Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nayo hio no ni elimu sasa mbona tunaigopa kugungua vibali ili East african wafanye kazi popote
Si kwa sababu tunaogopa walosoma kweli ?
Yapo alofanya mazuri hatukatai lakini kiujumla nchi imekua kama ina ulemavu

Waliom pokea ndio wametufikishsha hapa ....!
 
Ndio maana nimekuwa nikiwaambia washabiki wa serikali tatu kuwa likipitishwa hilo tu inabidi tujiulize Nyerere tunamuenzi kwa kipi maana Ujamaa na Kujitegemea tulishaupungia mkono........
.....
Hakuna njia nyengine ya Kumuenzi Huyo Nyerere?
Kuendeleza Serekali mbili ni UJI.NGA!
 
Hakuna njia nyengine ya Kumuenzi Huyo Nyerere?
Kuendeleza Serekali mbili ni UJI.NGA!

Serikali mbili ni kumuenzi Mwalimu.

Mwenge wa Uhuru ni kumuenzi Mwalimu.

Sikukuu ya Sabasaba ni kumuenzi Mwalimu.

Kutokujulimbikizia mali ni kumuenzi Mwalimu.

Ujamaa ni kumuenzi Mwalimu.

Kujitegemea ni kumuenzi Mwalimu.

Vyote hivi hamvitaki, halafu mnasema mnamuenzi Mwalimu. Je, mnamuenzi Mwalimu kwa vitendo au kwa maneno matupu?

Maneno matupu hayavunji mfupa...
 
Kumbe njia nyengine za kumuenzi Mwalimu unazijua!
...
Kumbuka kuenzi upu.uzi ni uzumbukuku!
Yap serikali mbili ni upu.uzi kabisaa!
Ni mfumo wa kuhifadhi wizi!
Mfumo ambao Dunia mzima HAKUNA!!!
Hembu tusiwe na ushabiki! Tukiwa na Serekali tatu, tutagawa vizuri wajibu wa Taasisi na Viongozi! Just think. Lile bunge Dodoma kule ni Bunge la muungano, mbona mambo yasiyokuemo ktk Muungano (baadhi ya mambo ya Tanganyika) kwa nini yajadiliwe kule?
Hivo vikao vya hayo mambo ya Tanganyika (non union matters) wanakusanyika wabunge wote kule! Mamaaa Serekali inakamua wananchi halafu hela zinaingia katika mikono ya Wabunge wanaokwenda kusinzia tu kule!!!
...
Mungu ibariki Tanganyika!
Mungu ibariki Zanzibar!

Serikali mbili ni kumuenzi Mwalimu.

Mwenge wa Uhuru ni kumuenzi Mwalimu.

Sikukuu ya Sabasaba ni kumuenzi Mwalimu.

Kutokujulimbikizia mali ni kumuenzi Mwalimu.

Ujamaa ni kumuenzi Mwalimu.

Kujitegemea ni kumuenzi Mwalimu.

Vyote hivi hamvitaki, halafu mnasema mnamuenzi Mwalimu. Je, mnamuenzi Mwalimu kwa vitendo au kwa maneno matupu?

Maneno matupu hayavunji mfupa...
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
Ushauri wangu kwako ni kwamba uwezo wa kumkosoa Mwalimu huna kwa sababu yule mtu ni very sophiscated. Kwa sababu ni very dynamic kuliko unvyodhani in a very simplistic manner. Mwalimu wa pre-1954 ni tofauti na yule 1958, mwalimu wa pre-Arusha declaration ni tofauti na yule post - Arusha Declaration, ni tofauti wa post 1985, ni tofauti na yule 1992, ni tofauti na wa late 1990s. Kuna machapisho yake mengi sana ukianzia na Freedom and Unity, Freedom and Work, Freedom and Development, Freedom and Socialism, Freedom and Development, Freedom and New World Economic Order, Freedom and Non-Alignment, Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania, Tanzania! Tanzania! na hotuba zake nyingi kama ya kuacha Uenyekiti CCM 1987, Ufa, Tujisahihishe n.k. Nakushauri jitahidi ujinyime mambo mengine pata muda usome hayo machapisho kwa kina, kwa kuzingatia mwalimu ni mwanafalsafa wa kiwango cha kimataifa unapaswa kusoma rigorously la sivyo hutamwelewa na kuishia kwenye very shallow, sluggish and haste conclusions as you have done. Many young people dont understand Mwalimu because they don't read original publications of him, instead they rush for sweeping generalizations and conclusions made by other commentators who apparently read Mwalimu very superficially. Mao Zedong a Chinese philosopher urged people "no research no right to speak"
 
Soma hotuba ya "mikuki miwili" ya Al Haj Ali Hassan Mwinyi aliyoitoa mbele ya wazee wa Dar hapo Diamond Jubilee si muda mrefu baada ya kukabidhiwa nchi.

Kwa maandiko yako unadhihirisha kuwa Nyerere alikuwa bize kuandika vitabu na makaratasi badala ya kuendesha nchi.
 
Nimekubaliana na mchambuzi mmoja aliyesema ukitaka kumficha Mtanzania jambo lolote usihangaike kutafuta jengo lenye grill na walinzi wa silaha, badala yake ni kuliweka jambo hilo kwenye maandishi. Utakuwa umefanikiwa kumficha Mtanzania kila kitu. Culture of reading is zero for bongo people. So they end up shouting instead of arguing. Pole sana
 
Huyo hajajenga nyumba kajenga boma la mbuzi ambalo chui akitamani mbuzi anaingia na kujitwalia wakati wowote. Nyumba imara haijengwi kwa kutegemea wengine waje kufanya "finishing", mjenzi bora huhakikisha anakamilisha jengo, anahamia, ndio anaalika watu, haaliki mtu kabla halijesha, aone nini?
faiza, mimi naona hukunielewa kwenye story hiyo. Maana yangu ni kwamba hiyo nyumba ni shirikishi inajengwa kwa pamoja, Nyerere is a lead person in this context lakini kila mmoja ana role to play, kwa hiyo ninaosema wameshindwa kutimiza waibu wao ni hao wa finishing na lawama anapelekewa nyerere. Mengi yameshachangiwa humu kwenye mada yako lakini mimi niongezee kwamba kujenga nchi si sawa na kujenga nyumba kama mfano nilioutoa hapo juu ukiwa ni wakawaida sana ili kujeng hoja, kujenga nchi ni suala la kila mwananchi. Haya ya kutegeana hata enzi hizi yapo ndio maana hata kikwete analaumiwa kwamba serikali yake haijafanya lolote, unadhani hakuna ukweli ndani yake? unadhani kikwete anapenda kuzisikia lawama hizo? unadhani hatambui kama ni kweli na wanaomkwamisha (wanaomtegea) kwenye serikali yake anawajua? Tujipime kwa matendo yetu na hasa katika familia zetu ni mangapi yanatushinda kuyasimamia si kwa kutaka kwetu bali ndio uhalisia, kama si ndani mwako basi kwa ndugu na jamaa zako.
 
Jamani,

Mwalimu alifanya kile alichoweza kwa wakati wake na kwa kweli, kama si misingi thabiti aliyoiweka mwalimu leo hii jeuri tuliyo nayo humu ndani ya JF labda kwa baadhi yetu ingekuwa hadithi.

Mimi nafikiri kosa amabalo mwalimu alilifanya ni kuchelewa kuruhusu uwepo wa vyama vingi na hili limefanya sasa CCM ione kama yenyewe ni teule kutawala nchi hii.... hili ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa utamaduni wa kuachia madaraka hasa baada ya changuzi na kukubari kushindwa. Hili tu ndo naona kama udhaifu uliokuwepo kwa Mwalimu.. Mengine yote, alifanya sawa kabisa na hasa kwa wakati wake.

La pili, kwa kutoanzisha utamaduni wa kuwepo kwa vyama vingi, CCM sasa inatawala kwa mazoea na ubabe kwa kuwa haipo tayari kukubari kuwa wengine pia wanaweza kuitawala nchi na kuingoza nch hii labda kwa kuweka mabadiliko makubwa zaidi yake... This is my take..
 
Ulietoa hii maada nahisi hata wazazi wako sidhani kama unamaelewano mazuri nao, maana unavyoonekana hata ukipewa kidogo huwezi shukuru
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.

Inawezekana kichwani mwako kuna shida mahali au Una damu ya Ki al-Shabab.Katika hali ya kawaida ya kibinadamu ni mwendawazimu tu ndiye asiyeweza kuona na kupima kibaya na Kizuri na nje ya hapo hakuna maoni au mtazamo ambao binadamu anayefikiri sawa sawa akakuelewa kwa ushawishi unaofanya eti! rejea bandiko lako hapo juu kuhusu J.K.Nyerere.

Mimi na hitimisha kuwa porojo lote unalofanya wewe na wenzako si kuhusu kingine bali ni kwa sababu na msukumo kunaotokana na Raisi wa Kwanza wa JMTanzania Julius.K.Nyerere -kuwa ni Mkristo na hivyo ni Kafiri kwa mtazamo mlionao dhidi ya yote Mema makubwa aliyoyafanya akiwa Raisi kinyume na Mabaya mnayotaka kuilisha Jamii kuhusu aliyofanya wakati wa Uhai wake kama Raisi wa JMTanzania

Maoni yangu kwa MODS wa Jukwaa hili ni kwamba kusema kweli sikumtendea haki J.K.Nyerere kwa kejeli za aina hii na kwamba huu uhuru wa mawazo umevuka mipaka na nikupoteza muda wa Jamii/Watanzania au kwa namna nyingine JF limegeuka kuwa Chombo cha Propaganda na Mashambulizi Dhidi ya Marehemu ambaye kama binadamu mwingine anaweza kuwa na mapungufu yake ,lakini si kila kukicha J.K.Nyerere na hili mara lile! .

NAANZA KUAMINI HIZI NI PROPAGANDA ZA KUTOKEA LUMUMBA CHINI YA UFADHILI WA CCM KWA MLANGO WA NYUMA KUHALALISHA AZIMIO LA ZANZIBAR NA KUWA ONDOA WATANZANIA KUTOKA UHALISIA WA UFUNDO WA MAFISADI NA KWA VILE J>K.Nyerere KAMANDA WA VITA HII MUMEAMUA KWANZA KUZIKWA KWA MAWAZO YAKE ILI MUPATE KUSONGA MBELE NA KWA BAHATI MBAYA MCHOTAKA NI KIGUMU LABDA MUSUBIRI 100 IJAYO.

Hongera kufikia idadi hii na tumai umejipima na kupata mrejesho ambao mwanao anaweza kujisifu nao au kulaumu kuwa na mama kama wewe!
 
Hayo yaliwahusu dunia nzima, kulikuwa kuna foleni ya mafuta. Tanzania kulikuwa kuna foleni ya sukari, mchele, unga, viberiti na ashaakum si matusi hata hifadhi za kike zilikosekana.

Na haikushia hapo kwenye hiyo crisis ya mafuta duniani, yaliendelea mpaka alipong'atuka, unajuwa ni miaka mingapi baada ya crisis ya mafuta?

Ukweli ni kuwa marehemu Nyerere hakuwa na muono na hakujua kuongoza. Alichokuwa anakijuwa ni kusema sana tu, vitendo vyake viliiuwa nchi. Huo ndio ukweli.

Hivi unafikiri kuongoza nchi ni sawa na kuongoza huo msikiti wako?
Kama msikiti umewashinda mpaka mnahamasisha watu kupiga risasi mapadre itakuwa nchi.
 
Kajifunze kuandika Kiingereza ndio uje nikuelewe una maanisha nini.

Huo ndio msingi uliowekwa na Nyerere. Hujuwi Kiingereza na nna uhakika hata Kiswahili hukijui.

Faiza kakosea wapi hapo labda nikutafsirie,,,, anamaanisha nyerere amekuwa akifa mda mrefu,, na anasema tena nyerere amekuwa akitoka kwenye madaraka mudaa mrefu,,,,,, labda tu useme kiigereza namna hii hukifahamu,,, nicha burundi hiki
 
faiza, mimi naona hukunielewa kwenye story hiyo. Maana yangu ni kwamba hiyo nyumba ni shirikishi inajengwa kwa pamoja, Nyerere is a lead person in this context lakini kila mmoja ana role to play, kwa hiyo ninaosema wameshindwa kutimiza waibu wao ni hao wa finishing na lawama anapelekewa nyerere. Mengi yameshachangiwa humu kwenye mada yako lakini mimi niongezee kwamba kujenga nchi si sawa na kujenga nyumba kama mfano nilioutoa hapo juu ukiwa ni wakawaida sana ili kujeng hoja, kujenga nchi ni suala la kila mwananchi. Haya ya kutegeana hata enzi hizi yapo ndio maana hata kikwete analaumiwa kwamba serikali yake haijafanya lolote, unadhani hakuna ukweli ndani yake? unadhani kikwete anapenda kuzisikia lawama hizo? unadhani hatambui kama ni kweli na wanaomkwamisha (wanaomtegea) kwenye serikali yake anawajua? Tujipime kwa matendo yetu na hasa katika familia zetu ni mangapi yanatushinda kuyasimamia si kwa kutaka kwetu bali ndio uhalisia, kama si ndani mwako basi kwa ndugu na jamaa zako.

Unamteganisha vipi baba na mwana,, definitely tabia ya mwana ina reflect malezi alopewa na wazazi wake,, kweli baba anaweza asiwe mwizi lakini wizi wa mtoto ukawa ni matokeo ya mzazi kutomlea mtoto katika misingi bora..... ndo maana wazazi inabidi tuwe makini sana katika malezi ya wanetu maana historia lazima ije kutuhukumu tu,, wote wanaotutawala leo wote ,,,, ni watoto wa mwaimu,,,,asante sana
 
Hebu fafanua tuijadili vizuri hapo kwenye red, mimi naanza halafu wewe pinga hoja zangu......tujadiliane.

-Madini
Alikuachieni tena kwa ahadi kwamba mtavuna mkiwa teyari

-Elimu
wakati wake JK Nyerere, japo walifaidika wachache lakini wote masikini kwa matajiri walisoma shule za aina moja na waliofaulu waliendelezwa mpaka mwisho, leo hii watu binadamu fedha, walalahoi shule za kata hakuna chochote....

-Dawa za kulevya,
Wakati wa nyerere mlipata kusikia ujinga wa madawa haya kama ilivyo sasa na jinsi watanzania wanavyoteketea?

-Afya,
Pamoja na uchache wa dhahati na vituo vya afya, ukienda kutibiwa unapata dawa za uhakika, bure wahudumu na madakitari walifundwa na walikuwa wazalendo wa kweli.

-Polisi, jeshi na usalama wa raia,
Wakati wa Nyerere vikosi hivi vilitawaliwa na nidhamu ya hali ya juu, uzalendo na ushilikiano kwa raia, walihifadhi siri za serikali kwa umakini mkubwa leo hii kila kitu ni upuuzi tu

-Mbuga za wanyama na maliasili

Mliwahi kusikia meli kusafilisha meno ya tembo?, Ndege kubebe twiga, Loliondo kupigwa mnada na akina Katabalo kuuwawa?

-Udini na mshikamano miongoni mwa raia wa tanzania
Mliwahikusikia watu kugawanyika kama ilivyo sasa kwa mitazamo ya udini, ukabila na ukanda? (Tulisifika duniani kote kwa jina moja - tuliitana Ndugu FaizaFoxy, Ndugu Red Giant nk)

Mnataka misingigani nyinyi??? unaweza kumpeleka punda hadi mtoni lakini jukum la kunywa au asinywe maji linabaki kuwa hiari yake sio mchungaji.

Ukiongelea kuacha madini eti mpaka tuwe tayari huo ni udhaifu mkubwa sana kwanini asitumie yale madini kulijenga taifa ,hapo Nyerere alionesho kutokuwa tayari kuliongoza taifa,,
Tumefika hapa kwasababu ya udhaifu wa nyerere watu walikuwa wakilihujumu taifa lakini alikuwa hatoi adhabu eti kwasababu wale watu walijifanya wakereketwa wa chama ,,kama unakumbuka tatizo la waziri alienunua kukodi ndege mbovu, kivuko kilicho ua watu wengi sana hata mwalimu aliyekuwa akiwasaidia wanafunzi wake.
Lakini jiulize ni adhabu gani alitoa,kukosekana kwa utawala wa sheria hapa nchi ni matokeo mabovu ya uongozi wa Nyerere.
 
We unaelewa ulichojadili? kama huelewi bora kukaa kimya.

Unajuwa maana ya kuwa tayari na alilenga nini?....
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.

Katika NCHI zoote zilizokuwa zinaawaliwa na Mataifa Mengine ni NCHI IPI ambayo RAIS WAKE BAADA ya UHURU aliweka MISINGI MADHUBUI na IMARA? kama Unavyosema hana MUONO unaweza kutoa Mifano ya nchi na Marais wake?

Au ndio kulalamika bila MUONO???

Tofauti kati yake na wengine ni kwamba alitenda makosa aliyoyatenda katika jitihada za kuiendeleza nchi yake na kuwainua wananchi wake kutoka katika masikini na unyonge. Hakutenda makosa yaliyotokana na utashi wa kujitajirisha yeye na familia yake wala kwa nia ya kusimamia maslahi ya mitaji mikubwa ya “wawekezaji” na waporaji kutoka nje.

Aliishi maisha ya mtu wa kawaida; alipenda kuvaa kama mtu wa kawaida; alichukia anasa na tabia za kujipamba mithili ya tausi; magari yake yalikuwa si yake bali ya dola, na yalikuwa magari ya kawaida kabisa; alichukia mbwembwe zisizo na maudhui. Alipenda kufanya kazi, wakati mwingine kazi za ngwamba ambazo watu wengi huzikimbia.

Misimamo yake ilikuwa imara na isiyoyumba, na ndiyo maana wawakilishi wake nje ya nchi waliweza kutoa matamko yalaiyofanana bila kuwasiliana juu ya wanachokisema, kwani bosi wao alikuwa anaeleweka. Na tusisahau kwamba hii ilikuwa ni katikati ya malumbano makali kuhusu mapambano ya ukombozi wa Afrika, na diplomasia yetu ilibidi ipambane na diplomasia ya kinafiki ya nchi za Mgharibi maswahiba wa makaburu.
 
Katika NCHI zoote zilizokuwa zinaawaliwa na Mataifa Mengine ni NCHI IPI ambayo RAIS WAKE BAADA ya UHURU aliweka MISINGI MADHUBUI na IMARA? kama Unavyosema hana MUONO unaweza kutoa Mifano ya nchi na Marais wake?

Au ndio kulalamika bila MUONO???

Tofauti kati yake na wengine ni kwamba alitenda makosa aliyoyatenda katika jitihada za kuiendeleza nchi yake na kuwainua wananchi wake kutoka katika masikini na unyonge. Hakutenda makosa yaliyotokana na utashi wa kujitajirisha yeye na familia yake wala kwa nia ya kusimamia maslahi ya mitaji mikubwa ya "wawekezaji" na waporaji kutoka nje.

Aliishi maisha ya mtu wa kawaida; alipenda kuvaa kama mtu wa kawaida; alichukia anasa na tabia za kujipamba mithili ya tausi; magari yake yalikuwa si yake bali ya dola, na yalikuwa magari ya kawaida kabisa; alichukia mbwembwe zisizo na maudhui. Alipenda kufanya kazi, wakati mwingine kazi za ngwamba ambazo watu wengi huzikimbia.

Misimamo yake ilikuwa imara na isiyoyumba, na ndiyo maana wawakilishi wake nje ya nchi waliweza kutoa matamko yalaiyofanana bila kuwasiliana juu ya wanachokisema, kwani bosi wao alikuwa anaeleweka. Na tusisahau kwamba hii ilikuwa ni katikati ya malumbano makali kuhusu mapambano ya ukombozi wa Afrika, na diplomasia yetu ilibidi ipambane na diplomasia ya kinafiki ya nchi za Mgharibi maswahiba wa makaburu.

Unaandika pumba tu, bottom line Nyerere alikiri mwenyewe kuwa yeye si malaika na kuna makosa aliyofanya. Au hilo nalo ni gumu kwako kulielewa?

Pumba zote ulizoandika sijaona hata moja la faida uliyoeleza aliloiletea Tanzania, zaidi ya kutuzidishia umaskini. Unajuwa wakati wa Nyerere hata "expectancy" ya maisha ya Mtanznia ilishuka mpaka kuwa ni miaka 45 tu!

Sijui alivaa hakujipamba, wewe unaona hakujipamba , yeye hapo ndio anaona kajikwatua, unafanya mchezo, kutoka kaptura za kimanamba hadi suti.
 
Back
Top Bottom