Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

embu acha kudaganya watu unajua Come Closer ya wiz kid iligonga viewers ngapi uko vevo kabla ya masaa 24 ilikuwa tayari n viewers 1 million na ushe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaelewa maana ya Africa Mashariki ??? Daaah eeeh Mungu okoa hiki kizazi chenye ubongo uliovia damu

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Kwenye PC yangu, Youtube inacheza Autoplay kuna video zinafunguka hata kama sina haja ya kuziangalia
 
Hii ngoma nakuambia inaeza kua ngoma ya mwaka huu... yaaani ilivobamba utadhani n nyimbo ya taifa,... kila kona ni seduce seduce
 
Hii ndio huitwa mgema akisifiwa sana,tembo hitia maji.
Mi nilikua napenda kuskiliza nyimbo sana nyimbo zake,zilijaa mafunzo,sauti nzuri,,eg, macmuga,Sinderela,nk.Lakin huu,hata sauti,si yke,video haiko sawa,huyo video Queen, do not reflect the, yaan cjamuelewa.Nilifikiri kukaa kimia kwa muda mrefu bila kutoa,atarudi kwa kishindo!,lkn haikua hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wajaelewa. Wimbo wa Alikiba unawenjoy regardless kuna video ama haukuna. Lakini wa Dai huwezi kuwenjoy bila video.

Plili Wa Alikiba wakimataifa. Imagine kuna watu wawili hawajui kiswahili kabisa ukiwambia wasikilize zote mbili hakika watachagua wa Alikiba

Tatu Alikiba yuko mwenyewe lakini kule team yote ya basketball imecheza. Allikba is the king. Period

Sent using Jamii Forums mobile app
mziki mzuri hauhitaji mbwembwe. watu wanaosema hii video ina Giza ndo hao wanaoupenda work wa Rihanna, wizkid ft Drake, dj Khaled ft Rihanna.......
tz tupo nyuma sana....
siwalaumu tumechelewa kuona magari makali ndo maana bila Maybach kwenye kideo hatujaupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabeba tuzo nyingi sana kwa timing aliyofanya
 
Back
Top Bottom