Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

..mimi namsapoti 100%, yeye anaprofessional yake tena ya MUHAS, hana dhiki.
 
Mupirocin tumekuelewa lakini mtu akishaingia kwa Magamba hubadilika sana, inawezekana uharakati wake uliishia Muhimbili. Tatizo lingine wabunge wanakopa sana hivyo ni vigumu sana kuweza kurudisha fedha alizokopa. Mbunge mmoja aliyemaliza ubunge mwaka jana alikuwa anakatwa posho na mishahara yake kwa miaka yote mitano mpaka kiinua mgongo chake. Wabunge wengine wanakopa hata kwa mafisadi. Kama Dr. hana madeni basi anaweza kujiuzuru.
 
Anatumia gari ya daktari wa wilaya ilihali ana vogue! What a disgusting impostor!!!
.....Vogue wakilichapa mawe unadhani ataweza kufanya repair? Vioo na spare za Land cruiser unaenda tu hata kariakoo zimejaa kibao!!
 
Yaani huyo bwana mdogo sio wa kumuamini hata kidogo, kishatumbukia humu JF just a day baada ya kutoka selo with aliases as usual and the beat is just the same as before. Anachotafuta ni platform na free airtyme!!!!!

Nyambala, sina tabia ya uoga wa kusema ninachojisikia hata kama ikiwa ni kutukana. Ukiniudhi, nikaona unastahili tusi, basi mimi nakupa hapo hapo, sikukopeshi! That being the case, naomba nikufahamishe kuwa huwa sijifichi kwenye aliases hata siku moja! I am a free man and I retain my idendity all the time, and my right to independent thinking! I allow you to judge my words/actions without influence...
 
Watu wengi humu mnachangia kwa itikadi za vyama vyenu na mnadhani basi nyie ndiyo mnaipenda nchi hii na kwamba kuitukana CCM, wanachama, viongozi na serikali yake ndiyo uzalendo! Uzalendo hauna chama, ni wetu sote ukiondoa itikadi.

Usidhani hata nafanya siasa zangu kwa kukuridhisha wewe unayenikejeli na kunidharau hapa, nina dhamana ya kuwatumikia wanaNzega na hao wakiridhika basi inatosha maana hao ndiyo waajiri wangu!
 
Back
Top Bottom