Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

ujielewi wewe umiri wako na akilii zako ni vitu viwili tofauti ni mjubwa kuliko wte na ndo unakili ndogo kuliko wote kwenu ww
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
 
Hilo ni kosa kubwa sana kati ya makosa yaliyowahi kufanywa na kiongozi wa nchi. Usilitaje wala usilikumbushe.

Mmerekebisha hilo kosa? Kama jibu ni ndiyo, mmerekebisha na nini? Kama ni hapana, kwanini?
 
Ndio maana nimekuwa nikiwaambia washabiki wa serikali tatu kuwa likipitishwa hilo tu inabidi tujiulize Nyerere tunamuenzi kwa kipi maana Ujamaa na Kujitegemea tulishaupungia mkono siku hizi tunajivunia misaada na ubepari. Ndio maana tunaona vyama vinavyoahidi mabadiliko vikipokea rundo la pesa toka Ujerumani za kuendesha shughuli zake. Nyerere alihamasisha vyama viendeshwe na michango ya wanachama.

Umoja wa kitaifa ndio kilichobaki ambacho kwa kuleta serikali tatu tunakuwa tumeshauvunja rasmi umoja huo.

Uongozi kwa maslahi ya Umma siku hizi unaonekana ni ushamba na ujinga, uongozi siku hizi ni kwa maslahi binafsi hata wagombea Urais wanaweka vigezo kuwa wahakikishiwe pesa iwapo watashindwa uchaguzi la sivyo hawashiriki!

Je, legacy gani ya Nyerere itabaki?

Kwi kwi kwi kwi...Hakya Mungu wewe CDM itakufanya kuwa kichaa....Mbona hujamjibu shosti yako FaizaFoxy.....

Vipi upo upande upi..
 
Unapotaka kufananisha mtu aliyekaa madarakani miaka 23 na aliyekaa miaka 8 unaonyesha ukosefu wa upeo, lakini hata utakapoamua kufanya hivyo kwa kutumia vitu vinavyopimika utaona aibu mwenyewe.

Mwalimu hayupo, lakini maadui zake bado wameendelea kumshambulia. Sasa hivi maadui wa Mwalimu wanataka kuleta serikali tatu ili kuangusha nguzo ya mwisho ya legacy yake. Sijui watu hawa wananufaika vipi na chuki waliyo nayo kwa Mwalimu!

Vipi FaizaFoxy ni rafiki ya Mwalimu....Timu Lumumba mbona mnachanganyana...Kajipangeni upya au Faiza sio timu Lumumba....?
 
mwacheni huyo mzee apumzike na kwa amani RIP JK NYERERE.
 
Duh lumumba mna kazi huku mnashindana na ukristo kule chadema mara BRN hv mtakuwa wamoja kweli?? kinachokusumbua ni ujuha wa akili.yako isiyokuwa na uwezo wa kupembua mambo mnaleta hoja za akina nyerere ili kuonesha hamjashindwa?? haya tumekuelewa sema lingine nisalimie nape

Umeona jinsi wanavyo kingana na Zemarcopolo....Utafikiri wao si timu moja...
 
Vyema sana....

Tatizo si lipo kwenye msingi?!? Sasa ili kuondoa tatizo, inatupasa kubomoa nyumba nzima kabisa, ili tuanze upya. Tuweke msingi mpya, utakaokuwa imara kwa miaka 200 ijayo.

Heko kwa kufikiria kwa upana.

Cc: ZeMarcopolo

Gharama ya kubomoa mtaiweza? Ni bora tukae kwenye nyumba yetu ya urithi ya udongo kuliko kubomoa bila kuwa na uhakika wa gharama ya kujenga mpya.
 
Naona Faiza Foxy anachuki binafsi na Nyerere.Sikiliza hakuna taifa lolote lisilo na baba yake wa Taifa.Pamoja na matatizo yake, leo hii ukiitaja Tanzania utamtaja tu Nyerere.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
hivi baba akiwa wa familia akiwa hovyo ndio familia iangamie ,je kwenye jamii mnayoishi baba akiharibu ndio baaaaasi familia imeharibika wamepita maraisi wa3 na wametawala miaka mingi kuliko nyerere mbona hawajarekebisha .wacheni kumlaumu nyerere ujinga wenu wa tanzania ndio umewafikisha hapa mlipo mnasoma nakusomeshwa mnaishia no implementation mnabaki kuringishia Dr,Phd na blabla nyingi
 
Nyerere alichofanya ilikuwa kuipatia nchi uhuru wa watanzania kujiongoza. Kwakuwa Elimu ya watanzania ilikuwa tatizo kwa wakati ule hakukuwa na njia nyingine zaidi ya alichokifanya Nyerere.
Lakini kwa bahati mbaya sana CCM na Serikali yake wanaendelea kutumia mfumo ule ule pamoja na kwamba mabadiliko ya kifikra na kielimu ya watanzania ni tofauti na wakati ule.

Tuache kulalamika, tuna kazi moja mbele yetu ya kumwondoa Mkoloni CCM.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.

Muhamad naye alishindwa kuweka misingi mizuri na kuwaacha na roho ya chuki na ugaidi.

Nyerere ni Ccm na wewe ni Ccm wote nyinyi ni loser. Mphwèeeeeeeew.
 
Huu udini huwa nausikiaga misikitini.

Na kwa vile wengi wenu ni ngumbalu wenye elimu ya chuo, huwa mnabeba ujinga ka ulivyo.
 
Hilo ni kosa kubwa sana kati ya makosa yaliyowahi kufanywa na kiongozi wa nchi. Usilitaje wala usilikumbushe.
Azimio la Arusha lilikuwa na ubaya gani?hapa naona kama kuna vimelea vya chuki!
 
He has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?

And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?

Mkuu Mtoboasiri hii post imetosha kabisa nikiongezea nitachafua.LIKE
 
Last edited by a moderator:
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.

Uliongea ni sawia kabisa. Ingawa najua wengi watakuita mdini na hata kufikia kukwambia unamchukia Nyerere.

lakin ulichosema ni kweli kabisa. Kosa kubwa la Nyerere kwa nchi yenu ni kuwa :
1. Alidharau kitu kinachitwa professionals. Alithamini na kuiweka juu siasa.
2. Alipenda kusifiwa na nchi za nje kisiasa na kuuwa uchumi wa nchi yake.
3. Kwa tuliobahatika kufanya nae kazi kwa muda mfupi tunasema alikuwa anajua kila kitu na alikuwa anapenda sana aogopwe na mtu aliyemwambia ukweli alikuwa ni adui yake.

Aliijenga Tz kuwa nchi tajiri sana kisiasa na masikini wa kutupwa kiuchumi.

Bila kuyaona hayo na kuyafanyia kazi Tz hata mfanye nini hamtaweza kuendelea.
 
he has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?

And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?

sikubaliani na wewe.hapa ndipo watanzania wanapotea maboya.usipojua chanzo cha ugonjwa kamwe huwezi kuutibu!!!!hakika utakufa tu.huwezi kamwe kumtenganisha nyerere na matatizo ya nchi hii.ukoo wa panya ulitengezwa na nani???tuwe wakweli jamani.mficha uchi hazai.alikuwa na kawaida ya kusema :CCM INA WENYEWE.HAWA "WENYEWE" NI AKINA NANI???tafakari.

akili ndogo ni tatizo sana.
Namnukuu
"tatizo lenu mnachukua mambo yasiyo ya msingi na kuacha mambo ya msingi"
WAPI AZIMIO LA ARUSHA?-mwinyi aliliu
WAPI MASHIRIKA YA UMA?- mkapa aliuza kila kitu.
WAPI HIFADHI YA MALIASRI?-kikwete anauza kila kitu kwa fujo.

KAtika wote hao...Huyo hapo ndo hatari kabisa...Ameharibu hii nchi kabisa...
 
Naona Faiza Foxy anachuki binafsi na Nyerere.Sikiliza hakuna taifa lolote lisilo na baba yake wa Taifa.Pamoja na matatizo yake, leo hii ukiitaja Tanzania utamtaja tu Nyerere.
Analeta chuki zake za kwenye vijiwe vya kahawa!
 
Back
Top Bottom