Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Hahahahaha
Mimi naona ni wewe tuu umejiongeza jamani!!
Ila uko na maakili mob, inawezekana kweli ndicho usemacho!
Basi ntakuwa tu ni mawazo yangu.
Hizi karantini zisizo rasmi ni shida sana.