[SUP]1[/SUP]Huyo ndio nani?..mm sinmjuiNchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage[SUP]1[/SUP] Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni?[SUP]2[/SUP] alikuwa hana muono?
Tujadili.
[SUP]2[/SUP]Hiyo ni sentensi au swali?