Obama has TZ blood or is someone trying to ride his coattails? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama has TZ blood or is someone trying to ride his coattails?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alpha, Nov 1, 2008.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Newspaper: Obama has Tanzanian blood

  DAR ES SALAAM, Nov.1 (Xinhua) -- A local newspaper on Saturday reported that United States presidential candidate Barack Obama has Tanzanian blood flowing in him as well.

  The Weekend African newspaper said in a bylined frontpage story that Obama's grandmother on his father's side had hailed from the Kowak Village in Tarime in Tanzania's Mara Region which borders southwestern Kenya.


  U.S. Democratic Presidential nominee Senator Barack Obama campaigns during an election rally in Sarasota, Florida, October 30, 2008.

  The newspaper quoted Philemon Sarungi as saying that he had met in Tarime some of Obama's relatives on his grandmother's side.

  Kowak is a village that comes under the Rorya Constituency where Sarungi is the current member of parliament who went there for a by-election campaign only recently.

  The newspaper also reported that Sarungi was once taught by Obama's father in Uganda where Obama Senior taught as one of three African teachers at the Seventh Days Adventist Church Missionary College in 1954.

  Newspaper: Obama has Tanzanian blood_English_Xinhua
   
 2. A

  Alpha JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  He also has Ugandan and Sudanese blood.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hata kama ni kweli, so what?
   
 5. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sasa akiwa na Tanzanian blood kipi kikubwa hapo .....Wafrika badala ya kufanya kazi tunakaa tukiota kuwa Obama atakuja kutusadia. Ahadi alizotoa kwa watu wake na credit crunch ilivyoharibu US economy sidhani hata kama atakuwa na muda wa kuhaingaika about Afrika.
   
 6. M

  Mama JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  isije ikawa yale yale ya mlima Kilimanjaro..........
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli mama, hawa wakenya hawaaminiki!
   
 8. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 9. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona hiyo ya wakenya ni suala dogo sana.......wenzenu waafrika kusini wanauza tourist packages wakisema hizo packages zina-include kwenda kuuona mlima Kilimanjaro ambao hauko mbali sana na SA..............
  Na kwa taarifa, wengi wa watalii wanatokea SA na deals zao kamili za kuja akuuona mlima wetu tukufu..........

  I am not surprised kuhusu Obama kuwa na Tanzanian blood maana na mimi mumo kwa mumo nina blood ya kutoka sudan na pengine yemen maana kumbuka wajaluo wametokea Northern Sudan, so Kaka yangu Obama usihofu watatumia nafasi hiyo kusisitiza kuwa na wewe ni mwislamu halisi kumbuka uislamu umeshika hatamu huko North Sudan................

  People can say stuff !!! wangoni wa bongo wana blood kutoka kwa wazulu, ukiwaona weupe sana basi ujue na damu ya kidachi imepitia humo, the list can go on and on
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280

  Oooh!! Please we don't need this!!! :(
   
 11. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hii haiongezi chochote, kwa kifupi hakuna walichosema hao Xinhua. Kwanza hiyo miaka inayohusika hapo hakukuwa na uraia wa Tanzania, wala Kenya wala Uganda, sote tulikuwa chini ya mwingereza, chini ya Mtukufu Mfalme George wa sita! Hiyo "Tanzanian blood" hapo hakuna.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Nov 2, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ndivyo Tulivyo......
   
 13. F

  Falconer JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2008
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Kikwete Missed the boat. Kikwete amejiweka karibu sana na adui Bush kiasi kwamba nakuja mwana wa kiafrika hatujui mambo yatakuwa vipi.
   
 14. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  You sound familiar.
   
 15. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  This is scrap!!
  If Obama has Kenyan, Tanzanian, Ugandan, Sudanese, Rwandan or Burundian blood what does it have to do with us???

  If elected he will be and stay the president of US, why do we have to find things that link us to him?? It boring cos we should try thinking of ways to improve our lives sio kutafuta undugu wa kuvuta na kamba kwa mtu asiye na habari na sisi!!!

  Let us be constructive for us to go one step ahead!!
   
 16. K

  Kijunjwe Senior Member

  #16
  Nov 3, 2008
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizi ni dalili za kukosa kazi na kuwa short minded.
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Waafrika bwana! Hawakawii kuunganisha undugu just because!
  It reminds me of one Dr in the 1970s/80s - just because he was seen to be "very successful" all his tribesmen were claiming to be related to him... now that he is just an ordinary old mwananchi... "he has lost all his relatives!"
   
 18. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  angekuwa muhalifu kila mtu angejitahidi kuwa nae mbali

  ndio maisha yalivyo kwenye neema tuwe sote
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Si unakumbuka mtu fulani alisimama kujitambulisha kwenye tafrija fulani hapa Dar es Salaam na akasema hivi <I>"Mimi naitwa Tiba jirani yake Professor Mulokozi ambaye amesoma Havard na ana gorofa mbili na magari kumi na ....."</I> akashukuru watu kwa kumsikiliza na akaket....

  Hii ndiyo ya ku-damunisha BO na TZ... I believe this is not correct maana ufisadi wa Marekani ni tofauti na TZ
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Nov 3, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Coz I'm repping one of JF's prolific members who's been banned...
   
Loading...