Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Labda kaimba kwa ajili yake mwenyewe..........
 
HAHAHAAA HUKU KITAAAA NDO HAULEWEKI KABISAAAA BORA MWANAUNE MASHINE YA MSAGA SUMU,ILA TIME ITAONGEA MAANA SI KAJA KWA BOOST,BASI HATA WIKI HAUMALIZI HUU NA SISI HUKU NGOMA INAYOPIGWA NI ZILIPENDWA TU






a mambie mange kimambi kama alivyofanya kampeni ya YOU TUBE views,aje kuwaelewesha watu mtaani huku wauskilize
 
jamani i think mtakuwa mmeamini nlichowaambia jana kwamba this is history making good music sio videos zenye fancy cars,fancy houses and fancy girls huu mtindo wa wanigeria tuuache na tuwe kama international artists kama drake,jay z jama hebu angalieni videos za kina jay z na Nas and others kama haya mambo yapo sio lazima video iwe na rangi nyingi iwe hd kinachomata ni very good music
mfano justine timberlake anaweza kaa miaka mitano bila wimbo lakini akija na jiwe moja tuu mfano his last hit mirror angalieni video yake hakuna mambo ya rangi mademu magari wala nyumba nzuri let us be international let us br exposed just like ali kiba's good music is the living music jamani kama unabisha meza wembe
my regards
 
Duh! Kwa kweli hata mimi naona maluwe luwe! Seduce me = nitongoze (kwa kizungu changu cha la saba) ila sasa yaliyoimbwa ndani sijui wananiita kipusa, sijui mambo gani tena.... Naomba msaada vizuri wadau. Lengo nami nijue wimbo hasa u nahusu nini. Asanteni

Hate me at your own risk
MAPENZI.....(kama hutaki basi)
 
si lazima uelewe maana hakuna mtihani wa kupima uelewa wa nyimbo.
 
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up),
What the hell,
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up)
What the hell



Nakuona unakata,Be carefully sister,
Nakama unataka,they call me heart breaker(breaker),
Nina majina mapya,kila mmoja amenipa,
Wananiita kipusa,ooh pasua kichwa,
mimi ninamajina mapya,kila kona wamenipa,

Wananiita kipusa,ooh pasua kichwa.


Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up),
What the hell versuri-lyrics.info
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up)
What the hell.



Eh! Najua kupenda,Nagwa mavumba,
Nakama unataka,they call me kiba Rockstar,
Nina mandinga mapya,kila mmoja nampa,
Wananiita misifa,ooh pasua kichwa,
Nina mandinga mapya,kila mmoja nampa,
Wananiita misifa,ooh pasua kichwa.



Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up),
What the hell,
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up)
What the hell.


Yoop! You know me girl,I go by the name of alikiba,
Unstopable,
Mama lailalaila mama,Despacito,
Despacito,Cheza kidogo,
Zungusha kiuno chako uonyesheee.

KARIBU KWANZA PITIA HIYO MISTARI HALAFU KAMA HUJAELEWA UTAELEWESHWA ZAIDI HAPO
Mie nimependa hapo kwenye mandinga Mapya kiba nibadilishie hiki kijenereta cha IST

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wataalamu wa mziki napenda kujua wimbo wa Ali kiba unahusu nini maana kilichoimbwa ndani bado sijaelewa wimbo unahusu nini sio kwamba nauchukia hapana ninachotaka kujua ni nn kaimba mle ndan mana kila nikisikia ata siuelewi
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kiinglish kinakuchanganya
 
Duh! Kwa kweli hata mimi naona maluwe luwe! Seduce me = nitongoze (kwa kizungu changu cha la saba) ila sasa yaliyoimbwa ndani sijui wananiita kipusa, sijui mambo gani tena.... Naomba msaada vizuri wadau. Lengo nami nijue wimbo hasa u nahusu nini. Asanteni

Hate me at your own risk
Ndio anamwambia mdada
 
HAHAHAAA HUKU KITAAAA NDO HAULEWEKI KABISAAAA BORA MWANAUNE MASHINE YA MSAGA SUMU,ILA TIME ITAONGEA MAANA SI KAJA KWA BOOST,BASI HATA WIKI HAUMALIZI HUU NA SISI HUKU NGOMA INAYOPIGWA NI ZILIPENDWA TU






a mambie mange kimambi kama alivyofanya kampeni ya YOU TUBE views,aje kuwaelewesha watu mtaani huku wauskilize
Nyie endeleeni kuimba an kucheza singeli huko mtaani kwenu ndo size yenu hiyo.
Good music tuachie sisi
 
Kwa nilivyo uelewa...

Anajaribu kumuonya mwanamke ambae amejipanga kumchuna,ama anaempa vishawishi vya mapenzi.

Ndio anamwambia

Kiitikio

Do not do like that, Am too smart dada, halafu anamruhusu afanye aanachotaka (seduce me like a hell).inapita sauti inamuonya tena (aah hold on).

verse ya 1.
Nakuona unakata, be careful sista
na kama unataka they call me heartbreaker
nna majina mapya, kila mmoja amenipa
wananiita kipusa oooh pasua kichwa


anaendelea kumuonya kuhusu mtu anaetaka kuingia kwake,sababu binti anaendelea kumshawishi kimapenzi.

kiitikio.

Verse ya 2.
Najua kupenda,nagawa mavumba
na kama unataka,they call me Kiba Rockstar
nina madinga mapya, kila mmoja nampa
wananiita misifa ooh pasua kichwa


anaendelea kumuelezea na sifa alinazopewa na vitu anavyofanya,ili anaemshawishi atambue anafanya kwa mtu wa aina gani.

kiitikio.

Yo, you know me girl, i go for the name of Alikiba unstopable
Despacito cheza kidogo,zungusha kiuno chako utuonyeshe


maana yake tayari ameshamfahamu sasa kama anaendelea anaruhusu aendelee kucheza sasa

hivyo wimbo ni mwanamme anaejaribu kumuonya mwanamke anaemshawishi kimapenzi,awe makini na mtu anaemfanyia hivyo,huenda sio aina ya mtu aliekuwa anamdhania.
wasipoelewa tenaaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawapiku wakina wasafi classic baby na kuwaacha mbali na tuzo juu. Message sent waendelee kuuza karanga maana dude kali
Ngoma ya alikiba seduce me yabamba east africa na tuzo ya vevo
Capture1.PNG
 
Samahani wataalamu wa mziki napenda kujua wimbo wa Ali kiba unahusu nini maana kilichoimbwa ndani bado sijaelewa wimbo unahusu nini sio kwamba nauchukia hapana ninachotaka kujua ni nn kaimba mle ndan mana kila nikisikia ata siuelewi
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ubovu wa kuzoea mipasho na singeli.
Mashairi yanayohitaji akili nyingi sio size yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom