NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

Hapa mi ndo huwanabakiaga hoi. Hebu angalia hayo majina ya walopewa kopi ya barua, yaani CC, Mh Nundu hapo kapigwa chenga ya mwili, na kama kujua hilo dili basi ni kwa ridhaa tu ya KM wake ili hali yeye ndo msimamizi mkuu wa day to day operations of his ministry!
 
Nundu ***** kweli. Kaona kimewaka ndo anakurupukia kwenye vyombo vya habari. Mbona hiyo barua ya kwanza inaonyesha alikuwa anajua kila kinachoendelea. Kaona dili lake na CMHI limekatwa juu kwa juu na CCCC ndo inamuuma. Kimsingi wote wawili na KM wao hawafai
 
Conclusion utaipata ukisha-download nyaraka hizi, hatutamwaga mtama kwenye kuku wengi
Hii barua ni wazi kabisa kwamba ni ya kufoji ili kuendelea kumchafua Waziri Nundu. Sababu za kusema hivyo ni kama ifuatavyo:

1) kule Bungeni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge amesema Waziri amesaini MoU, hapa kwenye barua hii sasa story imebadilika kwamba ali witness kusaini Mkataba. Ukweli ni upi

2) barua yenyewe ukiicheki inaonekana mchongaji wake, alikuwa na haraka hata ilivyokuwa adressed, ndivyo, sivyo

3) tarehe ya barua yenyewe 22 Feb, wakati kamati ya bunge inasema Nundu alikutana nao mwezi machi...sasa inakuwaje barua inaandikwa kabla ya tukio lenyewe?
 
If I were the president, Nundu angekuwa ameshafukuzwa kuanzi jana, kwa sababu he has a duty to report. yeye kwa sasa alikuwa anapigana vita ambavyo mwisho wake ameonekana bogus. Alikuwa wapi kuriport hayo?

wote na naibu wake, they need to go. ni kwa sababu tu tunaongozwa na kichwa cha nazi nod maana yote haya yanatokea.
 
Hizi barua hazimsafishi Nundu bali inaonyesha kuwa alikuwa ana kaurafiki haramu na hii kampuni ya China Merchants Holdings nje ya njia zinazokubalika yaani kiofisi maana hawa wanaonekana hawafuati njia sahihi zinazotakiwa kufuatwa na kampuni bali wanatumia kiongozi mla rushwa/mlafi kama Omar Nundu kuipiga bao kampuni ya China Communications construction Ltd ambayo tayari proposal yake imekubalika na imeshapata fedha toka Exim Bank China! Sasa sijui ni punda gani anaweza kuacha mradi ulioiva namna hiyo wa China Cummunications Construction Ltd akaenda kwa huu wa China Merchants Holdings ambao haujasema ni kiasi gani ita-finance huo mradi na kwa riba kiasi gani! hapa simply hii barua inaonyesha jinsi mawaziri wetu vilaza walivyo tayari ku-take risky decisions na ku-subotage miradi mikubwa ya maendeleo ili mradi tu wamehakikishiwa kushibishwa matumbo yao na miradi fake inayokosa transparency bali kupitia kwa vimemo viinavyoweza kui-cost nchi kama mikataba ya umeme ta Tanesco! Omar Nundu lazma ajiuzulu manina.....!


Mkuu Mbona tumsikia hao kwenye wekundu ni NUSU ya bei ya hawa CCCC, hebu msihukumu kabla ya kujua mambo, iletwe proposal ya hao China Merchants nadhani ndio tutajua mbichi na mbivu, hivi hivi tutakuwa tunasema jambo tusilolijua.
 
Hii barua ni wazi kabisa kwamba ni ya kufoji ili kuendelea kumchafua Waziri Nundu. Sababu za kusema hivyo ni kama ifuatavyo:

1) kule Bungeni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge amesema Waziri amesaini MoU, hapa kwenye barua hii sasa story imebadilika kwamba ali witness kusaini Mkataba. Ukweli ni upi

2) barua yenyewe ukiicheki inaonekana mchongaji wake, alikuwa na haraka hata ilivyokuwa adressed, ndivyo, sivyo

3) tarehe ya barua yenyewe 22 Feb, wakati kamati ya bunge inasema Nundu alikutana nao mwezi machi...sasa inakuwaje barua inaandikwa kabla ya tukio lenyewe?

Nundu aondoke kwa failure to reprot about these letter. Hafai kwenye wakati kama huu wa uwajibikaji, Hafai!!!!!
 
TAARIFA


taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika.na Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'
 
We soma nyaraka uelewe, hapa hakuna cha magazeti, Nundu ndiye anataka kutumia magazeti kujinusuru. Ameshindwa kujitetea katika Bunge, na Kamatu ya Bunge, ameshindwa kuongoza Wizara hadi anatofautiana na Bodi za mashirika yake, ameshindwa hata kujieleza anaanza kutuhumu kiila mtu! Huyo Nundu hafai anajikanyaga tu! Soma kwa makini utaona

Tina,

Hawa ndio watanzania, wamesoma heading tu, na kwa bahati mbaya invisible kaiweka heading kimtego kisha akawataka kila mtu adownload na kuhitimisha mwenyewe. Wengine wameshindwa kuiona document ya kudownload sasa wameishia kushupaa hapa eti kuna watu wana chuki dhidi ya Nundu.

Kama ni chuki kwa ajili ya yeye kutaka kutumia mashirika yetu ya umma, kutumia ofisi yetu ya umma(wizara ya uchukuzi) kujinufaisha binafsi, let it be so!!

Kiufupi kujisomea kwa watanzania wengi ni janga, na bahati mbaya sana documents nyingi zimeandikwa kwa lugha ya malkia, sishangai watu kutoelewa kilichoandikwa kwenye documents hizo, labda wanahitaji kutafsiriwa.

Hawa maGT wamenikumbusha hii kitu- "my professional is politician, my daily bread is engineering"!!
 
Hii barua ni wazi kabisa kwamba ni ya kufoji ili kuendelea kumchafua Waziri Nundu. Sababu za kusema hivyo ni kama ifuatavyo:

1) kule Bungeni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge amesema Waziri amesaini MoU, hapa kwenye barua hii sasa story imebadilika kwamba ali witness kusaini Mkataba. Ukweli ni upi

2) barua yenyewe ukiicheki inaonekana mchongaji wake, alikuwa na haraka hata ilivyokuwa adressed, ndivyo, sivyo

3) tarehe ya barua yenyewe 22 Feb, wakati kamati ya bunge inasema Nundu alikutana nao mwezi machi...sasa inakuwaje barua inaandikwa kabla ya tukio lenyewe?

Kwa viwango vyovyote vile ni wazi kuna triangle ya uchafu kati ya wizara ya Nundu, wizara ya Mkulo na TPA.
Hata sioni kwa nini tujadili nani msafi wakati ukweli upo kwenye makaratasi hayo.

Nundu anamtuhumu naibu wake hadharani, je amepata kupeleka tuhuma hizo kwa JK??
Kama hajapeleka kwa nini hajafanya hivyo???
Na kama amepeleka je hajaridhika na hatua zilizochukuliwa na JK???
Kama hajaridhika na hatua alizochukua JK, kwa nini bado ameshikilia uwaziri badala ya kujiudhuru???

This is just an ice-breaker, utamu bado unakuja.........
 
Mkuu Mbona tumsikia hao kwenye wekundu ni NUSU ya bei ya hawa CCCC, hebu msihukumu kabla ya kujua mambo, iletwe proposal ya hao China Merchants nadhani ndio tutajua mbichi na mbivu, hivi hivi tutakuwa tunasema jambo tusilolijua.

Hizo ni mbinu za Nundu kutaka washirika wake CMHI wapate ulaji na vile vile ni mbinu ya kutaka kujiepusha na kitanzi.

Kama unaamini maneno ya Nundu kwamba hawa CMHI wangewekeza kwa nusu ya gharama za CCC, tuwekee ushahidi(document) kuonyesha hicho kiwango anachosema Nundu.

Na kama Nundu alikuwa mzalendo, baada ya kupata barua ya wachina wake kwamba wizara ya fedha inashirikiana na wachina wengine katika mradi huo huo, alichukua hatua gani? kuwasiliana na wizara ya fedha!? Kama kweli aligundua kwamba naibu wake amemzunguka alimripoti kwa mkubwa wao? au amesubiri uozo wake umeanikwa ndipo anakuja kujipapatua? katika hili Nundu hatoki hata afanye nini.
 
TANESCO wakaamriwa kuikubali RICHMOND. Hatukujifunza lolote pamoja na kuvunjwa Baraza la Mawaziri! TPA inaamriwa kuwapokea CCCC au hao Merchants. Nilidhani kwa sheria inayoanzisha haya mashirika ya UMMA yanafanya kazi zake kwa uhuru kwa kutumia Bodi zake za Wakurugenzi. WANASIASA wanafuata nini kwenye taasisi hizi?

Nawashangaa zaidi WACHINA ambao siku zote tunaaminishwa kuwa kwao hawana suluhu na mambo ya rushwa. Hili sakata la TPA limekaaje?
 
Ni vema kusitisha mradi mzima kama mazingira ni kama haya!! inaonekana pia kuna ushawishi mkubwa wa ushirikishwaji katika ulaji. Kuanzia TPA, Wizara ya Fedha, na usafirishaji watendaji wote pamoja na mawaziri wao wanahusika kwa asilimia kubwa kutengeneza hii dili. Sasa kosa yawezekana kuna mtu wameruka hapa.

Haiwezekani Bandari yetu iwe chini ya miaka 45 kwenye mfumo wa BOOT. Kiuhalisia ndani ya miaka 5 tu hii fedha itakuwa imerudi na miaka yote itakuwa ni fedha za kugawana tuu.
 
Duh waTanzania tunahitaji kubadili mfumo wetu wa uendeshaji wa serekali huu utaratibu wa kumwachia waziri mamlaka makubwa kiasi hiki tusipokuwa makini tunaweza kujikuta hakuna nchi inayoitwa Tanzania.

Waziri anataka kukabidhi bandari miaka 45 halafu kuna mijitu ya hovyo kabisa inamtetea.
 
Kweli wananchi sasa tunapaswa kuiimba Tanzania.....kwa hekima na wingi wa sifa kwa kuanika ufujaji huu
 
Swali la msingi, je utaratibu wa manunuzi ambao ndio mwongozo wa serikali kutoa kazi mbalimbali umefuatwa? Pili CCCC wamepatikana vipi?, Utaratibu upi umetumika kupatikana CCCC?

Tusaidiane wakuu. inaonekan hapa hapakuwa na ushindanishwaji kabsaaa!
 
Invisible:
Hapo ndiyo kwenye UTATA.

Naomba mwenye kujua zaidi aelezee kwa nini imegongwa MUHURI wa SIRI aka SECRET???

Ninadhani neno SIRI kumbe kwa Serikali linamaanisha DILI

Wewe biashara zako zote ziko wazi? nna uhakika una biashara nyingine hata mkeo hajui unafanya nini.

Kuna biashara zinaanikwa njiani nazo ni za nyanya na vitunguu. Na kuna biashara ambazo hazitakiwi ziwekwe wazi.
 
Si unakumbuka ile ya Kanumba, kuna safari aliahisrisha tena

Teh teh teh, MTAJIBEBA mwaka huu.... Ule wimbo unaimbwa vipi tena? Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote, na wasanifu ni wachina ! kaazi kweli kweli , ...
 
Kumbe CCCC ni ya RA jamaa anatisha sana
 
Back
Top Bottom