Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,053
My Take:
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba, ukweli nimesikitika sana. Sikutegemea kama mwaka mzima aliokaa kimya msanii kama Kiba anaweza kutoa wimbo wa kiwango duni kama huu.
Roho mbaya itakua weweMalaya mange kimavi anamsaidia sana alikiba kwa kupitia yale mazuzu yake anayoyapeleka kama upepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni uongo mwanamke kakomaa kama mchaga wa jangwani kama siyo kimavi huo wimbo ungekuwa na view laki mbili mshukuruni sana kimavi na mashoga eatv bila hivyoRoho mbaya itakua wewe
Sent from my HTC U11 using JamiiForums mobile app
Nakwambia nyie dawa yenu ni kuchapiwa mama zenu maana heshima hamna kabisa.....wapi ommy uje umanue vichupi vya mama zao hukuKwani ni uongo mwanamke kakomaa kama mchaga wa jangwani kama siyo kimavi huo wimbo ungekuwa na view laki mbili mshukuruni sana kimavi na mashoga eatv bila hivyo
Mkuu siku moja iko ndani ya siku mbili na masaa kadhaa. Wako sawa. Cha Msingi kavunja rekodi
kampa sana promoKiba ametisha sana lakini mange nae ni nyoko sio kwa kampeni ile. She is the queen of social media hapa east Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaeeee, kila wakiingia kutafuta kasoro wanakosa, kumbe wanapoambiana kutafuta zaidi, ndio wanaongeza views tishaaaaa.Utashangaa asilimia kubwa waliochangia hiyo video kuwa na views nyingi ni mashabik wa diamond...
Utashangaa asilimia kubwa waliochangia hiyo video kuwa na views nyingi ni mashabik wa diamond...
YooooHit Song ya Alikiba iitwayo Seduce Me, imefikisha views 1m, usiku huu na yawezekana ikawa nyimbo ya kwanza ya Bongo flavour Tanzania kufikisha views 1M ndani ya siku 2 na masaa kadhaa.
Nini maoni yako kama mdau wa mziki?
Sent using Jamii Forums mobile app