Nyie wanaume mnachotufanyia sisi tuwapendao...

Nyie wanaume mnachotufanyia sisi tuwapendao...

HERUFI KUBWA

Wacha tu nikwambie dada angu, mda mwingine shida ipo kwenu, mfano tu mmoja humu watu wengi wameweka mabandiko ya kutaka mme ila ukiwafuata utagundua kabisa hitaji lao kubwa sio mme tu bali mwenye pesa, kumbuka kuna kauli inasema ukiona mwanaume kafanikiwa juwa kuna mwanamke nyuma yake sasa wewe hutaki kuja kuanza kutafuta unataka vilivyo tayari matokeo yake ndio haya poleni sana, yaan mkipeana tu mawasiliano unaulizwa unafanya wapi kazi hivi unafikiri kila mtu ni wa kujitangaza tu ovyo kuwa nipo ofsi fulani?

Ukiona wa kujibu haraka hivyo juwa ni tapeli tu hakuna chochote na wapo wanaosoma kweli ila mda mwingi wanamaisha ya kawaida na ndio maana tunarukwa tuu. Endeleen kulia ngoja tupate watu wa kuanza nao moja
 
Watu mmekaa mkiwaza kuendesha gari zuri na Nyumba nzuri, hufikirii kuwa hivyo vinatafutwa na sio vya kuokota na ukipenda vya hivyo ndio matokeo yake kuumizwa tu hakuna namna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom