Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,954
Niko poa mamy....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko poa mrembo!
Sent from my SM-A307FN using Tapatalk
Niko poa mamy....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko poa mrembo!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sawa sawa, tujilinde.
Tulindane.
HongeraHatuwezi kufanana dear! Nikuambie tuu ukweli mimi ni mwanamke na huwa nafanya hivyo!
Nimewahiwa Mkuu!@Sakayo Nikikupataa...... milele nitafurahiii...... ntaimba nakupendaaa.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa why kila siku uanze wewe??? Unataka kusema siku usipomuanza wewe ndo kavu kavu siku inaisha hivo???HAKUNA la kushtuka wala!
Pole natumaini utakuwa mzima wa afya baada ya muda huo .Wiki inanitosha, mpaka ikifika Jumamosi nikiwa okay, najua niko sawa.
Yaani jana nimemaliza vikopo 3 vya 30mls vya sanitizer.
Ni mchumba wangu jamaani dear!Huyo unayemuanza kila siku amekuoa? Hata kama mume aisee una mahusiano ya kipekee mpendwa [emoji3][emoji3]
Nina amani kujua hilo jamani mamiiNiko poa mamy....
Sent from my SM-A307FN using Tapatalk
Simple and clear,mapenzi ya upande mmoja ni upuuzi wa kiwango Cha SGR .Inatokea kuwa busy na nn Ila sio kila siku ww ndo uanze au yeye ndo aanze aisee.Hata yeye akikupenda afanye kama wewe mnavyofanya.
Am old enough for this mwanaume akikupenda hawezi ficha, ukiona utafutwi walau Mara moja kwa Siku juwa kuna anaetafutwa. Wewe kutwa morning bby? Mchana umeshindaje bby, jioni, ushatoka kazini bby? Pole na kazi, every day hajawahi kukuanza? No no noooooo!!
Wanaume nadanganya au?
You're so cuteWakati mwingine unayempenda hastahili kuwa na wewe.Pole sana bibie.
HAPANASasa why kila siku uanze wewe??? Unataka kusema siku usipomuanza wewe ndo kavu kavu siku inaisha hivo???
Sent from my SM-A307FN using Tapatalk
Okay ni vizuri piaNi precautions tu, ila sidhani kama ni hatari sana.
AsanteHongera
Anha hapo sawaHAPANA
Kuna mida itafika atapiga simu! Wala haijawahi kuwa kavu kavu!
Hiyo ya kuanza mtu inakera mno ukiona wewe tena ke ndo kila siku mambo yeye haanzi kutuma ujue hauna kitu .Simple and clear,mapenzi ya upande mmoja ni upuuzi wa kiwango Cha SGR .Inatokea kuwa busy na nn Ila sio kila siku ww ndo uanze au yeye ndo aanze aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anajuwa kazi ya mapenzi wake na anajuwa ratiba zake kuna mapenzi unakuta yupo busy kiasi kwamba unaweza mtumia ujumbe asubuhi ajibu sa 8 usiku na usione shida.Basi tuko tofauti dear!
Wangu naweza muanza hata mwezi mzima wala sioni tatizo, tena naweza tuma text saa moja kaja kujibu saa mbili! Naelewa na najua ananipenda suala la text nani aanze na nani asianze kiukweli haliwezi vunja mahusiano yangu kabisaa!
My chica bonita, papa misses u here!😍Wakati mwingine unayempenda hastahili kuwa na wewe.Pole sana bibie.