Obama kuhudhuria mazishi ya Mandela

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,050
14,931
Kufuatia kifo cha World Icon Nelson Mandela rais wa Marekani Barack Obama amethibitisha kuwa miongoni mwa viongozi watakaohudhuria mazishi hayo yatakayofanyika tarehe 15 December.

Aidha watu mbalimbali duniani kote zikiwemo China,Uingereza na Italy amabapo vichwa vya habari kwenye magazeti kifo cha mandela ndio habari iliyotawala wamemiminika ubalozi wa Afrika kusini kutoa heshima zao kwa mzee Mandela.

Hakika dunia inajivunia kuwahi kuwa na kiongozi shupavu ambaye ametajwa historia yake imeibadili dunia, Rest in Peace MADIBA.
 
People around th world are celebrating his life,naangalia BBC hapa huyu jamaa ni zaidi ya nilivyokuwa namfikiria maana BBC throughout ni habari ya Mandela tupu habari zingine zote wametupa kule
 
Aljazeera, SKY news, BBC, CNN na tv channels za Kenya zinarusha coverages za kifo hiki kwa ustadi mkubwa pasipo kuuma maneno.

Pale Kenya ukiwaangalia Citizen tv, Qtv, K24, KBC muda wote ni coverage hii tofauti sana na luninga zetu za kibongo.
 
Ile excuse aliyoitoa kuhusu kifo cha Margareth Thatcher kwamba hakutaka attention iwe kwake badala ya Marehemu haiko applicable tena?
 
If everybody will try to emulate Tata Mandela the world will turn heaven on earth. RIP Madiba
 
Aljazeera, SKY news, BBC, CNN na tv channels za Kenya zinarusha coverages za kifo hiki kwa ustadi mkubwa pasipo kuuma maneno.

Pale Kenya ukiwaangalia Citizen tv, Qtv, K24, KBC muda wote ni coverage hii tofauti sana na luninga zetu za kibongo.

channel zetu ilipotokea milipuko ya mabomu na kuzama kwa meli tbc walikuwa wanapiga taarabu na channel nyingine tamthilia etc

hivo usishangae.
 
channel zetu ilipotokea milipuko ya mabomu na kuzama kwa meli tbc walikuwa wanapiga taarabu na channel nyingine tamthilia etc

hivo usishangae.

Wanaweeza kutangaza propaganda za CCM na serikali ya CCM pekee nyingine sio news kwao na ni marufuku!
 
Namhurumia sana Mama Clinton kwani sijui kama ataweza kwenda kumzika "baba yake" wa Kiroho....
 
Yani kuna watu hatawasipoenda hamna mtu anawaulizia mfano ndovu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom