Mkuu, umesema kweli.
Ninachoona mimi ni UNAFIKI kwa watu wetu. Mashabiki wa serikali tatu ndio haohapo wanajifanya kupigania legacy ya Mwalimu.
Wanaonunua kura wakati wa uchaguzi ndio haohao wanajifanya kupigania legacy ya Mwalimu. Vinara wa kuomba misaada nje ya nchi ndio haohao wanaojidai kupigania legacy ya Mwalimu. Mabepari ndio hao hao wanaojifanya kupigania legacy ya Mwalimu.
Huu ni UNAFIKI.
Huwezi kusema ugombei Urais mpaka uahidiwe pesa nono kama mshahara wa mbunge halafu ukajifanya unapigania legacy ya Mwalimu.
Huwezi kusema chama chako hakihitaji wanachama Zanzibar halafu ukajidai unapigania legacy ya Mwalimu[/QUOTE].
Lets be true,
Legacy gani ya Mwalimu tunaishi nayo leo?
Unaonesha ufahamu wako ni
wakimulugomulugo.
Hoja yetu inasema hivi;
Nyerere Alifanya Makosa Makubwa..
Je hayo uloyaandika kwenye
rangi nyekundu hapo juu yanauhusiano ndiyo makosa makubwa alofanya nyerere? fafaua