Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Mie nataka kusoma pale aliposema amewashinda waungwana waliopita...🙁


Zaidi ya hapo sijawai kusoma kokote ulimwenguni sehemu au Nchi isiyokuwa na Rushwa...! Unabisha?

Nani hajawai kutoa rushwa? Hata kwa mkewe, rafiki,na wengineo wanaotuzunguka- iwe kijamii kibiashara kisiasa na sijui nini tena!

Rushwa Itakuwepo Ilikuwepo na Itaendelea Kuwepo-Kwa msemo huu nafikiri alichokinena mkuu wa D-Ville ni kweli kabisa-Siyo mijitu yote Afrika ni wala rushwa-Chumvi nyingi!

KB!!!
 
Kuna haja ya kuwa na bajeti ya safari za rais nje na kuwepo na limit ya safari kwa mwaka. Justification ya safari pia inatakiwa kuambatanishwa na hizi safari. It is insane kama rais anakwenda USA karibia mara kumi kwa mwaka for no apparent reason!
 
Jamani naomba watu tufanye mambo kwenye mstari::

Naomba itengenezwe table ya watu wenye ufahamu ionyeshe yafuatayo"""

safari za Kibaki, Museveni, Kagame, Kabila, Kikwete miaka 2006,2007,2008

Safari za Mwinyi, Nyerere, Mkapa in any 3 yr period when they were presidents.

Itatusaidia sana, sababu huu wazimu naona sasa umezidi. huyu Jk anatufanya wote vichaa maana yeye hajali gharama. Nasema hivi kila safari ya Jk na group lake, tungeweze kukarabati hospital za moa fulani, by now hospitali zetu zingekuwa zimeimarika sana.
 
Tangu Kikwete aingie madarakani, kiwango cha rushwa hakijatelemka kiasi cha kujivunia na wala hakuna kiongozi yeyote aliyekisha wajibishwa kwa hilo. Lowasa, Kalamagi na Msabaha waliwajibishwa kwa presha ya bunge na wala siyo rasi mwenyewe. Je inakuwaje leo atambe bkuwa yeye anapigana vita dhidi ya rushwa kuliko waliomtangulia bila kutoa metrics zozote?


Sasa wewe Mujukuu, mbona unaanza kuongea kama wajukuu zangu wale binamu zako wa usukumani? Sasa kale kapunda mtagombea wote si mtakufa njaa😕🙄
 
"Here comes the Hammer, too Legit to Quit" naam ndiyo Rahisi (sic) wenu alivyo na utitiri wa Wapambe utafikiri McHammer!
 
Sasa wewe Mujukuu, mbona unaanza kuongea kama wajukuu zangu wale binamu zako wa usukumani? Sasa kale kapunda mtagombea wote si mtakufa njaa😕🙄

Nimesharekebisha.

madole yangu makubwa sana na huwa napiga chapa kurudi nyuma.
 
Nadhani amefanya kosa sana kuainisha kuwa anapiga vita rushwa kuliko Nyerere na Mwinyi; ni afadhali angesema kuwa amemzidi Mkapa.

Mie nataka kusoma pale aliposema amewashinda waungwana waliopita...🙁

Sura-ya-Kwanza,

Nakwambia, nusu ya mambo tunayojadili hapa yako based na hisia hisia, udaku wa crummy press, kusikia sikia, na vichwa vya thread ambavyo ndani unakuta sio hicho kitu kabisa. Kwa nini hatupendi kutafuta facts ?

Wapi Kikwete aliposema kawazidi hao wengine ?
 
Re: Kikwete atangaza kuwazidi Nyerere, Mwinyi na Mkapa katika Kupambana na Rushwa

Kuhusu Tanzania, Rais Kikwete alisema kuwa Serikali yake inapambana kwa dhati na changamoto hiyo ya rushwa kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Tanzania.

Mbona ukweli unajisema wenyewe hapa, tafsiri ya mleta habari hapo quote ya chini politically ndio hasa maana ya kichwa cha mleta mada, unless kuna something I am missing, au?
 

Mbona ukweli unajisema wenyewe hapa, tafsiri ya mleta habari hapo quote ya chini politically ndio hasa maana ya kichwa cha mleta mada, unless kuna something I am missing, au?

Hizo tafsiri za waleta habari hizo haziwezi kuwa msingi wa mjadala. Tunataka "facts." Sio vichwa vya habari vya kuvutia vutia utafikiri kweli Kikwete kajilinganisha moja kwa moja na Mwinyi/Nyerere/Mkapa.

Gazeti lingine limeandika: Mr Kikwete said that his government was now far more dedicated to fighting graft than at any other time.

Tuone maneno ya Kikwete mwenyewe, "facts" tafadhali. Au weka kichwa cha habari cha ukweli ndio utoe maoni ya tafsiri yako.

Eti "Kikwete atangaza kuwazidi Nyerere, Mwinyi..."
 
Huyu jamaa ni kutuko, nashukuru kuwa kuna watanzania wachache tumemwona bomu, ni jukumu letu kulipigia kelele swala hili kwa nguvu zote mpaka ajiuzulu kama South African president.
 
Hang on a minute, ni wapi Kikwete kasema kawashinda Nyerere, Mwinyi na Mkapa?

Tunajadili mada tofauti na kichwa cha habari ili kukidhi haja zetu za "kukandia"
 
Re: Kikwete atangaza kuwazidi Nyerere, Mwinyi na Mkapa katika Kupambana na Rushwa

Kuhusu Tanzania, Rais Kikwete alisema kuwa Serikali yake inapambana kwa dhati na changamoto hiyo ya rushwa kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Tanzania.

Sijui watu wengine wanataka lugha gani katika politics, mimi hayo maneno yananitosha kabisa kuamini kwamba Kikwete amesema kuwa anapiagana na rushwa kuliko administrations zote zilizopita, Kikwete hawezi wkenda kwenye public na ksuema eti ninawashinda marais wote waliotangulia, that will be absurd na haijawahi kutokea kwenye siasa za Africa,

Kuna wakati Mushi alistafsiri maneno ya balozi wa US, aliyesema serikali haijatuomba kumrudisha Balali, akisema kua maana yake ni kwamba rais wetu hajamuomba, mkaleta maneno mengi ya kumshambulia hapa, lakini mwishoni wote tuliishia kukubali kuwa that is exactly what he meant,

Rais Kikwete hawezi kusema wazi kua ninawashinda kwa majina, lakini politically aliyoyasema hapo juu ndio hasa maana yake kisiasa, kama hamuwezi kujadili kwa habari za kusikia basi muwe wa kwanza kutuletea hizo mnazozitaka, au msiguse hizo topic za habari za kusikia, nani hapa aliyemuona Mwalimu akimchapa viboko Mwabulambo?

Wakuu so far mnafanikiwa one thing nacho ni kutupunguzia wachangiaji hapa JF, it should stop now!
 
Lunyungu, mkuu hata mimi, same sentiments, hata nikiona hapa JF headline kuhusu huyu mtalii sitaki kusoma maana ananipotezea muda. I am so disappointed in Tanzanian politicians kwamba niko kheri kufuatilia siasa za Marekani kuliko za hapa. Ni upuuzi mtupu! Hakuna serikali wala rais hivi sasa gari liko free, tunaenda kwa kudra za Mwenyezi Mungu!



Akili ya huyu mzee anaijua mwenyewe .Mie hata siku hizi kumsoma ama kumsikiliza akiongea sina muda tena .Ni mtupu wa ajabu .


CONTRADICTIONS TUPU HAPO SIJUI NIAMINI nINI
 
Yani huyu kiumbe JK ni wa ajabu mno..........kuongezeka kwa figures hakuonyeshi uhalisia wa kipato .......ange calculate kupata real increase kwa kuangalia inflation rate na currency value pamoja na kuangalia population ilivyo ongezeka halafu ndo atuambie tumeongeza kiasi gani!!!!!!oopps nilisahau na kutoa gharama za ukusanyaji!watoe maposho na moshahara pamoja na gharama za kuendesha mashangingi ya maofisa wa TRA then ndo apanue domo inginevyo ni USANII tu KAMA KAWA........
Nashangaa sana kwa maana tena hesabu kama hizi hata mtoto wa darasa la nne anaweza kuzifanya, na akagundua kuwa hakuna kilichoongezeka, ila cha ajabu zaidi wale watu waliomshangilia alipoongea maneno haya ya kipuuzi sijui walikuwa na maana gani
 
Wana JF heshima mbele. Tarehe 14. Oktoba. 2008 tutaadhimisha miaka 9 tangu kufariki Mwalimu Nyerere. Nimekuwa nikitafakari sana zama za utawala wa awamu ya kwanza wa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kwa mtazamo wangu najaribu kukumbuka miongoni mwa maamuzi ninayoaminikwa mtazamo wangu ni magumu mojawapo ni "Kuingiza Tanzania katika Vita ya Kumng'oa nduli Idd Amin Dada wa Uganda aliyeivamia Tanzania" Mwalimu alitangaza vita tarehe 27. Oktoba.1978. Najua kwa nchi kama Tanzania ambayo ni masikini iliyokuwa ikijaribu kujiamsha kutoka katika lindi la matatizo lukuki ya ujinga, maradhi na umasikini kiongozi wake kuwa na ujasiri wa kufanya uamuzi huo kwa kweli kwangu mimi binafsi nachukulia ni changamoto ya aina yake....Wana - JF tujadili kwa yale mnayodhani kuwa pia yalikuwa maamuzi magumu yaliyofanya na Nyerere.
 
Maamuzi magumu ya Nyerere ni mengi sana hilo la vita ni moja! Kuna la siasa ya ujamaa na kujitegemea na siasa zingine msoma, iringa nk! Kuna maamuzi ya vijiji vya ujamaa, kuna maamuzi ya muungano! Hatimaye kuna uamuzi wa kuacha urais akiwa na umri wa miaka 63 tu! - kwa Africa hii si kawaida! Kumpigia debe Mkapa! Kumkataa Lowassa waziwazi! Aliendelea na maamuzi magumu hata baada ya kustaafu - kumkataa Malecela! Kuandika kitabu cha Uongozi na Hatima ya Tanzania, uamuzi wa kwenda kuishi Butiama baada ya kustaafu! List ni ndefu sana. Huyu hakuwa mtu wa kawaida kama tunaowaone leo hii! Kila kitu wanaogopa!!!
 
I'm a big fan of Mwalimu, so every once in awhile you will see me coming up with these quotations that linger in my head everyday.

Anyway, out of this quotation, can we say the current economic and financial crisis facing the world today, and especially the measures taken to confront it, prove that the ideal of socialism will never die but will keep on finding its own way of proving critics wrong?

By the way, in the same speech that I took that quote, Mwalimu also said he did not invent the idea of socialism, he was simply a believer.

My last post about Nyerere dissapeared out of this forum within a day, I hope this one doesn't rub someone on the wrong side.
 
Back
Top Bottom