Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Pitia posts na usikurupuke, swali lako la kwanza nimeshalijibu kwa wengine huko juu.

Kuhusu Gavana aje Tanganyika, alikuwa ni mtumishi wa Malkia wa Uingereza na hakuwa mtawala. Huyo alikuwa akiongoza watu ambao Umoja wa Mataifa waliona kuwa hawajui kujiongoza na kijilinda na kuwataka Uingereza watulinde na waongoze mpaka itakapoonekana kuwa sasa wanaweza kujiongoza. (Protectorate).

Kulikua na Gavana Kenya na Uganda na zenye we zilikua "Protectirates".... wewe siyo mwanasiasa au mjadilisiasa unapoteza maana halisia ya jambo ili kuhuisha umaana mpya ... sijui kwanini unaamini Nyerere alipewa nchi tu, hoja hii ni pungufu sana ki mantiki.... kwa bahati mbaya ha utaweza kukubali uchangiajibwa wa hoja hii

Nashangaa unaweza ukajitoa mahali hapa kwa kusema Nyerere hakuweka misingi yoyote ya taifa hili .... hivi hicho chama kinacho tawala au mwendelezo wa viongozi wa taifa hili ni msingi wa nani?
 
Katafute maana ya "protectorate" na "colony", ukiipata ndio uje kubishana.

Jee, Nyerere kafanya makosa makubwa ya kuweka msingi mbovu wa nchi au la, jibu utalotoa ueleze na kwanini umejibu hivyo. Mimi nasea aliweka msingi mbovu na ndio maana akaitoa nchi kutoka kwenye neema na kuiingiza kwenye umaskini wa mwisho duniani kabla hajang'atuka. Na huo msingi wake mbovu aliouwacha ndio kwanza umeanza kusambaratishwa na nchi inaanza kujengeka kwa kasi zaidi.

Yaliyokuwa haramu wakati wa Nyerere kwa sasa yote ni halali. Unalijuwa hilo?
 
hebu fafanua tuijadili vizuri hapo kwenye red, mimi naanza halafu wewe pinga hoja zangu......tujadiliane.

-madini
alikuachieni tena kwa ahadi kwamba mtavuna mkiwa teyari

-elimu
wakati wake jk nyerere, japo walifaidika wachache lakini wote masikini kwa matajiri walisoma shule za aina moja na waliofaulu waliendelezwa mpaka mwisho, leo hii watu binadamu fedha, walalahoi shule za kata hakuna chochote....

-dawa za kulevya,
wakati wa nyerere mlipata kusikia ujinga wa madawa haya kama ilivyo sasa na jinsi watanzania wanavyoteketea?

-afya,
pamoja na uchache wa dhahati na vituo vya afya, ukienda kutibiwa unapata dawa za uhakika, bure wahudumu na madakitari walifundwa na walikuwa wazalendo wa kweli.

-polisi, jeshi na usalama wa raia,
wakati wa nyerere vikosi hivi vilitawaliwa na nidhamu ya hali ya juu, uzalendo na ushilikiano kwa raia, walihifadhi siri za serikali kwa umakini mkubwa leo hii kila kitu ni upuuzi tu

-mbuga za wanyama na maliasili

mliwahi kusikia meli kusafilisha meno ya tembo?, ndege kubebe twiga, loliondo kupigwa mnada na akina katabalo kuuwawa?

-udini na mshikamano miongoni mwa raia wa tanzania
mliwahikusikia watu kugawanyika kama ilivyo sasa kwa mitazamo ya udini, ukabila na ukanda? (tulisifika duniani kote kwa jina moja - tuliitana ndugu faizafoxy, ndugu red giant nk)

mnataka misingigani nyinyi??? unaweza kumpeleka punda hadi mtoni lakini jukum la kunywa au asinywe maji linabaki kuwa hiari yake sio mchungaji.

kusikia na kuona tofauti...sisi wengine tulikuwapo....juu ya hali hofu lakini tukiomba aachie tu ya lishamshinda zamani
 
kusikia na kuona tofauti...sisi wengine tulikuwapo....juu ya hali hofu lakini tukiomba aachie tu ya lishamshinda zamani

huyu mama udini huwa unamsumbua sana!

kila kitu kinajengwa kwa msingi...nyumba ikiwa msingi wake ni dhaifu inaporomoka kama jumba lile pale indhia street
kama familia haina msingi imara nayo inaporomoka utaona kila mtoto na lake hakuna ushirikiano
ukiona nchi nayo inayumba ujue msingi wake haukujengwa kwa usawa na umadhubuti
njia pekee ni kuanza upya na foundation....na kuachana na wale wote walo tufukisha hapa..wenye mawazo ya zidumu fikra za mwalimu hawana nafasi katika tanzania yenye maendeleo , democrasia , ustawi wa watu wake bila ya ubaguzi wa aina yoyote....

namuona nyerere kama mroho wa madaraka alitawala miaka 23 na bado hata alipojitoa bado alikua akiamrisha aliyeko madarakani nin cha kufanya .yeye hana tofauti na mugabe yeye sio kama mandela na yeye alitakiwa awapishe wemgine wenye vision abaki kama mshaur na sion sabab ya yey kuitwa baba wa taifa
 
Nyie mliojenga chuki ndio mfuateni mtakufa na viroho vyenu lakini hakuna hata mmoja wenu atakayetufanya tusimuenzi kiongozi mahiri kama Nyerere; ukweli utabaki kama ulivyo!! Historia inawasuta na itaendelea kuwasuta!!

kumuenzi aliye feli ni kupoteza muda
 
Read Read Read

The source is no other than Mchungaji wa kondoo waliopotea, Mtikila.

If Mtikila is your source then do I need to argue with you? Hell no!! Thanks God Nyerere worked very hard to fight ignorance; He did not care about your gender or religion otherwise you would have somewhere in Kicheba; you should thanks him!!! I was wondering if a blind man can another blind; now I see the danger with all the people Mtikila?? Damn!!! you need help something wrong with your head!
 
kumuenzi aliye feli ni kupoteza muda

Naona mnahangaika kubadili ID lakini akili ni zilezile za konokono kama Nyerere alifeli basi hawa tulionao ndio wameboronga kabisa maana hata huyo aliyefeli ana nafuu kubwa sana na ndio maana watanzania bado wanamuenzi!
 
Leo naweza kusema kidogo kuhusu mada hii kwa kutumia mfano wa kawaida kama ifuatavyo; Mtu mmoja alijenga nyumba kwa ajili ya kuitumia pamoja na watu wengine na katika kuijenga akawashirikisha tenants wenzake katika suala la finishing ya ndani kwa maana ya kuweka samani na decorations nyingine ili nyumba hii iwe mahala pazuri pa kuishi. Pia mtu huyu hakuishia hapo bali alichukua jukumu la kutengeneza wigo katika Mipaka ya kiwanja cha nyumba hii, ili kuweka usalama wa uhakika kwa wakaao nyumba hii. Kwa bahati mbaya akiwa katika kuyafanya haya wenzake waliopewa shughuli za ndani wakawa wategeaji wasiotimiza wajibu waliopewa mbaya zaidi hawakuishia hapo wakahujumu hata miundo mbinu ya kuta, nguzo paa na hata wigo kwa ajili ya usalama wa wakaazi wa jengo hili.
Swali; Je nyumba hii ikinguka na wavamizi kutoka nje wakajitwalia kila kinachowafaa, nani alaumiwe kati ya hawa waliopewa kazi za ndani na huyu mjenzi wa nyumba hii?
 
If Mtikila is your source then do I need to argue with you? Hell no!! Thanks God Nyerere worked very hard to fight ignorance; He did not care about your gender or religion otherwise you would have somewhere in Kicheba; you should thanks him!!! I was wondering if a blind man can another blind; now I see the danger with all the people Mtikila?? Damn!!! you need help something wrong with your head!

What was life like in 1967?
Life was so fine when I was at school. Then we had bread and butter, Margarine. We had very, very good food. Oh and the quality of education was international. We sat for the same examinations that other people sit in all other countries. We had teachers from America and UK and Canada and Australia and New Zealand. So, we had the same quality of education everywhere. The medium of instruction was English, like in other places. And all this was watered down. It was replaced by what was called national education.
What was national education?
National education was the liberation of our minds from imperialist education as it was called. It was a change because all subjects that we were learning which were international, they were termed as imperialists. So we remained with the C.S.R. or political ideology, Swahili and cultural science. It was the same from primary to secondary schools. Practical education in science, physics, chemistry and biology ceased. Even the oral one, the theoretical one went away. They say this is now triumph -- the cultural triumph. The big ones, the big shots, sent their children overseas to prepare them to come and take over when they retired. But as for us, it was the end of everything

Rev. Mtikila.
 
Huyo hajajenga nyumba kajenga boma la mbuzi ambalo chui akitamani mbuzi anaingia na kujitwalia wakati wowote.

Nyumba imara haijengwi kwa kutegemea wengine waje kufanya "finishing", mjenzi bora huhakikisha anakamilisha jengo, anahamia, ndio anaalika watu, haaliki mtu kabla halijesha, aone nini?
 
If Mtikila is your source then do I need to argue with you? Hell no!! Thanks God Nyerere worked very hard to fight ignorance; He did not care about your gender or religion otherwise you would have somewhere in Kicheba; you should thanks him!!! I was wondering if a blind man can another blind; now I see the danger with all the people Mtikila?? Damn!!! you need help something wrong with your head!
Tafuta kitabu kinaitwa the animal farm tasnia hio ndio maisha wakati wa Nyerere.unfortunately alikipiga marufuku!!!
 
Hilo ni kosa kubwa sana kati ya makosa yaliyowahi kufanywa na kiongozi wa nchi. Usilitaje wala usilikumbushe.

NAOMBA UTHIBITISHE KWA HOJA MADHUBUTI UNAPOSEMA "Hilo ni kosa kubwa lililowahi kufanywa na MWL J.K.NYERERE"Kusema tu bila hoja naona ckuelewi.mimi namwona mwl aliyafanya mengi mazuri.(1)ELIMU.ILITOLEWA BURE KUANZIA ELIMU YA MSINGI NA ELIMU YA UPILI WANAFUNZI TULIPEWA MADAFTARI NA VITU VINGINE BURE.JE HAYA KWA SASA YAPO?(2)USAWA.MWL ALIKEMEA KUWEPO KWA GAP BTN WALIONACHO NA WASIONACHO NA KUUNDA VIJIJI VYA UJAMAA NA TUKAISHI KAMA NDUGU NA TUKAZIONDOA TOFAUTI ZETU NDIYO MAANA HAKUNA UKABILA.JE HAYA KWA SASA YAPO?(3)MALI ASILI.MWL ALIJITAHIDI KUZITUNZA RASIMALI ZETU NA IRINGA ALIPANDA MSITU WA SAO HILL AMBAO MPAKA LEO WATZ TUNAJISIFU TUNAUZALISHAJI WA MBAO.JE HAWA VIONGOZI WA SASA WAMEFANYA NINI?(4)VIWANDA.MWL ALIJENGA VIWANDA Eg.MUFINDI PAPER MGORORO,MWATEX,SUNGURA TEX,URAFIKI&NA KIWANDA CHA ZANA ZA KILIMO MBEYA,NMC IRINGA,ARUSHA VKO WAPI?ADD MORE
 
1) Changa la macho, elimu itolewe bure, Nyerere alikuja na pesa za kuwalipia elimu kutoka wapi? Soma post #550 uone elimu ilivyokuwa kabla na baada ya azimio la Arusha.

2) Ukabila wala udini haukuwepo kabla ya Nyerere na ndio maana alipokuja Dar alikaribishwa akaishi ndani ya nyumba ya kina Abdul Wahid Sykes, akala akanywa na kuvaa nao bila ubaguzi wowote. Nioneshe ni wapi watu walikuwa wakibaguana kabla ya madaraka?

Isitoshe, tulianza kuona undugunazeshen wakati wa Nyerere, akiwa Kuhaya kwenye wizara au idara au shiika la umma fulani basi humo watajaa wahaya, akiwa mchagga ndio usiseme. Hayo yalikuja wakati wa Nyerere, unayajuwa au hukuhadithiwa hayo? maana nna uhakika hukuwepo wakati wake.

3) Msitu wa SAO hill upo pale kabla ya Nyerere, Nyerere aliweka kiwanda cha makaratasi kilichomshinda kukiendesha.

Mali asili hakuzilinda Nyerere, wakati wa Nyerere ndio ujangili wa hali ya juu ulipoanza kwa dhiki watu wakaanza kuingilia biashara haramu ya nyara za serikali. Soma.

4) Hivyo viwanda vyote ulivyovisema, huo ni moja kati ya misingi mibovu aliyoiweka Nyerere, unajenga kiwanda huna wakukiendesha, unataifisha viwanda huna wataalaam wa kuviendesha, unategemea nini? Leo hata ukifunguwa grocery kama huna wakuiendesha itakufa seuse kiwanda. Waswahili hunena "kuzaa sio kazi, kulea ndio kazi".

Hivi wewe ukiwa haswa na muono, utaanzisha kiwanda wakati hauna wakukiendesha?

Nakuuliza hivyo viwanda viko wapi sasa? na vilikufa lini?
 
What was life like in 1967?
Life was so fine when I was at school. Then we had bread and butter, Margarine. We had very, very good food. Oh and the quality of education was international. We sat for the same examinations that other people sit in all other countries. We had teachers from America and UK and Canada and Australia and New Zealand. So, we had the same quality of education everywhere. The medium of instruction was English, like in other places. And all this was watered down. It was replaced by what was called national education.
What was national education?
National education was the liberation of our minds from imperialist education as it was called. It was a change because all subjects that we were learning which were international, they were termed as imperialists. So we remained with the C.S.R. or political ideology, Swahili and cultural science. It was the same from primary to secondary schools. Practical education in science, physics, chemistry and biology ceased. Even the oral one, the theoretical one went away. They say this is now triumph -- the cultural triumph. The big ones, the big shots, sent their children overseas to prepare them to come and take over when they retired. But as for us, it was the end of everything

Rev. Mtikila.

You still quotes the same fool? Mtikila was educated after the colonial rule in another words he got his education during Nyerere regime; so I don't see any valid argument from him; before you quotes fool like Mtikila try to educate your self; the education system inherited from British was not favorable; the goal was to make every Tanganyika citizen be educated; which was very successfully; I make my comfortable living here in states because of the same education system implemented by Nyerere; I did not get bread and butter but I had education; so if bread and butter mean more to you I will agree with you. When USA got independence from British they did the same so there is nothing new!!!
 
Tafuta kitabu kinaitwa the animal farm tasnia hio ndio maisha wakati wa Nyerere.unfortunately alikipiga marufuku!!!

Sidhani kama nahitaji kuhadithiwa kuhusu Nyerere! hicho soma wewe uliyebalahe juzi!
 
kitu nyerere alichofanikiwa ni kuimarisha kanisa katoliki Tanzania
 
Kama babaako alijenga nyumba ya tope basi wewe anza kulia na kumlaumu kwa kuwa alikuwa mvivu na umlaani kweli kweli.
 
Back
Top Bottom