Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Yote tisa,kumi hili dubwana muungano pekee ni jinamizi tosha,nyerere sie.
 
Shida ya Nyerere ilikuwa background yake ya kutoka mkoa wa wanaopenda kupigana na kusomeshwa na watu wa Magharibi; Alipoteza muda na rasilimali zetu kwa kutuambia tanzania haiko huru hadi hapo Afrika yote itakapokuwa huru.

Lakini yaliyopita si ndwele tujadili habari ya madini yetu, mbao zetu, tembo wetu, na kung;oana kucha kunakotokea hivi sasa wakati Nyerere hayupo.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
Azimio la Arusha ndio misingi yenyewe.....sijui uliposema misingi ulikuwa unamaanisha kitu gani?
 
Shida ya Nyerere ilikuwa background yake ya kutoka mkoa wa wanaopenda kupigana na kusomeshwa na watu wa Magharibi; Alipoteza muda na rasilimali zetu kwa kutuambia tanzania haiko huru hadi hapo Afrika yote itakapokuwa huru.

Lakini yaliyopita si ndwele tujadili habari ya madini yetu, mbao zetu, tembo wetu, na kung;oana kucha kunakotokea hivi sasa wakati Nyerere hayupo.
Hivi unafikiri nchi zinazotunzunguka zisingekuwa kuwa huru....tungekuwa salama?
 
lakini tukubaliane kuwa nyerere hajatufikisha popote na kweli hakuwa na maono. ni kweli alijenga mshikamano wa kitaifa lakini kungine kote alikuwa anaendeshwa na emotions zaidi kul.iko kuangalia ahalisia wa mambo na dunia inakokwenda.
Una uhakika wa aslimia 100 kuwa nyerere hakutufikisha popote pale?
 
Kajifunze kuandika Kiingereza ndio uje nikuelewe una maanisha nini.

Huo ndio msingi uliowekwa na Nyerere. Hujuwi Kiingereza na nna uhakika hata Kiswahili hukijui.
hayo ni matatizo ya lugha....lakini hoja yake ya msingi haujajibu
 
How many people had access to right information?

Kulikuwa na magazeti mangapi? Yalikuwa yanamilikiwa na nani?

Usiposikia kitu haimaanishi kuwa hakipo, wake up...
What kind of right information are you talking about?
Na pia kwa nchi changa kama Tanganyika and then Tanzania ulitaka kuwe na vyombo vingapi vya habari?
Na umiliki wake ulitaka uwe kwa nani?
Remember that it was the time when he was building country solidarity.....unaweza ukalinganisha na nini kilifanyika na rais wa kwanza wa nchi kama china, Russia na hata marekani yenyewe
 
Binafsi sina hakika kama unamaanisha kile unachokitaka.
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
 
Nyerere alikuwa mtanzania kama wewe. Nchi hujengwa na wananchi ukiwemo wewe. Nyerere aliweka misingi liyoijua yeye. Kama misingi aliyoweka Nyerere haikuwa imara lete yako yako imara. Nchi haiwezi kujengwa kwa lawama bali kwa kazi na maarifa. Kama unayo wewe misingi imara lete tuipime ikifaa tuitumie lakini sidhani kama misingi ya mtu mmoja inatosha kujenga nchi. Hata kama mtu ataweka msingi wake imara kiasi gani, kama atakuja mjenzi mwingine ataanza kuibomoa kwa makusudi msingi huo hauwezi kuendelea kuwa imara. Miungoni mwa watu wanaoibomoa misingi aliyoiweka mwalimu waweza kuwa wewe kwa kuwa hata misingi imara aliyoiweka wewe huioni yawezekana hata misingi imara unayoisema huijui.

ni kweli alishindwa kuweka misingi imara hasa kwa kutaifisha shule za madhehebu ya Kikristo
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
 
Watu wanalalamika "Nyerere hakutuachia TV, yeye tu alitaka aangalie Ikulu"; leo kuna TV kila mahali na watoto wenu wanafaulu zaidi? Hivi mlitaka Nyerere awatengenezee nchi nyinyi mje kula na kulala tu? Mlitaka ajenge shule zote, vyuo vyote, hospitali zote, aondoe matatizo yote halafu nyinyi na watoto wenu mje kufanya nini? kudeka kulikopitiliza!

Katika moja ya hotuba za Mugabe alisema,wakati raisi wa awamu ya pili anaapiswa alikosa Mishahara ya wamishi wa umma, akatupiga tafu,sifa yake hakuwa anapendelea wala kuiba,familia yake inapato la wastani.
 
the words you quoted, they are in a present continuous tense stressing the permanent nature of the state of being! Kama hujui uliza!

mkuu, no need of using "has been died" there. Because "die" is an intransitive verb which cannot have a direct object. Ukweli ndio huo. Go back to your english class.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
Ukitaka kujua umuhimu wa Nyerere angalia hotuba zake zinavyokonga nyoyo za watanzania kuliko hotuba za viongozi walio hai hivi sasa.Angalia vile vipande vya wosia wa baba,
Hata hivyo huu mshikamano na amani ya tanzania tunayoisingizia ccm kwamba imeleta na kudumisha ni matunda ya mwalimu Nyerere ambaye alitoa elimu bure na kuwasomesha watanzania wote bila kujari dini zao au makabila yao.
Wasioona umuhimu wa mwalimu basi wajifunze kwamba aliondoa udini kwa kuwanyan'ganya dini zilizokuwa na shule ili dini wasizokuwa na shule nazo waumini wake wasome,Nadhani walau Faiza hilo unalijua.angalau mpongeze mwalimu kwa hilo kama mengine alikosea.Kupitia mfumo huo wa Mwalimu naona sasa una uwezo wa kuwakosoa wengine kwamba hawajui kiingereza naamini hayo nayo ni matunda ya mwalimu kupitia mpango wa UPE.
 
mkuu, no need of using "has been died" there. Because "die" is an intransitive verb which cannot have a direct object. Ukweli ndio huo. Go back to your english class.

Either you are being mischievous - which am inclined to believe - or you are not proving your mettle in this case though you would like people believing otherwise. Kindly read my response in this same thread to someone with your inclination, and hopefully you'll understand.
 
...you would like people believing otherwise...
Unless you are using Swanglish. You are missing a "to" in your sentence; ie: "...you would like people to believe otherwise..." Nasisitiza: tujifunze kujivunia lugha yetu ya Kiswahili. Ni lugha kubwa barani Africa, na ni kati ya lugha kubwa hapa Duniani. Mwalimu Nyerere atakumbukwa pia kwa juhudi zake za kukuza na kuenzi lugha ya Taifa!

cc: Ndoa
 
Ukitaka kujua umuhimu wa Nyerere angalia hotuba zake zinavyokonga nyoyo za watanzania kuliko hotuba za viongozi walio hai hivi sasa.Angalia vile vipande vya wosia wa baba,
Hata hivyo huu mshikamano na amani ya tanzania tunayoisingizia ccm kwamba imeleta na kudumisha ni matunda ya mwalimu Nyerere ambaye alitoa elimu bure na kuwasomesha watanzania wote bila kujari dini zao au makabila yao.
Wasioona umuhimu wa mwalimu basi wajifunze kwamba aliondoa udini kwa kuwanyan'ganya dini zilizokuwa na shule ili dini wasizokuwa na shule nazo waumini wake wasome,Nadhani walau Faiza hilo unalijua.angalau mpongeze mwalimu kwa hilo kama mengine alikosea.Kupitia mfumo huo wa Mwalimu naona sasa una uwezo wa kuwakosoa wengine kwamba hawajui kiingereza naamini hayo nayo ni matunda ya mwalimu kupitia mpango wa UPE.

Wasemaji wazuri huwa si watendaji wazuri. Kumbuka hilo.

Kuhusu kusomesha Watanzania "wote" bure. Hilo si kweli. Hivyo vyuo alivyowasomesha Watanzania "wote" bure viko wapi? au na hizo sekondari za kuwasomesha watanzania "wote" bure zilitoka wapi?

Kuhusu amani, hilo usilitaje, Nyerere hakuikuta hii nchi ikiwa katika machafuko, aliikuta ina amani ya asili. Zaidi tunaona kuwa baada ya yeye kuweka misingi mibovu ndio amani ikaanza kutoweka.
 
Nyerere alikuwa mtanzania kama wewe. Nchi hujengwa na wananchi ukiwemo wewe. Nyerere aliweka misingi liyoijua yeye. Kama misingi aliyoweka Nyerere haikuwa imara lete yako yako imara. Nchi haiwezi kujengwa kwa lawama bali kwa kazi na maarifa. Kama unayo wewe misingi imara lete tuipime ikifaa tuitumie lakini sidhani kama misingi ya mtu mmoja inatosha kujenga nchi. Hata kama mtu ataweka msingi wake imara kiasi gani, kama atakuja mjenzi mwingine ataanza kuibomoa kwa makusudi msingi huo hauwezi kuendelea kuwa imara. Miungoni mwa watu wanaoibomoa misingi aliyoiweka mwalimu waweza kuwa wewe kwa kuwa hata misingi imara aliyoiweka wewe huioni yawezekana hata misingi imara unayoisema huijui.

Wewe unaeiona tutajie ni ipi tuijadili.
 
Back
Top Bottom