Mkuu Tamuchungu,
Nakubaliana na wewe. Tuna ugonjwa mmoja waTanzania, kuhukumu kwa kutumia mahakama ya magazeti. Watu hawataki kusikia kitu kingine zaidi ya waziri kujiuzulu. Hatuwezi kutumia mass ku-determine haki ya mtu. Waziri Nundu ni msafi,nimejiridhisha hivyo. Maelezo yake yamethibiti hivyo,ushahidi unaonesha hivyo. Kwa nini mnataka kuaminisha kila mtu ku-rely kwenye taarifa za magazetini na wanasiasa uchwara,wasioweza kujenga hoja juu ya misingi ya haki na uadilifu kuliko maelezo ya mtu tunayemtuhumu?. Hakuna mantiki ya Waziri Nundu kujiuzulu, hana kosa la kumfanya ajiuzulu. Wengine siwezi kuwasemea. Haki lazima ifuatwe hata kama anayepewa hatumpendi.