Nachojua mpaka mwanamke anatoa la moyoni jua kavumilia sana. Kinachobaki ni kubalance shobo, maana inafika wakati unajiona wewe ndo mwenye shida kha! Mapenzi ni kujaliana bana. Sio upande mmoja ndo unakuwa mtumwa wa mapenziAkijibu ni tag maana mpaka mtu ana lalama si mara moja.
Iko hivi, kila mtu anamjua mtu wake vyema! Kuna wanaume wengine hawakumbuki kabisaa kumjulia mpenzi wake hali, sio kwamba hakumbuki, ndivyo walivyo.,sio kwamba hawana mapenzi, ndivyo walivyo! Sasa jukumu linakuja kwako ambaye Unakumbuka, fanya hivyo!Kama itatokea mara moja yes sio mbaya ila kama imemtokea mtoa mada mara nyingi zaidi una ushauri gani mpendwa?
Kweli binadamu tunatofautianaAll the best, kila mmoja ana jinsi anavyo manage hizi mambo.
Na mbinu moja haiwezi kufanya kazi kwa kila mtu.
Tatizo liko wapi hapo dear!Vip kama kila Siku wewe ndo uanze kutext??
Dada una free barakoa kutoka kwanguShida ipo hapo kwenye sentence ya mwisho!
Kama hajakutext, wewe unaona shida gani kumtext, halafu unaweza kuta mtu yuko online lakini sio kwamba anachat au yuko kwenye mood ya kuchat!
Mpe nafasi!
Una akili Sana..Shida ipo hapo kwenye sentence ya mwisho!
Kama hajakutext, wewe unaona shida gani kumtext, halafu unaweza kuta mtu yuko online lakini sio kwamba anachat au yuko kwenye mood ya kuchat!
Mpe nafasi!
Wanawake wachache sana wanajua hiloShida ipo hapo kwenye sentence ya mwisho!
Kama hajakutext, wewe unaona shida gani kumtext, halafu unaweza kuta mtu yuko online lakini sio kwamba anachat au yuko kwenye mood ya kuchat!
Mpe nafasi!
Kweli binadamu tunatofautiana
Nishajibu mpenzi...Akijibu ni tag maana mpaka mtu ana lalama si mara moja.
Pole aisee na vocha juu Bado hakutafutiNdio tatizo lenu nyie wanawake,,, kuna manzi wangu hapa vocha nampaga mm ila hanitafutagi kumanina hadi nianze mm.. Ila nikimpigia utasikia mbona kimya wakati hat kunitafut hanitafuti.. Hv ni nani alowaambia kuwa lazima tuanze sisi ni nani..?
Acheni ukoloni mnabore sana.
Sasa ngoja tuwaoneshe
HahahahahaAsante kwa ushauri aisee.
Vipi lakini wewe unaona ni tangazo au ni mimi tu akili zangu!
Nipo kwenye mahusiano miezi 6 sijawahi kujiunga kumpigia mwanaume. Sms za hapa na pale lakini anapiga yeye. Nikipiga mimi ni kumwambia nipo getini hapa fungua. Ila hajawahi kulalamika. Watu wakipendana mambo hu flow tu. Ukianza kujiuliza maswali hapo ujuwe hamna kitu.
Sent From Galaxy S9
[/QUOTE
Kupiga simu sio shida ukiona mtu kaanza kuona utofauti elewa hata hizo SMS hazipati. Hayo mapenzi yanayo flow hakuna, hata kwake hawezi kwenda kama wewe unavyoenda bila hata taarifa.
Hiyo kitu inatakiwa ifahamike kabla hamjaanza mahusiano lazima kuelezana madhaifu yetu kabla kuingia kwenye mahusiano mtu ajue kwamba kupima simu kujibu sms ni ngumu.Iko hivi, kila mtu anamjua mtu wake vyema! Kuna wanaume wengine hawakumbuki kabisaa kumjulia mpenzi wake hali, sio kwamba hakumbuki, ndivyo walivyo.,sio kwamba hawana mapenzi, ndivyo walivyo! Sasa jukumu linakuja kwako ambaye Unakumbuka, fanya hivyo!
Kuna mwingine hata kutext lakini atapata muda atakupigia na sio lazima iwe asubuhi, muda wowote atakupigia!
Tatizo linakuja, umekariri lazima upigiwe, ama text asubuhi, mchana na jioni!
Hahhahahaha