Hivi kinakushinda nini kuelewa kuwa hii ni mada inayojadili "makosa makubwa" ya Nyerere? soma tena;
Umenielewa au bado?
Ngoja nikusaidie kidogo.
Nchi haijengwi kwa mwaka mmoja au mika 10 au 20, ujenzi wa nchi ni kitu cha kuendelea.
Maendeleo ya kweli katika nchi yeyote ile ni kwanza kuwajenga/kuwaendeleza watu kisha watu wajiletee au wajenge nchi yao.
Nchi yeyote lazima itafute dira yake ya kuingoza.
Nyerere alipochukua nchi toka mikononi mwa Waingereza nchi ilikuwa maskini, watu wake wengi walikuwa hawana hata elimu ya awali ya lazima. Huduma za Afya zilikuwa mbovu au zilikuwa hazipatikani maeneo mengi vijijini.
Alichokifanya ni kwanza kuboresha elimu ya nchi, kuhakikisha kila raia mwenye umri wa miaka 15 anajua kusoma na kuandika.
Anaanza kuwaunganisha Watz wa Pwani na Bara wawe wamoja ili Mmnakonde asimchukie Mmasai mgeni au Mpare asimshangae Mnyakusa n.k.
Baada ya kuwaungainsha watu badae analeta udhibiti wa amani ya nchi, wale wenye mihemko na jazba za kidini wasijeleta sintofahamu katka nchi yetu, anawakaba Wakristo kwa Waislam wenye siasa kali.
Anajenga vijiji vya ujamaa ili watu wakae pamoja waweze kupata huduma za jamii kwa urahisi.
Anaafanya uchunguzi wa kujua kuna rasilimali zilizokwepo na anazilinda ili Watz wake baada ya kuelimika waje kuzivuna kwa ufasaha.
Analeta siasa ya ujamaa na kujitegemea, kwa kua Ujamaa ni mfumo rahisi kumsadia maskini zaidi ya Upebari unaozidisha gap/tabaka la wenye nacho na wasio nacho.
Anajenga viwanda vingi tokea vya nguo, mbolea zana za kilimo,kusindika vyakula n.k .
Na mengi sana ya kujaribu kuleta amani kwa majirani zake.
Sasa waliofuata baada yake walipaswa kuendeleza tokea hapo kwenda mbele, sasa wao wakaamua kuua viwanda kisha kuviuza, kisha kuuza raslimali kwa wageni sasa mwenye kosa ni yeye au hao waliobadilisha nia yake dhabiti???
Najua miaka ya hivi karibuni wametokea wanasiasa wanaotaka wao wasifiwe zaidi ya Nyerere hivyo wanatafuta namna gani wamchafue Julius Nyerere, lakini wamejaribu sana ila wanaambulia aibu mwisho wa siku.
ANGALIZO.
Usichukie watu kwa sababu ya dini zao au kwa sababu ya uchumi wao. Amini unachoamini na fanya kazi
Umekomalia kweli leo, huyu upande alikuwa mzuri, upande alikuwa mwoga sana wa upinzani. Hata wa mawazo tuu. Ikabidi akajikuta kazungukwa na wanafiki. Maana waliokuwa wakimkosoa walikiona cha mtema kuni. Alifikiri yeye ana akili zote, kuliko watanzania wote, hii ilimponza sana. Angefunguka kidogo kwa watanzania wenzake angefika pazuri.What was the purpose of the Ujama villages?
The objective of villagization, or operation VIGIGI as it was called, was to bring the people together so that Nyerere has direct control of the lives of every human being and that went alongside establishing the ten-cell leadership. All the homes in the country, in the villages, were grouped in groups of ten each. And then from the ten-cell leaders he would know who ate what, who has bought new clothes and they were made to explain where they got the money too because they were not allowed even to buy a bicycle. Whoever bought a bicycle would be noticeable to the headquarters of the government through the leadership, the strict, terrible leadership which was very suppressive in the villages. So the aim was not to bring development. Because with villagization, they were removed from their traditional homes where they had sufficient food for themselves, even for cash crops for earning their living, for educating their children. But they were removed from there by lashes and thrown into trucks; their homes set on fire, even the fields, so that there is nothing to attract them back again -- to go back. So it wasn't because of development that they were moved away from development to the wilderness, but so they would be grouped together for his direct control and oppression.
Source: Heaven on Earth . The Film: Reverend Christopher Mtikila Interview | PBS
Wewe unaeiona tutajie ni ipi tuijadili.
Alimwogopa kambona.Umoja na utaifa, usawa na haki kwa wote, kujitegemea, kufanyakazi kwa bidii, elimu kwa wote, uongozi ni dhamana, kug'atuka kwenye uongozi kwa uchache lakini viongozi waliokuja baadaye wakaivuruga
Sijasema kwamba hakuyafanya makosa,soma vyema.Nilisema ni ujinga kukubaliana na wewe na wenzako wachache,kwani makosa aliyozungumzia mwalimu ndo unayoyazungumzia wewe?Hapo unamtusi Mzee Nyerere kwani hata yeye alikiri kufanya makosa na alisema yeye si malaika.
Bint ndo maana unahasira na nyerere ila na iman babako aliuwawa na sherhe k. Ila kwa chuki zako za kidin makosa yote unambebesha mwal kwa ukristo wake.Aliuliwa.
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?
Tujadili.

He has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?
And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?
Babake alikuwa jini kama mwanaye...Aliyemuua anastahili thawabuBint ndo maana unahasira na nyerere ila na iman babako aliuwawa na sherhe k. Ila kwa chuki zako za kidin makosa yote unambebesha mwal kwa ukristo wake.
Naona huna hoja bali unataka kulazimisha viroja.
Hebu jisomee hapa chini kidogo, halafu uniambie na huyu alikuwa anataka kuiona Tanzania ikiwa mwanachama wa nini?
Did people live in fear during the Nyerere era?
We experienced a very strange way of living because of the terror campaign with the security officers trained in the communist block. It was terrible. People did not trust anyone, even in the families. Wives would not trust their husbands and vice versa because it was a very severe terror campaign. People would disappear silently and no one would be allowed to think about them because if you are suspected to be thinking treason, then you also disappear. We lived under that repressive regime, I mean, all these years until this guy retired after the failure of Ujama, because we did not achieve all these things. We were made to think about things which were not there and believe they are there. To say otherwise was to say treason. This is the terror campaign which subdued us to the level of livestock, which always live in fear of slaughter anytime.
Source:
![]()
[TD="width: 7"] [/TD]
[TD="class: standard, width: 610"][/TD]![]()
[TD="class: standard, width: 610"] Opposition party leader criticizes the socialist policies of Julius Nyerere in Tanzania from the 1960s to the present. [/TD]
What was the purpose of the Ujama villages?
The objective of villagization, or operation VIGIGI as it was called, was to bring the people together so that Nyerere has direct control of the lives of every human being and that went alongside establishing the ten-cell leadership. All the homes in the country, in the villages, were grouped in groups of ten each. And then from the ten-cell leaders he would know who ate what, who has bought new clothes and they were made to explain where they got the money too because they were not allowed even to buy a bicycle. Whoever bought a bicycle would be noticeable to the headquarters of the government through the leadership, the strict, terrible leadership which was very suppressive in the villages. So the aim was not to bring development. Because with villagization, they were removed from their traditional homes where they had sufficient food for themselves, even for cash crops for earning their living, for educating their children. But they were removed from there by lashes and thrown into trucks; their homes set on fire, even the fields, so that there is nothing to attract them back again -- to go back. So it wasn't because of development that they were moved away from development to the wilderness, but so they would be grouped together for his direct control and oppression.
Source: Heaven on Earth . The Film: Reverend Christopher Mtikila Interview | PBS
Kumbe source yako ni Rev Christopher Mtikila??
Siku ingine unaweza kuleta maneno ya kichaa kutetea hisia zako.
Hiyo ni kweli anavyosema Zomba,kuna matatizo katika familia ya Nyerere ya watu kwenda in and out of mental hospitals. Lakini sidhani kama tatizo ni genetic,sidhani kama ni matatizo ya DNA. Sijui tatizo ni nini. Na kama hivi nimekuja Butiama kumpumzika siku chache, anything can happen kule Msasani.
Ulinzi pale Msasani wangekuwa more serious,wangeweka CCTV,photoelectric cells and such state of the art equipment.
Kama umeanza quote na huyu basi ni dalili kwamba sasa ni maji ya shingo! Najua mkuu yupo ktk ziara ya kikazi USA na Canada,pengine hii ni mbinu yako ya kukumbukwa angalau nawe upate chochote.
Muda wa mkuu kuwepo Ikulu unazidi kusonga,wakati nawe muda wa kustaafu umekaribia,matokeo ndiyo haya ya kujikomba kwa viji-thread visivyo na kichwa! Njaa inasumbua!
usitie dharau ya aina hii ndg! unapaswa kumshukuru Nyerere kwa uwezo wake mkubwa wa mawazo alio kuwa nao sasa wewe kama hujakurukupa au unatafuta sifa za kijinga unaweza tueleza wakati wa mwalimu kulipatia tu uhuru watanganyika toka kwa wakoloni ambao hawakutaka kuondoka hata kidogo wakaondoka bila kumwaga damu na akaweza kusaidia nchi nyingi za kusini mwa Afrika kupata uhuru kwa mawazo yake hayo madogo unayo yaita! wewe uliye huru kabisa umesaidia nini taifa hili au unafikiri wakoloni walimpa fursa kama unavyo subiri kupewa?