Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

yes,naona Mange naye kanunuliwa ndo mana kampa promo sana,Mange mwenyewe ni kama kichaa,hana la kufanya USA daily anafatilia local event hapa tz,she's too cheap kununuliwa na Alikiba
Mange hana la kufanya????
Ptuuu.
Usituone sisi wote ni watoto hapa.
Shirikisha akili yako kidogo.

Diamond na alikiba nani ana pesa nyingi ili amnunie mange??
Ngoja nikufunue kichwa kidogo we kiazi.
Diamond kaoa uganda na hapa tz kaacha wanawake kibao , obvioulsy wengi wana chuki naye, funny enough kazaa na mbongo hamisa afu kamkataa mtoto na kamuita bitch. Unategemea nini? Wanawake wa bongo wamsapoti? Na mange anatafuta sana bifu na zari toka zamani sana ila zari hataki na waka hana time naye.
Nimechoka kutype............. Mengine jazia
 
Hauwezi kununua views kwenye Official Account ya Youtube VEVO. Hiyo inawezekana kwenye free YouTube accounts tu. Kwenye Official YouTube VEVO kuna security access ambazo haziwezi kuruhusu computer generated (robotic) views, kule ni mwendo wa IP address moja counts 1 views, huko zote ni real views tu. Kumbuka kuna payment anapata kwa kila idadi fulani ya views, hawawezi kukubali false views, coz zingewafilisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka mkumbuke wakati diamond alipokuwa na views nyingi Kuna maneno yalisemwa ya namba hiyo. Leo imetokea kwao au team mond nao watoe povu kuwa views zinanunuliwa.?!? Yote hii ni kampeni ya Dada wa sociomedia naona sasa imemshinda kahamia bongoflavani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
e8b11baf9c3c886915f6c25f9733a06b.jpg
Fursa imejitokeza 😀
 
Nilitaka mkumbuke wakati diamond alipokuwa na views nyingi Kuna maneno yalisemwa ya namba hiyo. Leo imetokea kwao au team mond nao watoe povu kuwa views zinanunuliwa.?!? Yote hii ni kampeni ya Dada wa sociomedia naona sasa imemshinda kahamia bongoflavani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa vevo msome jamaa vizuri [HASHTAG]#pasuakichwa[/HASHTAG]
 
Mange hana la kufanya????
Ptuuu.
Usituone sisi wote ni watoto hapa.
Shirikisha akili yako kidogo.

Diamond na alikiba nani ana pesa nyingi ili amnunie mange??
Ngoja nikufunue kichwa kidogo we kiazi.
Diamond kaoa uganda na hapa tz kaacha wanawake kibao , obvioulsy wengi wana chuki naye, funny enough kazaa na mbongo hamisa afu kamkataa mtoto na kamuita bitch. Unategemea nini? Wanawake wa bongo wamsapoti? Na mange anatafuta sana bifu na zari toka zamani sana ila zari hataki na waka hana time naye.
Nimechoka kutype............. Mengine jazia
Sijajua jinsia yako.. wewe ni mwanamke au mwanaume??? Maana sio kwa vijembe hivi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampeni ya huu wimbo sijapata kuona! Kwa nini usiachwe ujiuze wenyewe kama Aje , maana ile ya Mange ni zaid ya Kampeni

Na kampeni watu wakiikubali means[emoji23][emoji23][emoji23] imekubalika
 
Back
Top Bottom