Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,925
Yeye mwenyewe ni mwanafasihi nguli......Alaa! Mshana Jr amekopi na kupest au sio mkuu!?

King ametufundisha roho mbaya, msiba wa Mwalimu tulilia pamoja wapinzani na CCM.Watu wanajifurahisha tu, hakuna kitu kama hicho. King yuko imara wala hana shida yeyote. Acheni roho mbaya
Usiogope hata no 1 haogopi."Ulimi uliuponza mwili, shauri yenu!!
Ohooo! Mdomo koma babu!.
Siogopi ila nachukua tahadhari.Usiogope hata no 1 haogopi.
Hivi kwanini post yangu inahusishwa na vitu ambavyo sijaviwaza kabisa.. Why so much hallucinations Mk54
Naomba sana kinachoendelea huko kwengine kisinasibishwe na andiko langu...[emoji2839][emoji2827]dokoadokoa na nyakuanyakua haijakoma[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Inawezekana kabisa ni 'coincidence...!!!' Mubashara wa kile kinachojiri na kusemwa kama si kujadiliwa kila kona kimekutana uso kwa uso na andishi langu..Ama la VINGINEVYO[emoji2839]Sawa.
Washairi mnatoa yale ambayo mmekusudia kuyatoa, huku nyuma ya pazia mnakana kwa mgongo wa sikumaanisha hayo.
Sitaki kuamini kwamba my swahili ni mbaya ipelekee kushindwa kuelewa what was the essence of this THREAD.
Inawezekana kabisa ni 'coincidence...!!!' Mubashara wa kile kinachojiri na kusemwa kama si kujadiliwa kila kona kimekutana uso kwa uso na andishi langu..Ama la VINGINEVYO[emoji2839]
Mmh ! Unapaswa kupewa tuzo ya kiswahili wallahi !Mji mzito sana huu
Sir buyer hakuimbiwa parapanda, sasa limezukwa jipya.
Nyeti lazima ziwe za siri, hata zikichafukwa hazianikwi upenuni, labda zioze na kutoa uvundo mkali, lakini bado unaweza kuziswafi na tindikali kisha ukazihifadhi kwenye jokofu lililogandama kipupwe cha nyuzi baridi centigrade hasi 100.
Mji mzito sana huu. Kuna tafauti ndogo sana kati ya hasidi na hashua, japo kinyume chake kina kima cha kipenyo
Kama pembe la moo halifichiki, basi usijifanye kwio mbuni kufutika medulla ardhini ili kujikinga na hadhira isikutie machoni.
Mji mzito kwelikweli
Nyeti za siri zimeshaanza kudoda, kila mtu anatamba na kikingio chake. Hivi kudoda na kuvuja vinashabihiana ama kibantu kina maingiliano? Kwasababu tundu na tobo vinafanana lakini havishabihiani.
Je, uwazi nao ni tundu au ni tobo? Ama ni kipenyo?
Kipenyo penye uwazi, mwanya? Hupenyeza panapopenyeka na waja hupenyezeana. Wengine hupenyana
Bado tu utajinasibu na nyeti za siri?
Hivi hizi ni fununu ama ni tetesi au ni minong'ono?
Penye fununu hufunuliwa, penye minong'ono hunong'onwa, penye tetesi je? Panatestiwaa.
Nyatunyatu huleta kimuhemuhe kama kilivyo kisebubu japo hiki ni kiroho papo. Sio kiroho paaa, hiyo itakuwa blinking news! Habari za kumweka mweka
Mma yana hulka moja; hayazuiliki. Unaweza kuyakinga lakini si kuyazuia lazima yatatafuta upenyo yapenye. Na hata kama utayakinga yana kima chake. Yakizidi kima yatapasua na kuvunja kingo, na madhara yatakuwa kwa wengine wengi.
Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!
Wakulaumiwa atakuwa nani?
Lisemwalo lipo kama halipo haliwezi kusemwa asilani.
Mi pia sipendi hizi mambo aiseeMkuu uongo wa namna hii utakusaidia nini?Kwa nini mnapenda kuingiza nchi kwenye taharuki isiyo na sababu?Si vizuri hivi mfanyavyo wakuu
[emoji2839][emoji2827][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mmh ! Unapaswa kupewa tuzo ya kiswahili wallahi !
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Mwanamme kuwa mmbeya hainogiMji mzito sana huu