Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,723
- 858,386
- Thread starter
- #61
Tetesi ikikoma huwa uzushi ama vinginevyo... Kaka asili ya yabisi ni kimiminikaAiseeee, nilikuaga napenda sana hesabu ila hizi hazikuwahi kunivutia Mkuu, tuombe Mungu hata majibu yakija tofauti na matarajio huenda ikawa ni Shamba darasa kwake hivyo ile hali yabisi(jiwe) ikawa kimiminika!
Sent using Jamii Forums mobile app