Haha mkuu acha hasira na msukumaLile kenge fid q lilisema viewers wananunuliwa wakati hule diamond anasakamwa.....haya sasa hivi anaongeleaje !!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
brain is the beautiful part of the body.
Haha mkuu acha hasira na msukumaLile kenge fid q lilisema viewers wananunuliwa wakati hule diamond anasakamwa.....haya sasa hivi anaongeleaje !!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Potelea mbaliUtashangaa asilimia kubwa waliochangia hiyo video kuwa na views nyingi ni mashabik wa diamond...
Potelea mbaliUtashangaa asilimia kubwa waliochangia hiyo video kuwa na views nyingi ni mashabik wa diamond...
Views kule YouTube sio kwamba unaigia nakutoka ndo uwe na views wengi hata uingie mara mia haisaidii inahesbika mara moja. Labda utumie simu au account tofauti tofautiMashabiki wa Kiba wamekuwa na kampeni huko Instagram kushinda wanaingia na kutoka tangu jana usiku. Wameweza
Hahaha hiyo ndo identity mkuu, kama upande wa pili wanavyotumia "wasafi"wimbo mzuri kiba....but hizo yooo, zinaboa bhana
nadhani ni i am too smart, not i am too smallDo not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up),
What the hell,
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up)
What the hell
Nakuona unakata,Be carefully sister,
Nakama unataka,they call me heart breaker(breaker),
Nina majina mapya,kila mmoja amenipa,
Wananiita kipusa,ooh pasua kichwa,
mimi ninamajina mapya,kila kona wamenipa,
Wananiita kipusa,ooh pasua kichwa.
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up),
What the hell versuri-lyrics.info
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce meee like what the hell(ah hold up)
What the hell.
Eh! Najua kupenda,Nagwa mavumba,
Nakama unataka,they call me kiba Rockstar,
Nina mandinga mapya,kila mmoja nampa,
Wananiita misifa,ooh pasua kichwa,
Nina mandinga mapya,kila mmoja nampa,
Wananiita misifa,ooh pasua kichwa.
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up),
What the hell,
Do not do like that,I’m too small dada,
Seduce me like what the hell(ah hold up)
What the hell.
Yoop! You know me girl,I go by the name of alikiba,
Unstopable,
Mama lailalaila mama,Despacito,
Despacito,Cheza kidogo,
Zungusha kiuno chako uonyesheee.
KARIBU KWANZA PITIA HIYO MISTARI HALAFU KAMA HUJAELEWA UTAELEWESHWA ZAIDI HAPO
Mkuu tulia hivyo hivyo hehehe!Kwahiyo hapo atavimba kichwa na kuamini ametoa wimbo mzuri sio?
kichwa chako kigumu sana mtu wangu.Nilitaka mkumbuke wakati diamond alipokuwa na views nyingi Kuna maneno yalisemwa ya namba hiyo. Leo imetokea kwao au team mond nao watoe povu kuwa views zinanunuliwa.?!? Yote hii ni kampeni ya Dada wa sociomedia naona sasa imemshinda kahamia bongoflavani.
Sent using Jamii Forums mobile app
bila kusahau comments ni za aina gan..either ni positive or negative commentsNdo iko hivyo, na wengine walienda iangalia tu kujua ikoje maana watu wameiomgelea sana!
Inatakiwa kujua likes na dislikes ziko ngapi!
Hata Chama cha Makinikia kinatumia nguvu kubwa kwenye kampeni, Kibaya chajiuza.......Na kampeni watu wakiikubali means[emoji23][emoji23][emoji23] imekubalika
Yani kiba kavunja rekodi ya nani sasa au ktk nyimbo zake maan nachojua record iliwekwa na mondi nyimbo yake ya salome ilitizamwa na views million moja ndan ya masaa 24Mkuu siku moja iko ndani ya siku mbili na masaa kadhaa. Wako sawa. Cha Msingi kavunja rekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
embu acha kudaganya watu unajua Come Closer ya wiz kid iligonga viewers ngapi uko vevo kabla ya masaa 24 ilikuwa tayari n viewers 1 million na usheIKUMBUKWE
Seduce me by alikiba uko kwenye account ya VEVO!
ni msanii wa kwanza kwa Afrika Mashariki kufikisha views 1m ndani ya masaa 38!!
(I mean hakuna msanii ambaye wimbo wake uliwekwa VEVO ukafikisha views 1m kwa muda mfupi hivyo!!hata ule wa Marry you wa diamond ft neyo(international artist haukufikisha views 1m ndani ya muda mchache hivyo).
Keep the good music alive!
Afu muwe mnafanya uchunguzi kwanza diamond nyimbo yake ya salome ilifkisha 1mil views ndani ya masaa 24 sasa iweje useme haijawai fikiwa na mbongo flavour yyteHit Song ya Alikiba iitwayo Seduce Me, imefikisha views 1m, usiku huu na yawezekana ikawa nyimbo ya kwanza ya Bongo flavour Tanzania kufikisha views 1M ndani ya masaa 38.
Nini maoni yako kama mdau wa mziki?
*MODS SAIDIENI KU EDIT HEADING KWA KUONDOA NENO NDANI YA SIKU MBILI NA KUANDIKA NDANI YA MASAA 38. Invisible na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa maana ake alikiba kashindwa kuvunja record ya diamond bado maan yy alifikishaga views mil moja ndani ya 24 hoursKesho saa 6 mchana Zilipendwa inatimiza saa 38, tuone kama atavunja rekodi
Bado masaa 6 tu ina views 720,000
Watu wajaelewa. Wimbo wa Alikiba unawenjoy regardless kuna video ama haukuna. Lakini wa Dai huwezi kuwenjoy bila video.kichwa chako kigumu sana mtu wangu.
umeshaambiwa ina wezekana kwenye free account. kiba na mond wa kwanza kuingia vivo ni kiba dai hana hata miezi4 tangu afungue account huko.... usasahau mapovu aliyoyatoa siku kiba anatangaza vevo yake?
Sent using Jamii Forums mobile app