Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Big up Kiba hasa kwa kukataa kutumika kisiasa na BAVICHA.

Ifahamike kuwa kulikuwa na tetesi za vijana hao kumtaka Kiba atumike kwao na wao watampa promo la nguvu kwenye mitandao.

Jamaa kawaambia wafanye kwanza, wamejitolea kwa nguvu zote kisha kawapiga chini.

Ukiona wanamtukana ujue wanalipa kisasi.
 
Watu wajaelewa. Wimbo wa Alikiba unawenjoy regardless kuna video ama haukuna. Lakini wa Dai huwezi kuwenjoy bila video.

Plili Wa Alikiba wakimataifa. Imagine kuna watu wawili hawajui kiswahili kabisa ukiwambia wasikilize zote mbili hakika watachagua wa Alikiba

Tatu Alikiba yuko mwenyewe lakini kule team yote ya basketball imecheza. Allikba is the king. Period

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Dai taarabuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua team kwaya watakuja kutoa povu

Ila ukweli usemwe alikiba kafanya international music, wimbo wa kiba umekaa kiclubclub lakini wimbo wa wcb umekaa kisingeri au kigoma cha uruguay

BACK TO THE TOPIC

sasa tujaribu kujuzana wale watu maarufu walioukubali wimbo seduce me

1.Ridhiwan kikwete
2.Paul makonda
3.Diva
4.Wema sepetu
5.Jokate
6.Mange kimambi(mchepuko wa kiba)
7.Ebitoke
8.Jacklin wolper
9.Mimi
10.Lulu



huko chini endeleeni
 
Mange hana la kufanya????
Ptuuu.
Usituone sisi wote ni watoto hapa.
Shirikisha akili yako kidogo.

Diamond na alikiba nani ana pesa nyingi ili amnunie mange??
Ngoja nikufunue kichwa kidogo we kiazi.
Diamond kaoa uganda na hapa tz kaacha wanawake kibao , obvioulsy wengi wana chuki naye, funny enough kazaa na mbongo hamisa afu kamkataa mtoto na kamuita bitch. Unategemea nini? Wanawake wa bongo wamsapoti? Na mange anatafuta sana bifu na zari toka zamani sana ila zari hataki na waka hana time naye.
Nimechoka kutype............. Mengine jazia
Diamond hana ubunifu bhana huo ndiyo ukwel

Katoa nyimbo kibao jiulize zimefika wap zinachuja fasta sana

Mfano katoa Eneka, katoa fire, katoa I miss you , na hii zilipendwa ndani ya miez 2 tu nyimbo zote hizo . lakin hakuna hata mmoja ambao umepata tension kubwa sana .

Afu kipind hiki mond anataka kutembelea nyota ya kiba maana aliachia huo ili aweze tu kupaa kupandisha chat wimbo wake.

Huenda kuwa na studio K unafanya awe anaona raha tu kushinda studio

Jambo lingine maneno yake ya kejeli hasa kumtusi hamisa na ma drama yake ya ajabu ajabu na tabia yake ya kukop sana naija music inampotezea sifa

Inabid abadilike atengenezee kiu kwa mashabiki na atoe nyimbo kwa mpangilio mzuri atadumu hewan

Tofaut na hapo ataendelea kudrop sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaa 38 ni siku mbili

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Kesho saa 6 mchana Zilipendwa inatimiza saa 38, tuone kama atavunja rekodi
Bado masaa 6 tu ina views 720,000
Vevo vs youtube

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Back
Top Bottom