Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

Dr. Kigwangala ameonyesha uhasilia wake - ugeugeu wa wa burundi tuliowapa hifadhi miaka nenda rudi lakini wanateka mabasi yetu!
 
ni vyema tukasikia pia ya wananchi na wawekezaji

I smell funny stuff hapa.... maana tumesikia kapigwa kwa kuwatetea wawekezaji

Halafu hata hivyo ina maana kutokana na habari yenyewe wawekezaji nao walikuwa wanarusha mawe? Na kwa muonekano wa story yenyewe Kigwangwallah akawa kama mtu kati. Halafu hata hiyo gari inayotajwa mbona tofauti na iliyoelezewa awali? Mwanzoni ilionekana kama Range Rover lakini hapo inaongelewa gari ndogo Toyota Caldina.
 
kuna watu wawili wameripoti tukio hili mpaka sasa kupitia JF. Wote wako nzega lakni maelezo yao tofaut kabisa. Sasa tumwamini nani
 
Hii habari haijakaa sawa, lazima kuna spinning ya kitoto hapa. Hao wawekezeji wako wangapi? Kuna uwekezekano Kingwangalla 'alikopa' watu toka eneo tofauti waje wapambane na wenjeji hapo ili ionekane wawekezaji wanapambana na mbunge?
 
uko sawa kabisa hapa kunawatu wanacheza mchezo mchafu
 
Kigwa Ni Muongomuongo, Mjanjamjanja hata hii habari sitashangaa kama hajaandika yeye
 
Hii habari haijakaa sawa, lazima kuna spinning ya kitoto hapa. Hao wawekezeji wako wangapi? Kuna uwekezekano Kingwangalla 'alikopa' watu toka eneo tofauti waje wapambane na wenjeji hapo ili ionekane wawekezaji wanapambana na mbunge?
thanks
 
acha yawasumbue ya kupena ulaji kirafiki. ccm muda huu wanaweza hata kujigawia mke wako mfano Nchemba Igunga. kwa akiri yao kila kitu chao
 
Sidhani!...HATUJAFIKIA HUKO!
Kuna jambo hapa linafichwa!

mleta mada anatuzuga habari zilizopatikana tangu jana ni kuwa mbunge kapigwa na wachimbaji wadogowadogo baada ya kuwageuka na kutaka machimbo hayo yafunguliwe ikiwa siku chachetu tangu ashiriki kuyafunga..leo tunaambiwa wawekezaji wamempiga kimwagala huu ni uongo
 
Jamani huko kwenye Hiyo vurugu ni kwenye mashimo(maduara)kamayanavyotambulika na wenyeji na sio MGODI
na waliorusha mawe ni wamiliki na sio wawekezaji
 
Toka ameanza harakati zake huyu jamaa nmekuwa namuangalia kwa jicho la ukakasi, sasa naanza kupata picha kwanini nilikuwa mzito kumuamini.
 
Naomba wakuu kujua. Huyu Kigwangala ni Dr wa mifugo/binadamu au PhD? Tafadhali
 
Back
Top Bottom