Mimi nilifikiri ccm zamani TANU ndio wameshindwa kufuata misingi yao ! Kumbe kulikuwa na chama kingine kunachoitwa Nyerere! Shukrani kwa kunijuza
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?
Tujadili.
Nadhani umepoteza dhana halisi ya maisha yako, ya babu na babu wa bibi yako nadhalia asilia ya wapi ulikotoka na maendeleoa kiuchumi nk.
Je babu wa babu na babu yako alikuwa dini gani? uislam au ukristu umekuja hivi karibuni lakini babu zetu zama zile waliishi kwa imani zao na maisha yalienda.
Hebu tuambie kwanini hulalami kwamba
1. walikula matunda mabichi, mizizi na hawakuswali wala kutawaza nani aliweka misingi ya maisha yao? Nyerere?
2. kama walifanya makosa mbona FaizaFoxy umestaarabika na kumgeukia mtume? vipi hujabaki kulalama kwa wale wasiojuwa kutawaza wala kuenda misikitini?
Wewe mwanamke FaizaFoxy nimpumbavu unaendeshwa na kuwashwa na udini! chuki za kijinga
zisizo na base wala misingi yoyote zaidi ya unafiki na ufedhuli kufanya uchochezi watu waanze malumbano yasiyo natija.
Hawa jamaa uwa wanachekesha sana!! Wakiongelea mabaya ya Mwalimu, umfanya aonekane kama alikuwa siyo mwanachama wa CCM!! Wanamwongelea kama Mwalimu, lakini siyo mwanaCCM!! Wakiongelea mambo ya kuvutia (kwa mtazamo wao) ya serikali za CCM, wanamweka Mwalimu nje ya historia!!
Halafu tabia nyingine ni ya wao kusema serikali yao imefanya mambo mengi makubwa kuliko utawala wa Mwalimu!!!
Uwa nashindwa kuelewa!! Hawa jamaa wanamaanisha kulikuwa na chama cha siasa kiitwacho Nyerere? Ambacho wanataka kushindana nacho?
Ndio maana nimekuwa nikiwaambia washabiki wa serikali tatu kuwa likipitishwa hilo tu inabidi tujiulize Nyerere tunamuenzi kwa kipi maana Ujamaa na Kujitegemea tulishaupungia mkono siku hizi tunajivunia misaada na ubepari. Ndio maana tunaona vyama vinavyoahidi mabadiliko vikipokea rundo la pesa toka Ujerumani za kuendesha shughuli zake. Nyerere alihamasisha vyama viendeshwe na michango ya wanachama.
Umoja wa kitaifa ndio kilichobaki ambacho kwa kuleta serikali tatu tunakuwa tumeshauvunja rasmi umoja huo.
Uongozi kwa maslahi ya Umma siku hizi unaonekana ni ushamba na ujinga, uongozi siku hizi ni kwa maslahi binafsi hata wagombea Urais wanaweka vigezo kuwa wahakikishiwe pesa iwapo watashindwa uchaguzi la sivyo hawashiriki!
Je, legacy gani ya Nyerere itabaki?
Nadhani umepoteza dhana halisi ya maisha yako, ya babu na babu wa bibi yako nadhalia asilia ya wapi ulikotoka na maendeleoa kiuchumi nk.
Je babu wa babu na babu yako alikuwa dini gani? uislam au ukristu umekuja hivi karibuni lakini babu zetu zama zile waliishi kwa imani zao na maisha yalienda.
Hebu tuambie kwanini hulalami kwamba
1. walikula matunda mabichi, mizizi na hawakuswali wala kutawaza nani aliweka misingi ya maisha yao? Nyerere?
2. kama walifanya makosa mbona FaizaFoxy umestaarabika na kumgeukia mtume? vipi hujabaki kulalama kwa wale wasiojuwa kutawaza wala kuenda misikitini?
Wewe mwanamke FaizaFoxy nimpumbavu unaendeshwa na kuwashwa na udini! chuki za kijinga
zisizo na base wala misingi yoyote zaidi ya unafiki na ufedhuli kufanya uchochezi watu waanze malumbano yasiyo natija.
kuna kitu nimejifunza hivi karibuni harafu nimekikubali sana kwamba raia wa kawaida hajali nani anatawawala ikulu anachojali ni mkate uwpo mezani. je nyerere alihakikisha kwamba hata yeye akiondoka madarakani watanzania wanapata mkate kama kawaida?. hapana aliweka maZingira kwamba mwinyi akija nae atumie utashi wake. hakuweka misingi imara na thabiti ambayo kama nchi tulitakiwa kufuata kama waLIvyfofanya china. ni kana kwamba alijua atatawala milele hivyo hakuandaa watu wa kuendeleza mawazo yake ambayo from my heart nakubali yalikuwa mazuri kwa nchi maskini kama yetu (nchi maskini zinafaa ujamaa lakini tajiri inafaa ubepari
). halarafu mkuu usifurahie elimu ya bure maana mara nyingi inakuwa sio bora vyuo vyote ambavyo viko kwenye ivy league ni binafsi, ni nyerere aliekuwa na mawazo mgando kwamba tutapata elimu bora bure!, hayo sio maono.
e
He has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?
And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?
akili hawana na ndo kitakachowamaliza kila mtu anamtumikia bwana wake ndani ya CCMUmeona jinsi wanavyo kingana na Zemarcopolo....Utafikiri wao si timu moja...
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?
Tujadili.
Tumjadili kikwete ndo yuko madarakani kwa sasa. Kwanini tumjadili marehemu? Sababu zako ni finyu sana.
wakati tunapata uhuru tulikuwa na madaktar 12 na wahandisi 3 tu hakuna graduates katika sekta nyingine. hata mahakimu wengi walitoka nigeria, hakuna mtaalamu wa kilimo. wakati anaondoka madarakani wataalamu kibao aliacha, nilishuhudia maktaba zenye vitabu vya hali ya juu vijijini huko tarime wakati nakua. hii nchi ilianzishwa vyuo vya fani ambavyo hata Africa havipo hadi sasa. mfano wanyama pori Mwika, military academy Monduli, rural medical colleges. kuna wakati hii nchi iliongoza Africa kwa kuwa na mtandao mpana wa bara bara hadi vijijini japo nyingi za vumbi. mashujaa wengi wa Africa hata hao akina Kagame wanaotuhangaisha leo wamesoma Tanzania. sijui ni misingi gani mnataka? UPUMBAVU WETU KUSHINDWA KUJENGA JUU YA ALIPOISHIA NA KUJIFANYA TUNAANZA UPYA KILOA WAKATI NDIO MAANA HATUSOGEI. yeye mwenyewe alisema TUNAACHA MEMA NA KUCHAGUA MABAYA. nakumbuka kiwanda cha nguo MUTEX kilifungwa mitambo ya kutengeneza jeans miaka ya 80 lakini leo kimekufa kabla mitambo haijafanya kazi. hakuna kama NYerere an intellectual in power, the statesman.lakini tukubaliane kuwa nyerere hajatufikisha popote na kweli hakuwa na maono. ni kweli alijenga mshikamano wa kitaifa lakini kungine kote alikuwa anaendeshwa na emotions zaidi kul.iko kuangalia ahalisia wa mambo na dunia inakokwenda.
unamtukana bure dada yangu.tembelea jukwaa la historia uone mabaya ya huyu babu.nilitamani nilie jinsi alivyo mtesa hon.kambona. neema kambona atakuwa shaidi juu ya maovu alotendewa baba yake. angalia alivyo kosana na mtei,yuko wapi muadilifu jumbe na niambie yako wapi macho yake yaloondolewa pasipo idhini yake na mungu baba.yuko wapi yule mchumi muhaya, alitimuliwa kwa kumpa mwalimu plan za maendeleo, akaloea marekani hata mauti naam mauti ya ugenini. soma historia ya mwenge wa uhuru, mzee huyu ameikabidhi nchi kwa mazimu ya bagamoyo mapangoni. anamegi mabaya hata yeye anayajua tena ana yaita yakipumbavu.amepotosha historia ya mapinduzi, ona!hatujui hata maana ya muungano. ame...ame...amefanya mengi mazuri na mengi ya kipumbavu.kaimbisha watoto nyimbo za kumtukana kambona. amemfunga bibi titi na mengi,mengi siwezi kumaliza mungu amsameheNadhani umepoteza dhana halisi ya maisha yako, ya babu na babu wa bibi yako nadhalia asilia ya wapi ulikotoka na maendeleoa kiuchumi nk.
Je babu wa babu na babu yako alikuwa dini gani? uislam au ukristu umekuja hivi karibuni lakini babu zetu zama zile waliishi kwa imani zao na maisha yalienda.
Hebu tuambie kwanini hulalami kwamba
1. walikula matunda mabichi, mizizi na hawakuswali wala kutawaza nani aliweka misingi ya maisha yao? Nyerere?
2. kama walifanya makosa mbona FaizaFoxy umestaarabika na kumgeukia mtume? vipi hujabaki kulalama kwa wale wasiojuwa kutawaza wala kuenda misikitini?
Wewe mwanamke FaizaFoxy nimpumbavu unaendeshwa na kuwashwa na udini! chuki za kijinga
zisizo na base wala misingi yoyote zaidi ya unafiki na ufedhuli kufanya uchochezi watu waanze malumbano yasiyo natija.
How many people had access to right information?
Kulikuwa na magazeti mangapi? Yalikuwa yanamilikiwa na nani?
Usiposikia kitu haimaanishi kuwa hakipo, wake up...