Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Jmn naomba namie nijuzwe... sina team ila hii nyimbo honestly sijaielewa. Nmeiangalia zaid ya mara tatu, nnadhan labda kwa kua sijui mipasho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh sina timu ila aisee...hapa timu ndo imefanya wimbo wake ukapendwa!

Huu wimbo on a normal day is the worst song he has ever released! Alitaka kuiga majuu (singing of being a player nadhani) lakini idea imegoma...vina hauna, mizani hauna..

anyway...
Kaka kuna aina za mashairi ambayo ni
1.mashairi ya kimapokeo &
2.mashairi ya kisasa.
 
Hit Song ya Alikiba iitwayo Seduce Me, imefikisha views 1m, usiku huu na yawezekana ikawa nyimbo ya kwanza ya Bongo flavour Tanzania kufikisha views 1M ndani ya siku 2 na masaa kadhaa.

Nini maoni yako kama mdau wa mziki?


Sent using Jamii Forums mobile app
We boya siku mbili bado hazijafika, mods fanyeni edit ya heading. Huyu fan wa domo amepotosha

Lexus Mayai
 


My Take:

Nimeusikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba, ukweli nimesikitika sana. Sikutegemea kama mwaka mzima aliokaa kimya msanii kama Kiba anaweza kutoa wimbo wa kiwango duni kama huu.

Kaka miez sita(6) sio mwaka mzma.
 
Sasa nimeamini wasanii bongo wananujua views.
Ule wimbo ni mbaya balaa, hata huu mpya wa WCB, round hii wote wamechemka, nimeiona mara moja tu sikutaka hata kurudia.
 
Duh! Kwa kweli hata mimi naona maluwe luwe! Seduce me = nitongoze (kwa kizungu changu cha la saba) ila sasa yaliyoimbwa ndani sijui wananiita kipusa, sijui mambo gani tena.... Naomba msaada vizuri wadau. Lengo nami nijue wimbo hasa u nahusu nini. Asanteni

Hate me at your own risk
Hata mimi mkuu sielewi...naona tu watu wanavyoupaisha huo wimbo akiwamo MANGE..UKIIMBA ninachosikia ni MAJINA MAPYA...KIPUSA...DADA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom