Nyerere alifanya mengi mazuri,lakini hakufanya mabaya???nahisi alikuwa mjeuri sana na mgumu wa kufanya naye kazi!!!kwa nini hakusikiliza maoni ya kambona na wenzake mpaka wakakimbia nchi??????????ni kwa nini walikimbia nchi!labda alitaka kuwaua??mbona hakumsikilza waziri wake wa fedha mtui????anghhhhh
Si kwamba alikuwa hapendi hoja. Alikuwa hapendi watu wasioweza kujenga hoja na kutetea hoja zao. Alipenda sana hoja. Alipenda debates.Kama alikuwa hapendi hoja alikuwa anachukua uamuzi gani?unahisi alikuwa dictator wa chini kwa chini?
Slidingroof,I'm sure he was a lovely bloke but saints? It's all nonsense.
If anything he is single handedly responsible of our currently rotten political elites who care about nothing but ripping us off.
Btw this Sainthood process will also involve a medieval ritual of exhuming the body of Mwalimu and put it on a view as part of the beatification process !
The current crop of politician were his making and the rotten system we have was engineered by him and now we are paying the price, our children are also paying the price and 3 more generations will pay the price of Nyerere's and his clones mis management of the country.[/B]
You cannot compare the calibre of leadership we had under Mwalimu with the calibre we have today. Jamal was no Rostum and Kawawa was no Lowassa.I have lived to understand Mwalimu as a person who was non responsive to ideas and thinking which is different from his own from among his people. He was quick to adopt things from outside and become rigid from home grown ideas and opinions. To be able to lead with this attitude he selected people in his leadership team who were passive with little ability of inovation or synthesis of ideas. Refer to the leaders He chose in various leadership positions in the government and the party....majority had remain in their positions for years because they were YES man and women. This country has the greatest weakness in Leadership and the reason takes us back to Mwalimu. He killed by his various actions independent thinking and innovation thus those who survived under his rule were the like of Late Kawawa RIP who once said that he cant recall a single decision that he made by himself. With respect a leader as much as he not a robot must at time decide and stand for his decision. It goes with the say that if two people think alike every time one of them is not thinking. People with that attitude remain in position of leadership and recruited as leaders their like.... Need I say more???
Crying, complaining, gossips, looking for excuses, not struggling, not tapping available opportunities,and Divorcing our norms and values. Who is behind mining contracts, richmond, epa, kagoda, mismanagement of the economy? Mkuu, start living!!I'm sure he was a lovely bloke but saints? It's all nonsense.
If anything he is single handedly responsible of our currently rotten political elites who care about nothing but ripping us off.
Btw this Sainthood process will also involve a medieval ritual of exhuming the body of Mwalimu and put it on a view as part of the beatification process !
The current crop of politician were his making and the rotten system we have was engineered by him and now we are paying the price, our children are also paying the price and 3 more generations will pay the price of Nyerere's and his clones mis management of the country.[/B]
Haambiliki, hivi kwanini aliitwa hivyo?
Yaani na huku pia umefika. You must be obsessed!Haambiliki, hivi kwanini aliitwa hivyo?
Alipowaponda baadhi ya watu kugombea uongozi wa taifa watu wengi walimwona kama mzee aliyepitwa na wakati ambaye alikuwa anajaribu kutumia umaaruffu wake kuweka mtu ambaye watu waliona kama ni kuwachagulia kiongozi. Aliweza kufanikiwa kupendekeza mtu ambaye hatimaye alikuja kuwa kiongozi wa taifa hili. Baada ya muda kidogo huyu kiongozi alionyesha kwa luwango kikubwa kwamba alikuwa kiongozi makini na kwa namna nyingi alifanikisha mipango mingi ya maendeleo. Leo nchi ina barabara zinazopitika mwaka mzima na mengine mengi mazuri ingawa naye alikuwa na mabaya yake. Baada ya kipindi chake mr Ben kwisha wametokea wengine na kwa bahati mbaya wengi wao walikataliwa nayena matokeo yake tumeyaona wote. Kashfa zimekuwa nyingi na mambo mengi yanaenda mrama.
Tukubali kitu kimoja hapa kwamba Nyerere alikuwa more advanced kuliko wakati wetu yaani alikuwa ni mtu wa future wakati siye tulikuwa