unamtukana bure dada yangu.tembelea jukwaa la historia uone mabaya ya huyu babu.nilitamani nilie jinsi alivyo mtesa hon.kambona. neema kambona atakuwa shaidi juu ya maovu alotendewa baba yake. angalia alivyo kosana na mtei,yuko wapi muadilifu jumbe na niambie yako wapi macho yake yaloondolewa pasipo idhini yake na mungu baba.yuko wapi yule mchumi muhaya, alitimuliwa kwa kumpa mwalimu plan za maendeleo, akaloea marekani hata mauti naam mauti ya ugenini. soma historia ya mwenge wa uhuru, mzee huyu ameikabidhi nchi kwa mazimu ya bagamoyo mapangoni. anamegi mabaya hata yeye anayajua tena ana yaita yakipumbavu.amepotosha historia ya mapinduzi, ona!hatujui hata maana ya muungano. ame...ame...amefanya mengi mazuri na mengi ya kipumbavu.kaimbisha watoto nyimbo za kumtukana kambona. amemfunga bibi titi na mengi,mengi siwezi kumaliza mungu amsamehe