Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Hongereni sana nyote mlionaaccess ya nyaraka hizi maana sasa mmfenya macho yetu yaone.Muda wa ukombozi umefika.
Mkuu Mbona tumsikia hao kwenye wekundu ni NUSU ya bei ya hawa CCCC, hebu msihukumu kabla ya kujua mambo, iletwe proposal ya hao China Merchants nadhani ndio tutajua mbichi na mbivu, hivi hivi tutakuwa tunasema jambo tusilolijua.
Katika documents zote hizi, nimeshangazwa na vitu vingi lakini kikubwa ni kimoja tu kinachosema;
Hapa ni dhahiri waziri Nundu alikuwa anataka kufaidika moja kwa moja na uwekezaji wa CMHI kwahiyo akaamua kuzungumza na hawa wachina wa CMHI peke yake bila kuwashirikisha wenzake serikalini, wizarani kwake na wizara ya fedha. Kama TICTS kuongezewa mkataba toka miaka 15 hadi 25 hatukubaliani na huo mkataba, Nundu anapata wapi guts za kuingia mkataba wa miaka 45 na wachina hawa?
Kwa ufupi tu ni kwamba hapa Nundu hawezi kupata pa kutokea pamoja na kumtupia mpira Naibu wake Mfutakamba. Kama wizara ya fedha na Bandari walikuwa wanafanya mawasiliano na Exim Bank kwa ajili ya kupata fedha za ujenzi wa gati hizo mbili, ilikuwaje waziri Nundu anafanya mawasiliano na CMHI bila kuwashirikisha wizara ya fedha??
Sasa nimefahamu kwanini waziri Nundu alikuwa anapingana na ushauri wa kamati ya POAC juu ya mawaziri kuyasimamia mashirika ya umma kwa utaratibu wa Eyes on Hands off!!
Endeleeni kumwaga nondo na mimi kesho nakuja na zangu!. Jee nani anajua hao CCCC walipatikanaje?. Jee kuna tenda yoyote ilitangazwa?!. Jee walijuaje TZ tunataka kupanua bandari?. Jee nani aliwapa kibali cha kufanya feasibility study?. Wangapi mnajua kuwa good practice ni feasibility study kufanywa na mwingine, funding kutafutwa kwa mwingine, construction company iwe nyingine na consultants ni wengine for checks and balance!. Jee ni wangapi mnajua feasibility study wanefanya hao CCCC, consultants ni wao wao CCCC wakaja na hiyo figure ya dola milioni 500 plus bila any independent verification na mkopo wakaomba hao hao CCCC kutoka Exim Bank?. Why?. Tangu lini unaomba mkopo alafu banker anakulazimisha usipofanya kazi na CCCC no mkopo!.
Mbona Mombasa wamejenga kwa 200 why sisi tujenge kwa 600?!.
Hivi mnajua kiburi na jeuri ya Mfutakamba inatoka wapi?. Mnamjua nani anampa ruhusa kwenda kuhongwa huko nje huku akimby pass boss wake?!. Nnajua aliandika recomendation ya kuifagilia CCCC na kuisubmit wapi bila kumuonyesha waziri?. Amini nawaambieni hao CCCC ni yule yule RA!. Kama Richmond tuu ila this time sio US ni China!. Hivi mnanuamini Serukamba?!. Mnaamini ni yeye ndie aliyeomba kuwa M/Kiti wa Kamati ile?. No amewekwa kama alivyo pewa ubunge!. Yeye ni remote tuu ya RA!.
Endeleeni kumwaga mboga kesho na sisi tunamwaga ugali wakose wote!. Kusema ukweli napandwa na hasira sana mpaka natamani nchi hii tungekuwa kama China, mafisadi wana kula bullets soonest possible na kusahaulika!.
Mchukua Nundu na Mfutakamba uwapime nani fisadi na nani sio!. Tatizo la ufisadi ni kubwa kuliko nilivyodhania maana mpaka humu jf vibaraka wao, wametamalaki sana!.
Mungu Ibariki Tanzania!. Nawahakikishia kama 2015 Watanzania wataamua kufanya kweli, kuna wenzetu humu humu watatafuta pa kutokea maana kwao pia ni kilio na kusaga meno!.
Mkuu Kobelo, kwenye mikataba kuna mikataba inaitwa void na voidable, mkataba ukishakuwa void unaitwa "void ab initio" wakimaanisha hakuna mkataba hivyo kila mtu inakula kwake!.
Tatizo hapa ni hawa CCCC walikujaje mpaka kupata hiyo MOU?. Ikumbukwe MOU sio contract!.
Akina Mangungo wa Msowero bado wapo na hawaishi Tanzania. Lazima Huu mkataba uondoke na mtu.Sijapenda habari za kutoa bandari rehani kwa miaka 45.
By Pasco![]()
![]()
Endeleeni kumwaga nondo na mimi kesho nakuja na zangu!. Jee nani anajua hao CCCC walipatikanaje?. Jee kuna tenda yoyote ilitangazwa?!. Jee walijuaje TZ tunataka kupanua bandari?. Jee nani aliwapa kibali cha kufanya feasibility study?. Wangapi mnajua kuwa good practice ni feasibility study kufanywa na mwingine, funding kutafutwa kwa mwingine, construction company iwe nyingine na consultants ni wengine for checks and balance!. Jee ni wangapi mnajua feasibility study wanefanya hao CCCC, consultants ni wao wao CCCC wakaja na hiyo figure ya dola milioni 500 plus bila any independent verification na mkopo wakaomba hao hao CCCC kutoka Exim Bank?. Why?. Tangu lini unaomba mkopo alafu banker anakulazimisha usipofanya kazi na CCCC no mkopo!.
Mbona Mombasa wamejenga kwa 200 why sisi tujenge kwa 600?!.
Hivi mnajua kiburi na jeuri ya Mfutakamba inatoka wapi?. Mnamjua nani anampa ruhusa kwenda kuhongwa huko nje huku akimby pass boss wake?!. Nnajua aliandika recomendation ya kuifagilia CCCC na kuisubmit wapi bila kumuonyesha waziri?. Amini nawaambieni hao CCCC ni yule yule RA!. Kama Richmond tuu ila this time sio US ni China!. Hivi mnanuamini Serukamba?!. Mnaamini ni yeye ndie aliyeomba kuwa M/Kiti wa Kamati ile?. No amewekwa kama alivyo pewa ubunge!. Yeye ni remote tuu ya RA!.
Endeleeni kumwaga mboga kesho na sisi tunamwaga ugali wakose wote!. Kusema ukweli napandwa na hasira sana mpaka natamani nchi hii tungekuwa kama China, mafisadi wana kula bullets soonest possible na kusahaulika!.
Mchukua Nundu na Mfutakamba uwapime nani fisadi na nani sio!. Tatizo la ufisadi ni kubwa kuliko nilivyodhania maana mpaka humu jf vibaraka wao, wametamalaki sana!.
Mungu Ibariki Tanzania!. Nawahakikishia kama 2015 Watanzania wataamua kufanya kweli, kuna wenzetu humu humu watatafuta pa kutokea maana kwao pia ni kilio na kusaga meno!.
Kuna vitu nilikuwa sitaki kuzungumza humu: Kwanza nikufahamishe kwamba mimi nimesoma Uingereza na nimekaa huko zaidi ya miaka saba, nimefanya kazi na Wachina zaidi ya miaka kumi na ushee kwa hiyo najua Modus Operandi ya Wachina wa siku hizi, la tatu Mh.Nundu anijuhi na wala sijawahi kukutana naye; mambo mengine hayaitaji kusomea mambo ya sayansi ya roketi kutambua ni akina nani wanao pania kunufaika na mradi huu mzima by hooks and crooks wana inflate thamani ya mradi husika wanafikili hatuna akili.
Analytical mind ya kawaida tu inakudhilihishia wazi ni nani ana Uzalendo wa kweli kati ya Mh.Nundu na group lililo mkalia kooni kwa kutaka kichwa chake - hivi mzalendo wa kweli anaweza kuafiki mkataba ambao huko open ended bila kuwa na check and balance, mpaka Dogo Mnyika alipo nusuru jahazi na Mh. Nundu kuhafikiana naye, unataka kutueleza kamati hilo walikuwa awalioni!!!!!! Alafu muadishi wa post hii amekasirika as if naye anafanya kazi wizarani-WHY?
China kuna makampuni lukuki ambayo ni mahili katika mambo ya ujenzi, why pick CCCC; kampuni ambayo inazunguka zunguka tu hapa Tanzaini kufanya lobbing na ku-exploit weakness za wazalendo wasiokuwa na uaminifu - kwa nini awakai kwao wakasubiri atima ya tenda yao, some Chines are very cunning; waulize TTCL ilivyo ingizwa mkenge kwa kushikizwa na Wachina kwenda mfumo wa CDMA wakati makampuni yote ya simu nchini ni GSM.
Mwisho nataka kuwaelezeni kwamba ni mara chache ma-injinia kujihingiza katika mambo ya ajabu ajabu-wao wanalidhia kuona projects zao zina take off na kukamilika na kuona zinafanya kazi kama walivyo kuwa wanafikilia, mambo ya pesa na hujuma ni secondary kwao. Mimi namuomba Mh.JK ampe rungu Mh.Nundu a-deal na watu hawa kwa nguvu zake zote bila kuogopa mtu yeyeyote-Watanzania wengine wamekubuhu katika kufanya mambo ya fitina, uzushi na kuaribiana sifa na hii ndiyo inayofanyika katika Wazari hii, Waziri asipokuwa makini anaweza kuyumbishwa sana - chain of command aziheshimiwi hata kidogo.
Mh Nundu futilia mbali mambo ambayo unayaona hajakaa sawa na umuombe mweshimiwa Raisi afanye mabadiriko makubwa kwenye Wizara hii nyeti, asihishie hapo hata TPA wanapashwa kushughulikiwa. Nataka nimkumbushe Mh.Nundu kwamba wewe ndiye umepewa dhamana ya ku-run Wizara kwa hiyo don't you be wobbly au kuwa-controlled remotely, historia ndiyo itakuhukumu. Just read between the lines kwa huyu anayenipinga humu ndiyo utajua unakazi ya ziada-wamejipanga kweli kweli. Mungu akulinde.