maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,144
Kufuatia kifo cha World Icon Nelson Mandela rais wa Marekani Barack Obama amethibitisha kuwa miongoni mwa viongozi watakaohudhuria mazishi hayo yatakayofanyika tarehe 15 December.
Aidha watu mbalimbali duniani kote zikiwemo China,Uingereza na Italy amabapo vichwa vya habari kwenye magazeti kifo cha mandela ndio habari iliyotawala wamemiminika ubalozi wa Afrika kusini kutoa heshima zao kwa mzee Mandela.
Hakika dunia inajivunia kuwahi kuwa na kiongozi shupavu ambaye ametajwa historia yake imeibadili dunia, Rest in Peace MADIBA.