kivipi changa la macho?...shukuruni sadaka za wenzenu ziliwajengea shule na Hospitali....mngesoma wapi?,halafu ``shortminded people``kama wewe mnamlaumu Nyerere.......puuuuuuuuuuu!
Changa la macho.
Changa la macho.
You are just a pathetic and cynical moronWasemaji wazuri huwa si watendaji wazuri. Kumbuka hilo.
Kuhusu kusomesha Watanzania "wote" bure. Hilo si kweli. Hivyo vyuo alivyowasomesha Watanzania "wote" bure viko wapi? au na hizo sekondari za kuwasomesha watanzania "wote" bure zilitoka wapi?
Kuhusu amani, hilo usilitaje, Nyerere hakuikuta hii nchi ikiwa katika machafuko, aliikuta ina amani ya asili. Zaidi tunaona kuwa baada ya yeye kuweka misingi mibovu ndio amani ikaanza kutoweka.
You are just a pathetic and cynical moronNyerere, one of the continent's most vociferous supporters of a one-party state, never once subjected himself to a free and popular plebiscite; to call Nyerere a 'democrat', as some tributes have done, is a joke. The man was the most dictatorial, autocratic and intolerant on the continent. According to the South African commentator Simon Barber, the shortcomings of Nyerere's "dictatorship were ignored by whites in the west, especially Scandinavians, who believed that while colonialism had been a great evil, liberated blacks were nonetheless incorrigibly stupid and thus in need of firm control, not to mention a spot of detention, torture and arbitrary execution, by their own elite. Nyerere's rough stuff was off the sentimental radar of the folks who gave Archbishop Desmond Tutu his Nobel prize." (Business Day, October 27, 1999.)
Hapo umekiri kuwa wewe ndio unaeanzisha udini kutaka kubadili mada na bado unaendelea.
Kuwa makini wakati wakati unajadiliana na watu, kama unataka kujibu kuhusu mambo ya dini nenda kwenye posta unazotaka "kufukunyuwa" ukajibu huko. Wacha ushambenga.
Pia umekiri kuwa Nyerere alifanya makosa. Na hayo makosa ndio huo msingi mbovu. Rais wa kwanza baada ya kujitawala anakubali kuwa amefanya makosa na ndio aliyetazamiwa kuwa ataweka msingi usio na makosa ili nyumba isitoke nyufa baada ya muda mchache tu.
Kumbuka kuwa hayo makosa ndio yaliyotufikisha pabaya, lakini huu uongozi wa sasa umeonesha ujasiri wa kusambaratisha misingi mibovu iliyowekwa na Nyerere na vikaragosi wake (Mwinyi na Mkapa) na kujenga misingi mipya (mfano mzuri ni katiba mpya) ambae hakuna aliyethubutu kabla ya sasa. Upo hapo ulipo?
She is not fool..she is a**hole-zealotIt is very difficult to argue with a fool.
Pitia comment moja moja hadi hapa tulipo then position yourself where you stands.
Kama unadhani alifanya makosa sana na unataka kumhukumu ameshakufa, mfuate aliko ukamhukumu. On top, nadhani baba yako wewe alikuwa mwanaume anayekojolea mbali kama alivyokuwa Nyerere, alikuwa wapi asisimame kidete akasahihisha hayo makosa?
Hivi Faiza Foxy ukianza kufuatilia makosa,mtu akasema baba yako alifanya makosa kukuzaa,halafu akaja na hoja utabisha?Maana kuna wengi wanaoweza kukubaliana na hoja hiyo,pengine wewe na baadhi hamtakubaliana.Kadhalika la mwalimu kufanya makosa kuna watakaokubaliana na wewe,kuna ambao hawatafanya hivyo.Kwasababu ni ujinga.
Tatizo lako wewe ni mfinyu wa mawazo; kila serikali inakuwa na program za maendeleo za miaka; 5; 10; 15 na kuendelea; unapoongelea shule hivi unaamishi ubora wa elimu au majengo? Vijiji vya ujamaa kwa akili yako ni moja ya misingi mibovua aliyoaiasisi Nyerere sasa wewe ndie utakayesema hivyo vijiji vipelekwe wapi? kwenye vyuo vingi vilikuwepo wakati wa Nyerere kilichofanyika ni kubadili majina tu hilo nalo pia umeona ni jambo la kusema?
Wewe una matatizo, lakini hujitambui. Siwezi kukusaidia!Nyerere alikikuta Kiswahili tayari kinazungumzwa na yeye mwenyewe anakiri kuwa alipokuja Dar alikuwa Kiswahili hakijuwi vizuri.
Unless you are using Swanglish. You are missing a "to" in your sentence; ie: "...you would like people to believe otherwise..." Nasisitiza: tujifunze kujivunia lugha yetu ya Kiswahili. Ni lugha kubwa barani Africa, na ni kati ya lugha kubwa hapa Duniani. Mwalimu Nyerere atakumbukwa pia kwa juhudi zake za kukuza na kuenzi lugha ya Taifa!
cc: Ndoa
Kiswahili kinakupiga chenga sio. Au ndio wale wale ambao bado hawajazinduka?Are you a "closed system"?
It is very difficult to argue with a fool.
Pitia comment moja moja hadi hapa tulipo then position yourself where you stands.
Kama unadhani alifanya makosa sana na unataka kumhukumu ameshakufa, mfuate aliko ukamhukumu. On top, nadhani baba yako wewe alikuwa mwanaume anayekojolea mbali kama alivyokuwa Nyerere, alikuwa wapi asisimame kidete akasahihisha hayo makosa?
Unajiaibisha!Sina haja ya kuitetea hoja inayojitetea yenyewe, nilitaka nawe upate ilm, lakini kwa kuwa unaonesha si mtu wa kupenda kujielimisha, unaweza kuwacha tu.
This was just an opinion from Simon Barber and if that was the case then there were many positives opinion from well known intellectuals from around the world; anyway who knows Simon Barber? Keep fooling yourself but legacy of Nyerere will stand strong forever!!!!!