Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
- Thread starter
- #261
=
Mwalimu hakuwa na tatizo na sisi watu wa Pwani, isipokuwa yalikuwa ni matatizo ya uvivu wetu! Ni wavivu mno wa viuongo mpaka akili, ndio maana mfano hauko mbali, hata awamu ya nne imekwama, ndio jadi yetu watu wa Pwani sio siri! Tunajua kunywa gahawa, na kashata, na kuongelea ngoma ya mwali, baada ya mpira wa Yanga na Simba, ambazo hata ubingwa wa East Africa ni matatizo, watu wa pwani tuamke tuache kulaumu watu wengine kwa ujinga wetu, sisi Pwani ndio kina Ditopile, kazi kuangushana na hadithi nyingi! Watu wa bara wanakuja na treni, wanatuacha baho tu, kazi kucheza ngoma ya mwali tu!
ukisikia stereotype ndio hiii
sawa na wazungu leo ku clam that African Americans are lazy
mjomba i beg to disagree
je unaweza kujibu kwa nini NYERERE aliamuru reli ya DAR-MTWARA inglewe?