tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
figisu haziishi tuSeduce Me ya Alikiba imepokelewa vizuri na kuvunja rekodi ya youtube Apfrika. Sasa wale wazee wa figisufigisu team Mond, wamekuja na skendo ya kurekodi Cover ya Seduce me, ili kuhamisha viewers wa Seduce me ya Alikiba kwenye Youtube.
Mshindwe eee
Tazama Seduce Me Alikiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip bado unasikitika?
My Take:
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba, ukweli nimesikitika sana. Sikutegemea kama mwaka mzima aliokaa kimya msanii kama Kiba anaweza kutoa wimbo wa kiwango duni kama huu.
Hadi Dogo Aslay Kiba anakunyoosha staafu mziki mashabiki Zako hawakutakii mema
Wewe uliongea pointNyimbo ikikataliwa mwanzoni huwa ni booonge la hitsong litakalokaaa kwenye akili miaka. Hata Aje ilikuwaga hivi. Dimond nae alipotoa zake zile tatu kwa mkupuo mlimsemaaa ile ya fire atleast hyo Eneka.
hahaàa umefukuaWewe uliongea point