burna boy

  1. Krikichino

    Tyla Awabwaga Davido Na Burna Boy Kwenye Tuzo Za Grammy

    Unakumbuka Ile ngoma Water? 🎶Baby Sweat, Baby Water🎶 Sasa msanii ambaye ameimba ngoma hiyo yaani Tayla ameshinda tuzo Ya Grammy usiku huku akiwabwaga wasanii Wakubwa ikiwemo Davido na Burna Boy. Tayla ameshinda tuzo hiyo kubwa kupitia kipengele cha Best African Music Performance alichokuwa...
  2. BARD AI

    Diamond kapigwa chini kuwania tuzo ya GRAMMY, Davido, ASAKE, Burna Boy, Ayra Starr na Tyla watajwa

    Nominations za Grammy za mwaka 2024 zimetangazwa, na wasanii kama vile Drake, Ice Spice na SZA miongoni mwa wa wanaowania tuzo. Waandaaji (Recording Academy) imetaja orodha kamili ya wateule Novemba 10 kabla ya Tuzo za 66 za Grammy, zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Crypto.com huko Los Angeles...
  3. Hance Mtanashati

    Burna Boy agomea zaidi ya bilioni 12 kufanya show Dubai kisa kunyimwa kibali Cha kuvuta bangi. Huyu jamaa bila shaka ndiye aliyemuharibu ndugu yetu wa

    Katika hali iliyowaacha wengi mdomo wazi ni suala la African giant Burna boy kugoma kufanya show Dubai yenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 5 kisa tu kanyimwa kibali cha kuvuta bangi . Ukisikia bangi nibangue ndio hii sasa 🤣🤣🤣🤣🤣 Nikiangali ushikaji wa kimtindo uliopo kati yake...
  4. M

    Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

    Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote. Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with...
  5. LIKUD

    Tuseme ukweli: Show ya Burna Boy( NYC) imejazwa na wanaija

    Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali.. Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao.. hata ukisikia sauti za back ground wanao sing along na Burna Boy kwenye hiyo show yake unasikia lafudhi za...
  6. BARD AI

    Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani

    Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani . Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave...
  7. BARD AI

    BETAwards2023: Burna Boy ashinda tuzo ya Best International Act ya BET, Busta Rhymes apewa ya LifeTime Achievement

    Nyota huyo kutoka Nigeria ameibuka mshindi na kuwabwaga mastaa wengine ambao Aya Nakamura, Ayra Starr, Central Cee, Ella Mai, K.O, L7nnon, Stormzy, Tiakola na DJ Uncle Waffles. Beyonce ameshinda 'Viewers Choice', Drake na 21 Savage (Kundi Bora), Future na Tems (Wimbo Bora wa Ushirikiano)...
  8. kamikaze

    Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, nini tunajifunza?

    Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi. Je, siri ya kufanikiwa kwake ni Kipaji au menejimenti inayojielewa? Miaka kama miwili au mitatu alifanya ngoma na Diamond pamoja na...
  9. BARD AI

    Burna Boy, Rema na Tems kukiwasha NBA All-Star Game leo usiku

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama kinara wa Wafungaji Bora wa Ligi. Kabla ya game ya kwanza, #PostMalone ataamsha uwanja kwa ngoma kadhaa...
  10. BARD AI

    Burna Boy ashinda tuzo ya Msanii Bora Afrika MTV EMA's

    The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka. Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
  11. sinza pazuri

    Zuchu vs Burna Boy waingia kwenye mchuano wa MTV awards

    Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards. Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake mkubwa ni burna boi. Sasa bila kuchelewa ingia kumpigia kura mwakilishi pekee wa east africa...
  12. Frumence M Kyauke

    Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

    Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Burna Boy hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi. Kwa mujibu wa Steflon Don, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya kuvunja uhusiano wake...
  13. MALCOM LUMUMBA

    Omah Lay ameonesha uwezo mkubwa sana kwenye album yake mpya

    Binafsi kama mdau mkubwa wa sana ya muziki, hasahasa ule wa Afrika. Hizi siku mbili nimesikiliza album mpya ya msanii kutoka Nigeria, Omah Lay. Niseme tu, mimi kama shabiki mkubwa wa huyu msanii kinda sijaangushwa kabisa. Album yake inaitwa BOY ALONE na imetoka leo hii. Nilichofurahishwa sana...
  14. Frumence M Kyauke

    Burna Boy: Mama yangu anachukia sana ninapomwambia kuwa sitaoa kamwe

    BURNA BOY AKANUSHA NDOA: SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia kuwa hatokuja kuoa. Kupitia insta story yake Burna ameshare ujumbe unaosema; “Mama yangu anachukia...
  15. barcelonista

    Burna Boy amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift

    Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy @burnaboygram amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift. O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy ameandika, "Nimeujaza uwanja wa 02 Mwenyewe, kwa bei niliyotaka, kwa njia niliyotaka, sijaongea sana...
  16. C

    Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani' Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
  17. Superbug

    Tofauti ya Mr flavor na Burna boy ni ipi au ni mtu mmoja?

    Huyu Burna boy ninani? Au ndio huyo huyo Mr flavor? Mbona wanafanana?
  18. H

    Nilikuwa namchulia poa Sana Burna boy

    Binafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1 ilinijidhihilishe jamaa kweli anajua? Nikaanza na wimbo " Way too big" bonge moja ya track na nyingine nyingi...
  19. kamikaze

    Kwa wapenzi wa Burna Boy na wimbo wa Jerusalema

    Angalia remix ya huu wimbo Jerusalema alioshirikishwa Burna Boy, naona kama ameupa huu wimbo ladha nyingine nzuri, enjoy!
Back
Top Bottom