Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Unataka umsage au yeye ndio akusaga au msagane
Basi tuko tofauti dear!Hapana, umesahau kuwa unaemtaka sio Yule mungu anakupa? Ni Mara chache sana my dia kukutana na mtu roho inapenda.
Tunakutana na huyo ulopewa na Mungu unapiga moyo konde unajisemea ntamvumilia na kumfanyia kila kitu, unampenda unamjali, unamheshimu ila yeye hakuna anachofanya kwa ajili yako atimae ndo kama hivyo, usipontafuta hakutafuti, utajiendezeka ila mwisho unachoka.
Kitambaa kiwe cotton Mkuu, kikiwa Satini utakomaNa kuvaa barakoa za kushona?
Nimekuelewa sana bossAhahahah..i hope umenielewa lakn mkuu au sio?
Safiiiii
Kwa hiyo kila siku yeye yupo ivyo tu?Basi tuko tofauti dear!
Wangu naweza muanza hata mwezi mzima wala sioni tatizo, tena naweza tuma text saa moja kaja kujibu saa mbili! Naelewa na najua ananipenda suala la text nani aanze na nani asianze kiukweli haliwezi vunja mahusiano yangu kabisaa!
Ahaha..Sawaa.BTW umenikumbusha mbali sana na hiyo terminology "simbilisi"
Hata yeye akikupenda afanye kama wewe mnavyofanya.Ukimpenda huwezi kumbuka wewe ndo unaanza salam dear!
Shida sio kuanza... kwanini malalamiko yawepo? Mwanamke hatakiwi kulalamika juu ya mwanaume. Hakupigii? Hakutumii sms? Haombi muonane? Haspend time na wewe? Sasa hapo jibu si lipo wazi. I wish hawa wasichana wadogo waelewe momentum ya mahusiano. Itawaokolea muda mwingi sana. Mwanaume kama hafanyi hayo nliotaja hapo juu huyo hana uhitaji na wewe. Usipoteze muda mwingi kuwaza juu yake. Usijione wewe huna thamani. Move on. Invest hizo nguvu zake na feeling zako kwa mtu anaeweka effort. Life is easy.Sasa nyie si ndo mnablameblame humu, sasa kwann kama mwenzio kamute na unaona bila mawasiliano Naye hupati furaha usianze wewe.?
Kuendelea kukomaa kwa mtu ambaye ameshaonyesha hakupendi huo sio Uvumilivu huo ni ujinga.Kuna mengine sio lazima muambiane, wewe mwenyewe unayasoma tuu kwa mpenzi wako!
Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo inabidi tuvibebe kwa ajili ya tuwapendao!
Kitambaa kiwe cotton Mkuu, kikiwa Satini utakoma
Ndivyo alivyo dear, na sio kwamba hana mapenzi!Kwa hiyo kila siku yeye yupo ivyo tu?
Ukiona mnacheza hiyo michezo ya paka na panya basi wote mpo immature.Apo utakuta mlikuwa mnaviziana kila mmoja anasubir mwenzie amuanze ili kulinda hadhi yke asionekane anajipendekezs mwisho bila bila
Sometime wanawake muwe mnajishusha SHWAIN SHENZI TYPES yaan mwanaume akufuatefuate tu mpaka online akuanze yy njian akuanze yy kwenda sex akuanze yy
WANAWAKE MNABOA
Hakupendi sababu hajakutext?!Kuendelea kukomaa kwa mtu ambaye ameshaonyesha hakupendi huo sio Uvumilivu huo ni ujinga.
Sawa mkuu, ukijilinda umetulinda na sisi!Asante kwa kunikumbusha hili.
Ninajitahidi zaidi na zaidi kuhakikisha najaribu kuikwepa corona.