Unless you are using Swanglish. You are missing a "to" in your sentence; ie: "...you would like people to believe otherwise..." Nasisitiza: tujifunze kujivunia lugha yetu ya Kiswahili. Ni lugha kubwa barani Africa, na ni kati ya lugha kubwa hapa Duniani. Mwalimu Nyerere atakumbukwa pia kwa juhudi zake za kukuza na kuenzi lugha ya Taifa!
cc: Ndoa
Katika moja ya hotuba za Mugabe alisema,wakati raisi wa awamu ya pili anaapiswa alikosa Mishahara ya wamishi wa umma, akatupiga tafu,sifa yake hakuwa anapendelea wala kuiba,familia yake inapato la wastani.
hapa sio darasani jadilini hoja msijekwazana bure.mkuu, no need of using "has been died" there. Because "die" is an intransitive verb which cannot have a direct object. Ukweli ndio huo. Go back to your english class.
Nyerere alikikuta Kiswahili tayari kinazungumzwa na yeye mwenyewe anakiri kuwa alipokuja Dar alikuwa Kiswahili hakijuwi vizuri.
Kukosa mishahara ya watumishi wa umma kwenye nchi iliyojaa kila aina ya utajiri ndio msingi mzuri huo?
Hujayaona mahekalu na vijiji vinavyomilikiwa kwa sasa na wanawe?
Nani alikosa mishahara na kwanini kama ilivyo ainishwa hapo chini? Je hilo linahitaji usimamizi wa mtangulizi? kama ndivyo nini nafasi ya rais wa pili na yepi majukum yake?
A) Nyerere
B) Mwinyi
Kwanza tuyajadili makosa ya kuweka msingi mbovu aliyotuwekea Nyerere akatufikisha kuwa masikini wa mwisho duniani. Tukiiyajadili hayo makosa tutapata ufumbuzi wa haraka kwa kujikamuwa. Naona Kikwete anajitahidi sana kusambaratisha msingi mbovu wa Nyerere na kisha amuwa kutuletea katiba mpya na kuachana na katiba ya Nyerere, ni hatua nzuri sana.
1. Maamuzi ya kiswali kukifanya kitumike nchi nzima na kama lugha ya Taifa nani aliyasimamia?
2. Unamaanisha kukikuta kinazungumzwa pwani ya afrika mashariki ilitosha kukifanya kujisambaza maeneo yote bila maamuzi wala usimamizi kimkakati?
Wakati unapoteza muda wa kujadili makosa dunia haikusubiri wewe; tayari makaosa yameshajulikana kinachotakiwa ni kurekebisha na kuweka misingi imara; Nyerere ameondoka madarakani zaidi ya miaka 30 wameshapatikana maraisi 3 tangu aondoke madarakani; unataka kusema hao waliokuja baada ya Nyerere hawakuwa na muda wa kujadili misingi hiyo? Mtoto kuwa mzushi haipendezi mh. Kikwete sio yeye anayebadili katiba ya Tanzania ni watanzania wenyewe ndio wanaobadili katiba; kama mh. raisi angekuwa na uwezo wa kubadili isngeundwa tume ambayo inapita nchi nzima kukusanya maoni kwa watanzania; usidanganye watu raisi hana uwezo wa kubadili katiba; Tanzania hatujawa masikini wa mwisho watanzania wanayofursa nyingi tu hatufanani hata kidogo na hao jirani zetu Kenya ambao kuna masikini wa kupindukia KIBERA ni moja ya slum kubwa duniani yaani unapoongelea slum zilizopo duniai Kibera haikosi nafasi ya 3 hiyo peke yake inakuonyesha jinsi Kenya kuna masikini! Nyerere aliliona hilo vijiji vilivyoanzishwa wakati wa Nyerere mpaka leo vipo na wananchi wanafurahia maisha yao. wewe mwenyewe ni moja ya matokeo ya siasa za Nyerere vinginevyo ungekuwa unauza vitumbua Kipata.
Nyerere, one of the continent's most vociferous supporters of a one-party state, never once subjected himself to a free and popular plebiscite; to call Nyerere a 'democrat', as some tributes have done, is a joke. The man was the most dictatorial, autocratic and intolerant on the continent. According to the South African commentator Simon Barber, the shortcomings of Nyerere's "dictatorship were ignored by whites in the west, especially Scandinavians, who believed that while colonialism had been a great evil, liberated blacks were nonetheless incorrigibly stupid and thus in need of firm control, not to mention a spot of detention, torture and arbitrary execution, by their own elite. Nyerere's rough stuff was off the sentimental radar of the folks who gave Archbishop Desmond Tutu his Nobel prize." (Business Day, October 27, 1999.)
Tafuta hotuba maarufu ya Mzee Mwinyi inayoitwa "mikuki miwili". Ukiipata tuwekee humu.
Jikumbushe: "A few days after Nyerere's burial, an international report confirmed that Tanzania was still one of the world's 25 poorest nations and the seventh most corrupt."

Tatizo kubwa ni kuwa huelewi kuwa misingi mibovu ndio iliyotufanya leo hii kuwa Taifa la mwisho katika Afrika Mashariki kielimu na pengine hata kiuchumi. Wewe unakazania vijiji vya ujamaa eti vipo. Vijiji ulitaka viende wapi? sasa jiulize huo ujamaa upo huko kwenye hivyo vijiji?
Ndio kwanza leo tunaona Kikwete akitujazia mashule ya Sekondari kedekede na vyuo vikuu kedekede. Nyerere hakuwa na muono kuwa elimu ndio msingi wa maendeleo?
Ndio maana nimekuwa nikiwaambia washabiki wa serikali tatu kuwa likipitishwa hilo tu inabidi tujiulize Nyerere tunamuenzi kwa kipi maana Ujamaa na Kujitegemea tulishaupungia mkono siku hizi tunajivunia misaada na ubepari. Ndio maana tunaona vyama vinavyoahidi mabadiliko vikipokea rundo la pesa toka Ujerumani za kuendesha shughuli zake. Nyerere alihamasisha vyama viendeshwe na michango ya wanachama.
Umoja wa kitaifa ndio kilichobaki ambacho kwa kuleta serikali tatu tunakuwa tumeshauvunja rasmi umoja huo.
Uongozi kwa maslahi ya Umma siku hizi unaonekana ni ushamba na ujinga, uongozi siku hizi ni kwa maslahi binafsi hata wagombea Urais wanaweka vigezo kuwa wahakikishiwe pesa iwapo watashindwa uchaguzi la sivyo hawashiriki!
Je, legacy gani ya Nyerere itabaki?