Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Hivi Faiza Foxy ukianza kufuatilia makosa,mtu akasema baba yako alifanya makosa kukuzaa,halafu akaja na hoja utabisha?Maana kuna wengi wanaoweza kukubaliana na hoja hiyo,pengine wewe na baadhi hamtakubaliana.Kadhalika la mwalimu kufanya makosa kuna watakaokubaliana na wewe,kuna ambao hawatafanya hivyo.Kwasababu ni ujinga.

Hapo unamtusi Mzee Nyerere kwani hata yeye alikiri kufanya makosa na alisema yeye si malaika.
 
Nyerere hakutufikisha popote?......Mtoa mada una Uhakika na unachokisema.
 
Uwe unafanya uchambuzi kwa kutumia akili na historia ya nchi miaka hiyo.
Yeye alifanya makosa je nyinyi mnafanya nini. nchi mihadarati kila kona, Mzungu au mhindi au mchina anakuja hapa hata mtaji hana anaitwa mwekezaji na mnampa maeneo. we unadhani Nyerere angekuwa na tamaa mngevikuta!
Vijiji vua ujamaa ilikuwa ni sahihi watu kaya zilikuwa mbalimbali unadhani huduma zingepatikanaje

Dunia ya sasa ni kijiji, huwezi kuwa na siasa za kubaguana, zimepitwa na wakati.

Jee, umewahi kumsikia Tiny Rowlands? alikuwepo wakati wa Nyerere.
 
Huwezi kujadili challenge za nchi zilizoko kwa sasa na kuangalia positive solution za miaka ijayo bila kuangalia historia ya matukio ya zamani na jinsi yalivyoshughulikiwa kwa sababu kutokufanya hivyo, kutakuwa na uwezekano wa kufanya makosa yaleyale.

Utawala wa Mwl. Nyerere ni mojawapo ya historia ya nchi yetu na katika utawala huo kuna mambo mengi mazuri na mabaya ya kujifunza ili tupate solution ya matatizo yaliyopo na yajayo. Maendeleo yoyote yale chanya mara nyingi yanapatikana kwa kujua udhaifu wa kilichoko na hasa tangu kilipoanzishwa na kutafuta solution ya kukibadilisha katika hali chanya.

Historia ya taifa letu ipo kwa ajiri ya kutuasaidia kujitambua wapi tumetoka na pia inatusaidia kufahamu mabadiliko yaliyotokea kama ni mazuri au mabaya. Ndiyo maana hata Katiba tunayohangaika kuitafuta kama taifa, misingi yake mikuu imekuwa based on our Nation history.

Mbona kuna watu huwa wanapandwa na midadi na hasira pale tu historia ya utawala wa Mwl. Nyerere inapoangaliwa katika macho hasi lakini ni hao hao pia wanapatwa na furaha sana pale inapoangaliwa katika macho chana.

Kama yeye mwenyewe alishawahi kusema kuwa hakuwa "malaika", kwa nini baadhi ya watu wanataka jamii imuone kama alikuwa "malaika" katika macho ya kinafiki. Tujenge nguvu ya hoja na siyo hoja za nguvu kama baadhi ya watu wanavyopenda iwe.

Jamii bado inaangalia na kuzichambua athari za vita vya dunia (1,2) na pia athari ya utawala wa Adolf Hitler kama ilivyo kwa watanzania ambao wanaangalia na kuzichambua athari za kikoloni katika dunia na hii ikiwa ni pamoja na Tanzania. Why not Mwl. Nyerere legacy?.

We can't have Mwl. Nyerere positive legacy without having negative legacy. Huu ndiyo ukweli. Let's talk openy as Jf motto.


Nice and well said..
 
Hakutaka watanzania tuwe na TV! Hilo ni kosa ambalo sinto msamehe.
Serikali yake,Alimfukuza Tambwe Leya na nabi kamal mwaka 1976! halafu Serikali yake ilifuta ziara ya pele na santos wageni wa Yanga!

Alitumia pesa za umma kujenga majengo ya ghalama kubwa Chimwaga kwa ajili ya mikutano ya chama wakati nchi haina vyuo vya ualimu!

katawala nchi miaka therathini, lakini hakujenga hata maktaba moja! maktaba za mikoani chache tunazotumia zilijengwa na Mkoloni na wahindi tuu!

Alithamini Chama kuliko maisha ya mtanzania!
serikali yake ililaani Israel kuwaokoa mateka wake entebe mwaka 1976!

Alikataa kuweka bodi ya mikopo kwa watanzania kuenda vyuoni kwa wingi na badala yeke aliweka azimio la musoma kuwa katisha tamaa vijana kwenda chuo kikuu moja kwa moja!
 
wewe amini neno moja tuu: Kufa kwa ukomunisti ni mapenzi ya mungu kutuokoa watanzania kufuata siasa zake nyerere ambazo zilkuwa zinatupeleka gizani, . wewe chunguza tuu, katika utawala wa chama chashika hatamu maendeleo ya nchi yote yalisimama na badala yake kuwakwa na maendeleo ya chama tuu.

Kufundisha watu mgambo
kuleta palestina day na sherehe ya kutukana wayahudi
kujenga majengo ya kifahali ya mikutano ya chama!
Kuunda kikundi cha TOT cha kwaya!
Chama kuwa na serikali yake!
Sukita!
Zanzibar kuwa na waziri kiongozi!
katibu mkuu wa Chama kuwa na madaraka makubwa kuliko waziri mkuu
matawi ya chama kufunguliwa sehemu za kazi !

mungu hakupendezwa na hali hii ya kutumia pesa za umma kughalimia mambo ambayo hayana faida kwa raia bali ni faida kwa chama tuu. kwa hiyo ili mungu atukomboe, ilibidi akate kichwa cha mrusi na mataifa yote yote taliyofuata sera za kifashist za kikomunisti kuadhilika.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi. Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani? Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono? Tujadili.
unatakiwa uludishwe MILEMBE sina hakika na elim yako?!!? kama unalingana elim yako na mwenyekiti wako macho kumchuzi?
 
Hakutaka watanzania tuwe na TV! Hilo ni kosa ambalo sinto msamehe. Serikali yake,Alimfukuza Tambwe Leya na nabi kamal mwaka 1976! halafu Serikali yake ilifuta ziara ya pele na santos wageni wa Yanga! Alitumia pesa za umma kujenga majengo ya ghalama kubwa Chimwaga kwa ajili ya mikutano ya chama wakati nchi haina vyuo vya ualimu! katawala nchi miaka therathini, lakini hakujenga hata maktaba moja! maktaba za mikoani chache tunazotumia zilijengwa na Mkoloni na wahindi tuu! Alithamini Chama kuliko maisha ya mtanzania! serikali yake ililaani Israel kuwaokoa mateka wake entebe mwaka 1976! Alikataa kuweka bodi ya mikopo kwa watanzania kuenda vyuoni kwa wingi na badala yeke aliweka azimio la musoma kuwa katisha tamaa vijana kwenda chuo kikuu moja kwa moja!
umevulugwa na wapiga debe wako si kosa lako. ludi chekechea
 
Let him burn in hell for fathering a devil.

Nani? Nyerere? si vizuri hivyo, watoto zake wamo humu JF, tena yule wa kujipachika ajiitae Yericko Nyerere atakasirika sana kwa kumuombea "babake" aunguzwe motoni.
 
Last edited by a moderator:
Nani? Nyerere? si vizuri hivyo, watoto zake wamo humu JF, tena yule wa kujipachika ajiitae Yericko Nyerere atakasirika sana kwa kumuombea "babake" aunguzwe motoni.
usijifanye huelewi ulichojibiwa na reformer hapo juu. Kwasababu uu mgumu kuelewa wacha nikusaidie....
Nilicomment na kukuuliza hivi:
@Mkirua It is very difficult to argue with a fool.
Pitia comment moja moja hadi hapa tulipo then position yourself where you stands.
Kama unadhani alifanya makosa sana na unataka kumhukumu ameshakufa, mfuate aliko ukamhukumu. On top, nadhani baba yako wewe alikuwa mwanaume anayekojolea mbali kama alivyokuwa Nyerere, alikuwa wapi asisimame kidete akasahihisha hayo makosa?
Wewe ukajibu hivi....
@FaizaFoxy Aliuliwa.
Sasa usichokielewa hapa ni nini au unafiki?
 
Ndio maana nimekuwa nikiwaambia washabiki wa serikali tatu kuwa likipitishwa hilo tu inabidi tujiulize Nyerere tunamuenzi kwa kipi maana Ujamaa na Kujitegemea tulishaupungia mkono siku hizi tunajivunia misaada na ubepari. Ndio maana tunaona vyama vinavyoahidi mabadiliko vikipokea rundo la pesa toka Ujerumani za kuendesha shughuli zake. Nyerere alihamasisha vyama viendeshwe na michango ya wanachama.

Umoja wa kitaifa ndio kilichobaki ambacho kwa kuleta serikali tatu tunakuwa tumeshauvunja rasmi umoja huo.

Uongozi kwa maslahi ya Umma siku hizi unaonekana ni ushamba na ujinga, uongozi siku hizi ni kwa maslahi binafsi hata wagombea Urais wanaweka vigezo kuwa wahakikishiwe pesa iwapo watashindwa uchaguzi la sivyo hawashiriki!

Je, legacy gani ya Nyerere itabaki?
Mwenge, unamulika wanasembe.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?


Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.

yaani kuna watu wapumbavu sana hasa wenye maono kama yako najua ungepanda saana kuiona TANZANIA ikiwa mmoja wa wanachama wa OIC ndo kinachowasumbua mpaka kesho ni upumbavu mkubwa kubeza mambo ambayo hayahitaji hata elimu kuyaona kwa macho yako mwenyewe.
 
Hapo ndipo unadhihirisha kuwa alikuwa hana muono kwa kutaka kulazimisha vitu vya kufikirika. Kuipenda nchi sio kuwa na muono. Fikiri.
mimi naona wewe unataka kutuaminisha vitu visivyopo nyerere atabaki good leader in tanzania never ever happen...hayo mengine yaliyotokea ni changamoto za uongozi kwani yeye hakuwa malaika so jaribu kuelewa but amelifanyia taifa hili mambo makubwa na kukumbukwa na yenye tija kwa taifa
 
yaani kuna watu wapumbavu sana hasa wenye maono kama yako najua ungepanda saana kuiona TANZANIA ikiwa mmoja wa wanachama wa OIC ndo kinachowasumbua mpaka kesho ni upumbavu mkubwa kubeza mambo ambayo hayahitaji hata elimu kuyaona kwa macho yako mwenyewe.

Naona huna hoja bali unataka kulazimisha viroja.

Hebu jisomee hapa chini kidogo, halafu uniambie na huyu alikuwa anataka kuiona Tanzania ikiwa mwanachama wa nini?

Did people live in fear during the Nyerere era?
We experienced a very strange way of living because of the terror campaign with the security officers trained in the communist block. It was terrible. People did not trust anyone, even in the families. Wives would not trust their husbands and vice versa because it was a very severe terror campaign. People would disappear silently and no one would be allowed to think about them because if you are suspected to be thinking treason, then you also disappear. We lived under that repressive regime, I mean, all these years until this guy retired after the failure of Ujama, because we did not achieve all these things. We were made to think about things which were not there and believe they are there. To say otherwise was to say treason. This is the terror campaign which subdued us to the level of livestock, which always live in fear of slaughter anytime.
Source:
mtikila_tn_off.jpg

[TD="width: 7"] [/TD]
[TD="class: standard, width: 610"]
mtikila_txt_off.gif
[/TD]

[TD="class: standard, width: 610"] Opposition party leader criticizes the socialist policies of Julius Nyerere in Tanzania from the 1960s to the present. [/TD]
 
mimi naona wewe unataka kutuaminisha vitu visivyopo nyerere atabaki good leader in tanzania never ever happen...hayo mengine yaliyotokea ni changamoto za uongozi kwani yeye hakuwa malaika so jaribu kuelewa but amelifanyia taifa hili mambo makubwa na kukumbukwa na yenye tija kwa taifa

Na huyu jee, antaka kukuaminisha vilivyokuwepo? jisomee;

What did you think of the Arusha Declaration?
I think the science behind the Arusha Declaration, which was a one-man affair, it was not decided by meeting. Not even by the party. Records show that it was at the general meeting of the party again at Arusha when Nyerere just pierced his two fingers into his shirt breast pocket and took out a paper which was folded. He unfolded it there and preached about socialism, about nationalizations and all these things ending up into the declaration. It was a one-man play.

Now the idea behind it, as we learned later, was that they were trying to create an environment whereby people were going to expect not even work, because there was someone, not even God, some authority somewhere which was going to provide everything for the people. And people were proud of everything that it belongs to them. Even if they did not sleep in the flats in the city of Dar es Salaam, people would be very happy if they belonged to us. They would not even work. And we were so fooled, we were so blinded because of this Arusha Declaration all of the media that we have in the country for brainwashing. People were made to feel very happy about the expropriation of the business enterprises that actually performed so well economically. Our country was so well placed. They're paying their taxes, employing the citizens what have you.
That died away with the nationalizations and then we did not even start feeling the poverty, the pinches of poverty. We are not allowed even to feel it. We were compelled to say it is good. In all of the tribal dances we were compelled to sing good about the sufferings, and they said something like "tightening their belts". Ufunga mikanda. Whenever we complained that the suffering is too bitter, Nyerere would appear on the radio and tell the nation that we must tighten the belts. Not be given food to eat because we are hungry. So, because we are hungry we should tighten the belts then the hunger would not be felt because the stomach has been made small. That is it. And we would celebrate that because the father of the nation has said that. So we were, all of us, going to die. We thank the Nordic countries and other people that started speaking about the fate of the people. We were changing from the day that we obtained independence and now that we are independent, the situation was terrible. It is when Julius Nyerere had started to soften a little bit, in some areas.

Source: Heaven on Earth . The Film: Reverend Christopher Mtikila Interview | PBS
 
usijifanye huelewi ulichojibiwa na reformer hapo juu. Kwasababu uu mgumu kuelewa wacha nikusaidie....
Nilicomment na kukuuliza hivi:

Wewe ukajibu hivi....

Sasa usichokielewa hapa ni nini au unafiki?

Hivi kinakushinda nini kuelewa kuwa hii ni mada inayojadili "makosa makubwa" ya Nyerere? soma tena;

@Mkirua It is very difficult to argue with a fool
.
Pitia comment moja moja hadi hapa tulipo then position yourself where you stands.
Kama unadhani alifanya makosa sana na unataka kumhukumu ameshakufa, mfuate aliko ukamhukumu. On top, nadhani baba yako wewe alikuwa mwanaume anayekojolea mbali kama alivyokuwa Nyerere, alikuwa wapi asisimame kidete akasahihisha hayo makosa?

Umenielewa au bado?
 
Back
Top Bottom