Unaelewa maana ya VEVO lakini?Afu muwe mnafanya uchunguzi kwanza diamond nyimbo yake ya salome ilifkisha 1mil views ndani ya masaa 24 sasa iweje useme haijawai fikiwa na mbongo flavour yyte
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani wataalamu wa mziki napenda kujua wimbo wa Ali kiba unahusu nini maana kilichoimbwa ndani bado sijaelewa wimbo unahusu nini sio kwamba nauchukia hapana ninachotaka kujua ni nn kaimba mle ndan mana kila nikisikia ata siuelewi
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Lyrics ndo zimenichanganya kabisa asee..Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up),
What the hell,
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up)
What the hell
Nakuona unakata,Be carefully sister,
Nakama unataka,they call me heart breaker(breaker),
Nina majina mapya,kila mmoja amenipa,
Wananiita kipusa,ooh pasua kichwa,
mimi ninamajina mapya,kila kona wamenipa,
Wananiita kipusa,ooh pasua kichwa.
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up),
What the hell versuri-lyrics.info
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up)
What the hell.
Eh! Najua kupenda,Nagwa mavumba,
Nakama unataka,they call me kiba Rockstar,
Nina mandinga mapya,kila mmoja nampa,
Wananiita misifa,ooh pasua kichwa,
Nina mandinga mapya,kila mmoja nampa,
Wananiita misifa,ooh pasua kichwa.
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up),
What the hell,
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up)
What the hell.
Yoop! You know me girl,I go by the name of alikiba,
Unstopable,
Mama lailalaila mama,Despacito,
Despacito,Cheza kidogo,
Zungusha kiuno chako uonyesheee.
KARIBU KWANZA PITIA HIYO MISTARI HALAFU KAMA HUJAELEWA UTAELEWESHWA ZAIDI HAPO
FoamUmepuyanga ,,Eti zary ,,, naww MTU mzm unashindwa kujua editing video na real one ,,MWISHO wasiku unaleta humu kulikojaa wasomi ,,naww unaonekana km jingalao.
Sure mkuu ,,ujue Leo ndo nmepata fursa ya kuutizama huu wimbo yaaan nisifuri sifuri hamna kituuuuuu yaaan nizero unazidiwa hata na wa ZEZETA !!. hamnaa kituuuu ila nmekuja tu kugundua mashabiki wa Kiba ni wanaukawa in nature ,, hawampendi diamond sababu alisema ngoja nikae kimya !!. Yaaan niwatu ambao in nature wameathiriwa na utawala wa awam yatano.Watu mnajua kulazimisha mambo, kama nyimbo ni nzuri si muyaachie masikio yetu. Kwanini mnatulisha matango pori kwa kuanzisha thread 150 kwa 24 hours
Amezungumza fact kuhusu wanawake wa bongo kumdiss dojo.Sijajua jinsia yako.. wewe ni mwanamke au mwanaume??? Maana sio kwa vijembe hivi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Vevo?Afu muwe mnafanya uchunguzi kwanza diamond nyimbo yake ya salome ilifkisha 1mil views ndani ya masaa 24 sasa iweje useme haijawai fikiwa na mbongo flavour yyte
Sent using Jamii Forums mobile app
Realy tena baada ya KUTOKA ZILIPENDWA YA MONDI WALIKUA NA VIEW LAKI3Mashabiki wa Kiba wamekuwa na kampeni huko Instagram kushinda wanaingia na kutoka tangu jana usiku. Wameweza
Teh teh teh teh,Watu mnajua kulazimisha mambo, kama nyimbo ni nzuri si muyaachie masikio yetu. Kwanini mnatulisha matango pori kwa kuanzisha thread 150 kwa 24 hours
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo ni kwambà siku ina masaa 24 kwahiyo unavosema siku 2 inamaanisha masaa 42 ndo maana wakuu wanajaribu kukosoa hata you tube ni 1 day ago kwasababu hazijatimia SAA 42 kuweza kuwa siku 2Mkuu usiogope, neno ndani ya siku mbili linamaana huo muda uko ndani. Wakati naandika nilikuwa na shangwe ya hatari sana club, ila Mods nawaomba wa edit heading waweke masaa 38. Invisible
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana dharau isipokuwa wabongo tuna roho mbaya.Diamond tar 1 sep anatoa wimbo na patorankibg so kulikiwa hakuna haja ya kutoa huwo wimbo, kama mtu wa kujifunza kashajifunza watu wengi sana wanamchukia mond either kwa mafanikio yake, husda na pia ulopokaji wake aache dharau maana fans ndo wamemuwek pale. Next time usirudie huu ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
ni Patoranking ft DiamondDiamond tar 1 sep anatoa wimbo na patorankibg so kulikiwa hakuna haja ya kutoa huwo wimbo, kama mtu wa kujifunza kashajifunza watu wengi sana wanamchukia mond either kwa mafanikio yake, husda na pia ulopokaji wake aache dharau maana fans ndo wamemuwek pale. Next time usirudie huu ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app