Kichuguu,
Nameamua kurefrain from writing further about the other side of Nyerere, ingawa zipo nyingi tu nyinginezo. Nimekumbushwa kuwa tunatakiwa tuseme mazuri tu ya maiti zetu .. ila pale ambapo ni lazima .. labda kwa ajili ya kurekebisha. Hapa foramuni sina hakika of that being the case. Na tukiandika sana his negative aspects .. kuna wanaotufikiria kuwa hatuappreciate kabisaaaaa mazuri yake.
However I need to set some records straight:
I am bit surprised uliposema kuwa katika vitabu nilivyovitaja kuna waandishi waislamu waliotumia pen name za kikristo ... bila kufafanua. Huu ni uongo.. au kama ulivyosema later kuwa ni hisia .. sio hisia sahihi.
On udini nilitoa references 2, moja ni by Mohamed Said, ambalo ni jina lake halisi, na anaendelea kuandika mpaka leo. Kama ulimkusudia Dr. John C Sivalon, huyu nae alikuwa ni mzungu, a christian Father na alikuwa akifundisha UDSM until 2001. Na kitabu chake alikiandika with all the blessings of the church. Tena, surprisingly, kiligaiwa kwa wabnge wote katika makabrasha yao ya bunge!! Kwa bahati biography yake, tena yenye picha, iko hapa:
http://www.maryknollafrica.org/BioSivalon.htm
Na huo uwongo mwingine wa kulipwa na wairani kama umemkusudia Mohamed Said pia hauna grounds, as hajakuwa mwalimu mlimani kama ulivyodai.
Umesema kuwa hivyo vitabu vimejibiwa .. bila kutupatia references. Sidhani kama ni kweli .. au tupe reference tuzipitie when we have the time. All I know ni kuwa Prof mmoja (namhifadhi jina) alimfuata Nyerere na kitabu cha Mohamed Saidi (which was more of a history book .. an untold history as the author puts it) na kumuambia kuwa wakijibu. Nyerere akamwambia amekisoma na hakuna la kujibu!