are u serious....!?
As a heart attack!
Amen to that, some one with sense! This mc cain supporter is waaaay out of line with this one!
I understand, the truth is sometimes bitter. I don't hate you, I pity you...
sasa wewe nyani McCain,you hate someone you hardly know,au humu ndani mnajuana,what if it happens unknowingly the person you hate,happens to be your shemeji etc etc,will you eat humble pie and apologize
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amesema si kila kiongozi wala kila mtumishi wa umma barani Afrika ni mla rushwa ingawa amekiri kwa kiasi fulani tatizo hilo bado lipo barani humo.
Rais alitoa kauli hiyo alipokuwa akijibu maswali baada ya kumaliza hotuba yake kwenye mkutano na wajumbe wa taasisi ya Foreign Policy Brain Trust ambayo ni ya wabunge wenye asili ya Afrika mjini Washington.
"Tusijiweke katika hali ya kutengeneza mazingira ya kwamba kila jambo linaloendelea katika Afrika ni rushwa tu," alisema Rais Kikwete.
Aliongeza kuwa: "Hatukatai kuwa ipo rushwa katika Afrika. Tunachosema ni kwamba jambo hilo linatiwa chumvi nyingi kupita kiasi".
Kuhusu Tanzania, Rais Kikwete alisema kuwa Serikali yake inapambana kwa dhati na changamoto hiyo ya rushwa kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Tanzania.
"Moja ya dalili za Serikali inayokula rushwa ni kushuka kwa mapato ya Serikali au Serikali kushindwa kukusanya mapato. Mapato yetu (Tanzania) yamekuwa yakiongezeka kila mwaka tokea tulipoingia madarakani," alisema Rais Kikwete na kushangiliwa.
Akili ya huyu mzee anaijua mwenyewe .Mie hata siku hizi kumsoma ama kumsikiliza akiongea sina muda tena .Ni mtupu wa ajabu .