Mimi nakuambia bado? Sijaelewa, mwenzangu badala ya kunielewesha, unaniambia thank you.Bado tu?.....
Kiswahili Ni kigumu japo tunacho kila siku.
Mimi nakuambia bado? Sijaelewa, mwenzangu badala ya kunielewesha, unaniambia thank you.
Sikuelewi
[emoji1691]Twende kwa lugha picha[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1723472
Hapo nyoka kwisha habari yake maana Hana balance ya kuweza kudhuru.Twende kwa lugha picha[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1723472
Kwambaje yaani?........Kwamba nyoka kanyakuliwa? Mshana taratibu bana utatuua huku.Twende kwa lugha picha[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1723472
Yaani akiponyoka hapo huyu nyoka hakika atatubu dhambi zake zote............. Hivi nyoka nao wakogo na madhambi zao eh?Ila bado pumzi ipo kwakuwa hakafikishwa kiotani , hivyo kuna nafasi walau finyu ya kuepa na lukikwepa kipanga cha makucha na mdomo wa tai katili
Oh nilishasahaugi mwe....... mdudu huyu mimi namuogopa sana aisee... Hii picha tu Kaka Mshana nitaota usiku mdogo wako.Alikuwa mkuu wa malaika kabla ya kuasi...
"Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu"Oh nilishasahaugi mwe....... mdudu huyu mimi namuogopa sana aisee... Hii picha tu Kaka Mshana nitaota usiku mdogo wako.
Ah haya turudi kwenye semi na nahau zako tusijeadhibiwa kwa kutoka nje ya mada.......... Mod anatudeku tu ujue 😉
Andiko/ Neno zito hili..............................Tafakuri"Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu"
#Yeremia 22:21
Baba turehemu....
Mkuu huo moyo ulivyo Umenikumbusha mwalimu mmoja aliye itwa MAGAWA Aliwahi kututembeza toka Area C shuleni Hadi Majengo ukiweza kuuelezea Moyo rukhsa kurudi kwenu Ukishindwa utazururizhwa mji mzima
mitaa ya lyobahika kunakouzwa pombe za kienyejiHuyu mzee wa chini nimewah muona Runzewe...naona ni majiran
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu huo moyo ulivyo Umenikumbusha mwalimu mmoja aliye itwa MAGAWA Aliwahi kututembeza toka Area C shuleni Hadi Majengo ukiweza kuuelezea Moyo rukhsa kurudi kwenu Ukishindwa utazururizhwa mji mzima