go for the name of Alikiba unstopable
Despacito cheza kidogo,zungusha kiuno chako utuonyeshe
maana yake tayari ameshamfahamu sasa kama anaendelea anaruhusu aendelee kucheza sasa
hivyo wimbo ni mwanamme anaejaribu kumuonya mwanamke anaemshawishi kimapenzi,awe makini na mtu anaemfanyia hivyo,huenda sio aina ya mtu aliekuwa anamdhania.