Grey256
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,245
- 2,635
Hapo ndo shida sasa ,ukishaona wanafanya sio ni bora utulie kwanza.
Mpende jirani yako kama nafsi yako
Karibu sana jamani!
Akijibu ni tag maana mpaka mtu ana lalama si mara moja.Vip kama kila Siku wewe ndo uanze kutext??
Hapo hapakufai kabisaa! Na hii corona, bado ukae bench mkuu!Hili ni tangazo, which means ana nafasi ya kutu accommodate ambao tuko tayari bila kujali idadi yetu.
Nasubiri Terms and Conditions nione kama nafit kujoin.
Nipo kwenye mahusiano miezi 6 sijawahi kujiunga kumpigia mwanaume. Sms za hapa na pale lakini anapiga yeye. Nikipiga mimi ni kumwambia nipo getini hapa fungua. Ila hajawahi kulalamika. Watu wakipendana mambo hu flow tu. Ukianza kujiuliza maswali hapo ujuwe hamna kitu.Ndio tatizo lenu nyie wanawake,,, kuna manzi wangu hapa vocha nampaga mm ila hanitafutagi kumanina hadi nianze mm.. Ila nikimpigia utasikia mbona kimya wakati hat kunitafut hanitafuti.. Hv ni nani alowaambia kuwa lazima tuanze sisi ni nani..?
Acheni ukoloni mnabore sana
Hapo hapakufai kabisaa! Na hii corona, bado ukae bench mkuu!
Na hilo linawakuta wengi, hata sio kulala tuu, unaweza kuta online na ukasahau ukaendelea na mambo mengine kabisaa!Kwelii kabisaa Mimi naweza nikachungulia kitu watsup nikasahau kutoka Kama Ni usiku unakuta Niko online usiku kucha. Unaweza ukafikiri nachat kumbe naota Niko U.S.A nikijadiliana na Trump Mambo kadha wa kadha.
Kikubwa uhai tuuAnaekuta humtaki, unaemtaka hakutaki. Anaetakwa na unayemtaka nae hatakiki kila mtu anabaki takataka...!!
Nipo kwenye mahusiano miezi 6 sijawahi kujiunga kumpigia mwanaume. Sms za hapa na pale lakini anapiga yeye. Nikipiga mimi ni kumwambia nipo getini hapa fungua. Ila hajawahi kulalamika. Watu wakipendana mambo hu flow tu. Ukianza kujiuliza maswali hapo ujuwe hamna kitu.
Sent From Galaxy S9
Maana kuna watu tunahitaj Busara zenu kuliko kitu kingineKaribu sana jamani!
Basi hapo ndo kwenye shida mimi sipo radhi kabisa .
Sasa nyie si ndo mnablameblame humu, sasa kwann kama mwenzio kamute na unaona bila mawasiliano Naye hupati furaha usianze wewe.?Nipo kwenye mahusiano miezi 6 sijawahi kujiunga kumpigia mwanaume. Sms za hapa na pale lakini anapiga yeye. Nikipiga mimi ni kumwambia nipo getini hapa fungua. Ila hajawahi kulalamika. Watu wakipendana mambo hu flow tu. Ukianza kujiuliza maswali hapo ujuwe hamna kitu.
Sent From Galaxy S9