Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Napingana nawe ulipoandika hata kama anitext nimuanze kila siku ujinga huo sifanyi kisa kulinda mahusiano.Hakupendi sababu hajakutext?!
Napingana nawe ulipoandika hata kama anitext nimuanze kila siku ujinga huo sifanyi kisa kulinda mahusiano.Hakupendi sababu hajakutext?!
DuhNishajibu mpenzi...
Kwangu mimi huwa sioni tatizo kumtafuta babe wangu kila siku! Yaani hata miezi na miezi niwe namuanza mimi tuu naona kawaida sana, unajua kwa nini?! NAMPENDA, upendo hauhesabu!
Sio kweli huu ni UWONGO ulioandika hapa hakuna Mwanamke wa hivyo.Nishajibu mpenzi...
Kwangu mimi huwa sioni tatizo kumtafuta babe wangu kila siku! Yaani hata miezi na miezi niwe namuanza mimi tuu naona kawaida sana, unajua kwa nini?! NAMPENDA, upendo hauhesabu!
HahahahahaHata yeye akikupenda afanye kama wewe mnavyofanya.
Am old enough for this mwanaume akikupenda hawezi ficha, ukiona utafutwi walau Mara moja kwa Siku juwa kuna anaetafutwa. Wewe kutwa morning bby? Mchana umeshindaje bby, jioni, ushatoka kazini bby? Pole na kazi, every day hajawahi kukuanza? No no noooooo!!
Wanaume nadanganya au?
Hii tabia ni ya wanawake wote sababu eti wasionekane malayaUkiona mnacheza hiyo michezo ya paka na panya basi wote mpo immature.
Sent From Galaxy S9
Anaandika vitu ambavyo ata yeye nafsi inamsuta.Hata yeye akikupenda afanye kama wewe mnavyofanya.
Am old enough for this mwanaume akikupenda hawezi ficha, ukiona utafutwi walau Mara moja kwa Siku juwa kuna anaetafutwa. Wewe kutwa morning bby? Mchana umeshindaje bby, jioni, ushatoka kazini bby? Pole na kazi, every day hajawahi kukuanza? No no noooooo!!
Wanaume nadanganya au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]shtuka mamaNdivyo alivyo dear, na sio kwamba hana mapenzi!
Ahaha..Sawaa.BTW umenikumbusha mbali sana na hiyo terminology "simbilisi"
Mfugo maarufu sana huu kwa sisi tunaotokea "nyanda za juu kusini magharib"
Sawa mkuu, ukijilinda umetulinda na sisi!
Kabisaa kabisaa...
Niko vyema, ila jana nilienda maeneo ambayo sikutakiwa kwenda, so I am self isolating for the meantime.
Mwisho wa siku kila mtu ako na namna ya kuishi na mpenziwe!Napingana nawe ulipoandika hata kama anitext nimuanze kila siku ujinga huo sifanyi kisa kulinda mahusiano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Sakayo Nikikupataa...... milele nitafurahiii...... ntaimba nakupendaaa.......Hahahahaha
Daaahhh, bado kuna zile za umekula babe?! Basi mimi mezeeka jamani!
Hakuna anaetafutwa, nitakutumia text asubuhi Umeamkaje, asubuhi njema! Akisoma atajibu, kwa muda wake atapiga simu!!
Ndo maana nikasema, atapiga simu sio lazima iwe asubuhi, ila mimi nilivyo lazima nimjulie khali asubuhi!
Naunga mkono hojaHata yeye akikupenda afanye kama wewe mnavyofanya.
Am old enough for this mwanaume akikupenda hawezi ficha, ukiona utafutwi walau Mara moja kwa Siku juwa kuna anaetafutwa. Wewe kutwa morning bby? Mchana umeshindaje bby, jioni, ushatoka kazini bby? Pole na kazi, every day hajawahi kukuanza? No no noooooo!!
Wanaume nadanganya au?
Hatuwezi kufanana dear! Nikuambie tuu ukweli mimi ni mwanamke na huwa nafanya hivyo!Sio kweli huu ni UWONGO ulioandika hapa hakuna Mwanamke wa hivyo.
Huyo unayemuanza kila siku amekuoa? Hata kama mume aisee una mahusiano ya kipekee mpendwa 😀😀Mwisho wa siku kila mtu ako na namna ya kuishi na mpenziwe!
Mimi wangu namuanza kila siku wala sijawahi kuwaza kama ni tatizo!
HAKUNA la kushtuka wala!