Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,013
nimependa sana hoja zako mkuu. lakini je ,mwalimu aliweka mfumo kwamba marais wanaokuja watambue kwamba serikali kujiingiza katika biashara na kuregulate biashara ndo mfumo sahihi wa maendeleo?. pengine hata nchi za ulaya hazikujua hilo .hili linaonyesha mwalimu hakuwa na maono.Kwa ufupi sana labda niseme msingi wa mkuu wa AZIMIO LA ARUSHA ulikua ni "uchumi kumilikiwa na SERIKALI" .... hebu tujikite ktk hili.... bila kuwaudhi kwa maelezo marefu ya kisiasa ngoja nitoe mifano ya kimaelezo ....!
Mwaka 2008 uchumi wa DUNIA nzima ulianguka na sio IMF wala WB waliokuwa na jibu ila lililo kutokea km ndio tatizo dhahiri ilikuwa BIASHARA HURIA hivyo wakuu wa nchi zenye Uchumi mkubwa walikaa (G20) na katika mwaka huo walikaa mara mbili badala ya moja kwa mwaka km kawaida yao... kubwa walilokua wanalifanya ni kutunga sera zenye kuhakikisha serikali zinaweka udhibiti ktk Biashara (Huria)
Serikali ya Marekani ilinunua hisa za Mabenki yote (4) Makubwa ... serikali ya Uingereza iliyatwaa Mabenki yote makubwa (9) ... Hali ya Uchumi ilirejea ktk ukuaji wa kila mwaka na sasa hali ya uchumi wa kidunia unakua vyema
Katika nchi ambayo serikali ilimiliki njia za Uchimi km China na karibuni Venezuela hazikuathirika na kutokukujua kwa uchumi wao. Uchumi wa China ukiendelea kujua kwa kati ya 8% na 12%
AZIMIO LA ARUSHA likihimiza umiliki wa nji kuu za uchumi kumilikiwa na serikali..... Sera hii ndio iliyotumika kuuokoa Uchumi wa DUNIA na pia kuuliza Uchumi China na Venizuela....!
Mwaka 1986 Mwl. Nyerere alimhakikishia Regan na Thecher kuwa sera ya Biashara huria ni kosa Iliyoasisiwa mwaka huo...miaka 22 baadae hakuna anayebisha kuwa Biashara huria kuwa ni kosa.... Tumelitupa Azimio ambalo ni jibu la mengi ya mambo yasioende vizuri km taifa.
hakujinge