Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Tuacheni masihara wimbo mzuri Sana kiba katisha sana.
Huu wimbo unasikiliza taratibu huku unachapa mzigo(demu) na yeye anafurahi akikata kiuno taratibu.
Ule mwengine(zilipendwa) n makelele tu
#KipusaUnstoppable#SeduceMe that's real talent,keep it up bro
 
Watu wajaelewa. Wimbo wa Alikiba unawenjoy regardless kuna video ama haukuna. Lakini wa Dai huwezi kuwenjoy bila video.

Plili Wa Alikiba wakimataifa. Imagine kuna watu wawili hawajui kiswahili kabisa ukiwambia wasikilize zote mbili hakika watachagua wa Alikiba

Tatu Alikiba yuko mwenyewe lakini kule team yote ya basketball imecheza. Allikba is the king. Period

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ufafanuz yaani kule wengine walijiunga kwaya kabisa kama kijitonyama kwaya dhidi ya kiba pekee yake na wote kawakalisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka mkumbuke wakati diamond alipokuwa na views nyingi Kuna maneno yalisemwa ya namba hiyo. Leo imetokea kwao au team mond nao watoe povu kuwa views zinanunuliwa.?!? Yote hii ni kampeni ya Dada wa sociomedia naona sasa imemshinda kahamia bongoflavani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mond ana akaunti vevo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Back
Top Bottom