Mtani mtata
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 475
- 341
Hii nchi ya ajabu sana!!! anyway tunakukosea sana chibu kukupambanisha na ht wasiojua! watu wamejawa chuki na roho mbaya juu yako! ila endelea kukaza mwana hz ni kelele za chura tu! tunakukukbali na kuzielewa kazi zako huyo wanaempa promo pumzi hana, hapo ametoa kanyimbo kake kumsikia tena mpaka mwakani...keep it up bro#Daimond platnumz
